Progress ya Nairobi expressway

Progress ya Nairobi expressway

Have liked vile wakenya walimjibu Balala, hatubebwi ujinga kirahisi[emoji28][emoji1787][emoji23], wengine nawajua kutoka nchi flani wangeshabikia kirahisi sana[emoji28]
kwahiyo hapo unaungana na wakenya wenzako comment section au na waziri wako kupitia huu uzi[emoji3][emoji3][emoji3].
 
zenge na molam nyeupe ikajazwa kati hapo kutafuta mwinuko.
Hata yetu haina matofali katikati. Matofali yamewekwa tu pembeni lakini katikati kulimwagwa mchanga kisha ikatandazwa na earthmover.
 
Media misquoting what Balala said. He said the current roads wastes alot of time for someone who wants to enter Nairobi during layover. 3 hours to get to CBD and you have only 10hours to your next flight. The ministry will be able to issue 24hours VISAs to these people and they can reach CBD in less than 20mins, spend money as tourists. That is what he meant by attracting the tourist who is just passing by to spend in Kenya, not tourists who have come to Kenya to see the expressway, though that can happen.

Watch from 1:32

 
Kuna watu wana x-ray vision moja kali, yaani wanaiona hii express way hadi ndaaaniii, tena wakiwa hukooo vijiweni Tandale! [emoji23] Wivu wa aina hiyo kwa wanaume sio picha nzuri hata kidogo.
 
Nadedicate Wimbo wa Saida Karoli kwa Watanzania wote. Wenye wivu wajinyonge
20210207_145249.jpg
 
Back
Top Bottom