Progress ya Nairobi expressway

Progress ya Nairobi expressway

That's the same Suswa station that they say has been taken over by grass 😂. Desperation ni mbaya
Kuna mkenya, alikiwa anaponda SGR, So aka photoshop hiyo station akisema eti, Uhuru project zake ni fake. So mafala wakadhani ni kweli.

Nani kwa akili yake anaweza wacha project kama hiyo ikamea nyasi, hasa ni legacy project ya Uhuru!!!!!!!????

Watanzania ni maboya!!!
 
Ww bwege sana boyaa baba yako !!
Una diriki vipi kutuita sisi maboya
 
Eq0HPeMXYAEKICR.jpeg
 
Hata SGR Kenya ina toll services maana waendeshaji na wakusanyaji wa mapato ni kampuni ya Kichina na wana-charge fee aside loan interest for agreed number of years!
You are wrong as usual. Kampuni ya China inayoendesha SGR haicharge loan interest. Interest rate ya loan inalipwa na Kenyan treasury directly to the EXIM Bank of China's account.
 
ila imejenga na sasa inaendesha na inakusanya mapato at a charge sio? sioni tofauti ya nairobi Express na SGR Mombasa-Naivasha! 🙆‍♂️ 🤣 🤣 🤣 🙆‍♂️ ☝️
 
Ulikuwa unataka tusafiri na SGR bila malipo? Ona huyu wazimu? Kwani nyie mtasafiri kwenye SGR yenu bila malipo?
 
1. Bei ya SGR kutoka Nairobi hadi Mombasa = ksh 1,000
2. Bei la Basi kutoka Nairobi hadi Mombasa = ksh 2,000

Endelea kuropokwa kwamba tunakamuliwa na Wachina ilhali siku hizi tunasafiri kwa bei nafuu kushinda kutumia basi. SGR huwa inajaa hadi pomoni maana ni cheaper na unafika Mombasa mapema kushinda ukitumia basi.
 
Mlipe lakini mu-operate the SGR wenyewe na fedha ziingie hazina ya GoK! Saa hii fedha zinaingia kwa kampuni ya Mchina Africa Star Railway za deni na za operation na wao ndo wakusanyaji!
 
Transition tayari inafanyika mzee. Mbona huna habari? Naona hujui mambo mengi kuhusu huu mradi. Afristar inastahili kufunza Wakenya jinsi ya kuoperate kila kitu kuanzia kuwa train drivers, to train hostess, to train engineers to signalling engineers e.t.c Hii yote inastahili kufanyika ndani ya miaka mitano tu kisha process ya kurudisha control ya SGR kwenye mikono ya Wakenya itaanza. Ni watu wajinga tu ambao wanaweza kuanza kuoperate train bila necessary training au experience ya wananchi wao. Unadhani hata kama Mkenya ameenda Uchina na akafunzwa kuwa train driver, kwamba atapewa train aendeshe bila supervisor wa Kichina kuwa hapo kumfunza zaidi jinsi ya kuendesha train ij the real world? Hawa drivers wa Kikenya hata kama wana mafunzo, mafunzo hayatoshi, lazima wapate experience ya miaka kadhaa ya kuendesha train kabla Wachina kufunga virago na kuenda nyumbani. Vile vile engineer wa train wa Kikenya kando na kupata masomo huko China lazima aje Kenya na kupata real life experience ya jinsi ya kurepair parts za train ambazo zimeharibika. Hawa Wachina wapo karibu kurudi kwao. Wakenya ambao wako kwenye control room pia lazima wafunzwe jinsi ya kucontrol trains kadhaa ili zisigongane kwa kutumia railways signalling technologies. Engineers na train drivers wa Metre gauge wamezeeka sana na wengine wamekufa kwa hivyo hawawezi kutumika kuendesha SGR, isitoshe train za SGR ziko highly automated na sio the same kama zile za zamani. Lazima vijana wadogo tu ndio wangefunzwa teknolojia hii mpya. Hawa Wachina hawako hapa permanently, wako hapa kwa ajili ya mafunzo kisha Watarudi makwao.

Mlipe lakini mu-operate the SGR wenyewe na fedha ziingie hazina ya GoK! Saa hii fedha zinaingia kwa kampuni ya Mchina Africa Star Railway za deni na za operation na wao ndo wakusanyaji!
Halafu pesa ya deni, nimeshakuambia kuwa kampuni ya Kichina haikati kutoka nauli. Treasury ya Kenya inalipa deni directly to EXIM bank of China. Kama una evidence kuwa Kampuni la Afristar ndio linalokata deni kupitia nauli ya Wakenya na kuituma China basi weka hio evidence hapa nataka kuiona. Na kama huna evidence nyamaza, usiwe unaropokwa ovyo ovyo kama wazimu.
 
wacha upumbavu pesa yote ya SGR Kenya inakusanywa kwa account serikali ya Kenya haina umiliki na inaenda kulipa deni! treasure stepped in as a guarantor since the SGR can not service the debt!

1. Bei ya SGR kutoka Nairobi hadi Mombasa = ksh 1,000
2. Bei la Basi kutoka Nairobi hadi Mombasa = ksh 2,000

Endelea kuropokwa kwamba tunakamuliwa na Wachina ilhali siku hizi tunasafiri kwa bei nafuu kushinda kutumia basi. SGR huwa inajaa hadi pomoni maana ni cheaper na unafika Mombasa mapema kushinda ukitumia basi.
kwani mabasi yenu yanaenda speed gani[emoji3064][emoji3064][emoji3064].mpaka yanaachwa na train??
 
Basi ni between 80 km/h na 100 km/h. Sidhani kama mabasi yanaweza kupita 100 km/h kisheria hapa Kenya. Halafu speed ya basi inapanda na kushuka kwa sababu ya bumps na traffic jams e.t.c. Train inasafiri kwa max speed ya 120 km/h. Halafu speed yake haipandi na kushuka sana maana hakuna kupunguza speed sana especially for express trains ( maana hakuna bumps wala jam kwenye railway).
 
duh basi kiboko.nikadhani max ni 120km/h kama hapa bongo.

route zetu ni ndefu mno,ukiweka under 80km/h watu watalala njiani.
 
Back
Top Bottom