Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
- Thread starter
- #21
Rev. Kishoka,
Nimesoma mahala akisema chama chake kina mrengo wa kati, ndio upi huo (wa kati kulia au kushoto)... Au ndio nawe unaanzisha mapinduzi mapya ya kifikra kuunda mrengo wa KATI yaani usiofungamana na upande wowote ila kwa kuzingatia Mazingira na watu wake!
Mkandara,
Mrengo wa kati ni kutokana na Watu na Mazingira.