Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Mchungaji,
Where are we on this? au ndo ukaamua uje na CCJ baada ya changamoto uliyopewa ya jina la ''Kiblurey'' ....PPPT?
NGO si ziko nyingi na mshazigeuza kuwa kampuni za mifukoni hata kuwajibishwa haiwezekani?
Sisi tunataka tuwajibike kwa Wananchi na Wananchi watoe neno na si kujifungia katika vikao maalum au kuunda kamati maalum!
Huwezi kufikiria kumsaidia kwenye kampeni kama hata chama chenyewe hukifahamu. Utani huo!!Hivi kile Chama kilichoanzishwa na Rev Kishoka kimeishia wapi?...bado kipo na je kuna mtu yeyote kwenye kile chama atatokea kugombea katika uchaguzi wa mwaka huu?.
Maana since then sijasikia kitu tena hadi nimeshakisahau kinaitwaje ni TPL? au.
Just curious!....Maana nataka kusaidia katika kampeni pia.
Tks
xoxo
BM