Progress ya Nairobi expressway

Progress ya Nairobi expressway

FB_IMG_16388975273565393.jpg
 
SGR ya Waturuki ndani ya nchi huru ya Tanzania.
Mturuki analipwa na TZ na tunamcontrol.To what extent unamcontrol mchina.Mturuki akimaliza atalipwa chake kilichobaki na kusepa wewe mchina anabaki kuchukua Tozo.Wenzenu tulijenga kigamboni bridge kupitia NSSF yes wanakusanya tolls ilipesa ya wastaafu ibaki salama wewe mchina anasepa na Tozo😀😀😀
 
Tatizo ni kuwa nyie mnamcontrol Mturuki sana mpaka anashindwa kumaliza mradi. Dar-Moro ilistahili kukamilika November 2019.
 
Back
Top Bottom