Progress ya Nairobi expressway

Progress ya Nairobi expressway

Ona huu msukule. Unadhani sijui kuwa hao mabwana zenu hayo ndiyo maisha yao. Najua ila nashangaa inakuwaje kwenye karne hii nchi ya kiafrika inafanya upuuzi kama huo. Hata sisi tuliwahi kufanya hivyo enzi zile tunatawaliwa na zero brain. Kilipoingia chuma kikasema wewe lipa kodi sisi tujenge barabara wote tupite bure. Sema ndiyo hivyo tena vizuri havidumu. Zero brain is back again.
Na Ndio maana hamjengi vitu za maana.Unajua ambaye hataki kulipia hio Toll apitie hio Barabara ya Free,mpaka itapofika siku Deni itaisha na hapo ndipo Barabara Itakuwa free kwa raia wote Wakenya.Watz najua mtakuja kupigia picha kwa Express way Nairobi Raha🤣🤣🤣🤣
 
Vitu vya maana sio umebemendwa nawe!
 
A lot of jealousy on this thread.
They hella salty!!!
tenor (2).gif
 
Hii express way hizi viaduct mmeacha na "matoleo"? Hizo nondo zinachungulia nje za nini Sasa?

Wataalam tusaidieni hapo.

Simon Geza Ulole
20210502_152553.jpg
 
Hii express way hizi viaduct mmeacha na "matoleo"? Hizo nondo zinachungulia nje za nini Sasa?

Wataalam tusaidieni hapo.

Simon Geza Ulole View attachment 1771619
Halafu watanzania hao uliowaita Geza Ulole na Simon hawatakuja hapa. Wanachukia mradi huu na huwa wanachungulia na kutoroka bila kupost chochote. Mradi huu umewakata maini kabisa na kamwe hawataki kujihusisha nalo. Wewe ndio Mtanzania wa kwanza kupost baada ya muda mrefu. Watanzania hawapendi uzi huu kabisa. Hahaha.
 
jibu swali mradi wa gharama ya $ 800 mln na unaoenda kulipwa kwa $3.1 bln! Kama si upoyoyo wa GoK basi ni utopolo!
 
Over 30 years! You need to consider inflation over a period of 30 years.
 
over 27 years! So ur banks KCB and Equity couldn't lend ur dunderheaded GoK that $800 mln? Is this deal different from SGR Kenya?
 
I can see you visit skyscrappercity where people make intelligent discourse.
But that's a good question. Which I also answered in that forum.
 
This Mlazy Geza Ulole is obsessed with Kenya. I am sure he frequents skyscrappercity just to keep himself up to date with infrastructure development in Kenya.
 
Back
Top Bottom