Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Baada ya kushindwa mbio za ubingwa mmeamua kutafuta faraja za kuonewa hurumaMwambie phiri alipiga goli 8 ndani ya game 3..aache ushamba tunajua kuwa yule kitanta sjui wa kagera alitoka yanga na alipewa mission ya kumvunja phiri ili bwana maele asiwe na mpinzani kwenye mbio za kiatu cha dhahabu
So mchezaji akicheza Yanga anakua mwanachama?Mwambie phiri alipiga goli 8 ndani ya game 3..aache ushamba tunajua kuwa yule kitanta sjui wa kagera alitoka yanga na alipewa mission ya kumvunja phiri ili bwana maele asiwe na mpinzani kwenye mbio za kiatu cha dhahabu
So mchezaji akicheza Yanga anakua mwanachama?
nyie visingizio hua hamkosi Shaibu (Ninja) yupo Dodoma FC kwa mkopo toka Yanga siku ya mechi ya Simba na Dodoma alijifunga unataka kusema alitumwa na Yanga ajifunge? Imekua kila kitu mnatafta sababu mmetoka kuifunga Geita goli 5 kuna wachezaji almost wanne toka Yanga Mahadhi, Saido, Yondani, na head coach pia waligizwa na Yanga? Wakati huo huo Yanga imefungwa na Ihefu Coach wao Mwambusi na kuna wachezaji pale wametoka Yanga ni maelekezo? nyie endeleeni na malalamiko mwisho wa msimu tutarudi hapaUnamjua hassan kessy ramadhani..anacheza dodoma jiji ?
nyie visingizio hua hamkosi Shaibu (Ninja) yupo Dodoma FC kwa mkopo toka Yanga siku ya mechi ya Simba na Dodoma alijifunga unataka kusema alitumwa na Yanga ajifunge? Imekua kila kitu mnatafta sababu mmetoka kuifunga Geita goli 5 kuna wachezaji almost wanne toka Yanga Mahadhi, Saido, Yondani, na head coach pia waligizwa na Yanga? Wakati huo huo Yanga imefungwa na Ihefu Coach wao Mwambusi na kuna wachezaji pale wametoka Yanga ni maelekezo? nyie endeleeni na malalamiko mwisho wa msimu tutarudi hapa
Ndio nn?Inonga vs Sure boy?
Alifanya mara ngapi?Alifanyiwa na wachezaji wengine wangapi?Inonga vs Sure boy?
Kuumizwa inaweza kutokea,tatizo ni pale timu nzima inafanya jitihada ya kumchezea rafu mbaya mchezaji mmoja na bado hakuna kadi.duh we hujaona wachezaji wa yanga wanavyoumizwa?nkane kavunjwa mguu nauo
Mtu akiwa mbumbumbu hafikirii hayo..nyie visingizio hua hamkosi Shaibu (Ninja) yupo Dodoma FC kwa mkopo toka Yanga siku ya mechi ya Simba na Dodoma alijifunga unataka kusema alitumwa na Yanga ajifunge? Imekua kila kitu mnatafta sababu mmetoka kuifunga Geita goli 5 kuna wachezaji almost wanne toka Yanga Mahadhi, Saido, Yondani, na head coach pia waligizwa na Yanga? Wakati huo huo Yanga imefungwa na Ihefu Coach wao Mwambusi na kuna wachezaji pale wametoka Yanga ni maelekezo? nyie endeleeni na malalamiko mwisho wa msimu tutarudi hapa
Acha mhemko katika uandishi wako ili kila mtu asome andiko lako na achangie.Haikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba.
Ninasema sio bahati mbaya kwa sababu ya kujirudia rudia kwa vitendo vusivyo vya kimchezo na kwa mchezaji mmoja na mwamuzi anachukulia poa.
Hili nimeliona jana kwenye mechi ya Simba na Kagera. Ni wazi kulikuwa na mtu aliyedhamini uchezaji wa kumuumiza Phiri ikibidi apate majeruhi asicheze.
Niwaambie tu utopolo ya kuwa,acheni kuendekeza kulipa wachezaji waumize wachezaji mnaowahofia.
Ni hatari sana iwapo watu watachukua hatua ya kulipiza kisasi.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Chuki ya wazi kabisa umeonesha. Nadhani ungepata wasaa au nafasi ya kuwapa wachezaji wa simba sumu ya kuua ungelifurahi kwa kusheherekea vifo vyao.Huyu Kanoute sijui Putin wa Simba alikuwa kinara wa rafu siku hizi inafurahisha sana kibao kimegeuka anapigwa viatu yeye sio mchezo!!
Hivi jamani Phiri ana kiwango gani cha utopolo kumfikiria? Yanga angecheza timu B, Phiri wa makolo fc ni mbabaishaji tu nani anashida ya kumuumiza?
Mayele kapiga goli 3 ndani ya michezo miwili tu! Eti makolo Mayele wanamlinganisha na Phiri!!
Yanga inacheza kitimu , wachezaji wote wana kiwango cha juu, kiwango cha kina Mbappe na Messi na De Jong, hakuna haja ya bahasha wala sijui jezi nyeusi ushindi ni jadi yetu na droo yao ya jana makolo washatoka kwenye kushindana sasa ni washiriki tu wa ligi kuu Tanzania bara!makolo acheni wivu sajilini kama sisi!
Ushahidi ni kila mchezaji wenu mnayedhani ni bora,mbamlinganisha na wachezaji wa Simba
Umesema kweli tupu!Kwani mechi alicheza yanga au kagera??? Mashabiki wa simba mngekuwa mademu mngekua wazaramo au mademu wa mtwara
Sijawachukia wachezaji wa Simba kwa kiwango hicho , ambacho ningefanya kama nikipewa wachezaji wa Simba ni kuwashusha na kuwaweka timu B ya Yanga maana ndiko wanastahili kuchezea na kina Clement sio kulazimisha kuwalinganisha wachovu wa Simba na Bunduki za Yanga kama Aziz Ki, Job, Moloko, Aucho, Sureboy na Bangala!Chuki ya wazi kabisa umeonesha. Nadhani ungepata wasaa au nafasi ya kuwapa wachezaji wa simba sumu ya kuua ungelifurahi kwa kusheherekea vifo vyao.
Feitoto ni mchezaji wa Azam.Umesema kweli tupu!
Yanga ikishinda tu ni bahasha na jezi nyeusi, Simba ikishinda ni kwamba wanaujua mpira mara sijui Phiri mara Chama anaupiga mwingi!!
Sasa hivi Utopolo tunaongoza ligi pointi sita mbele Simba kavunjika guu anatembelea magongo na hawatupati tena Yanga inaserereka tu! Simba kwa sasa ni washiriki tu wa NBC premier league! Kombe ni letu tena kwa mara ingine hatuna mpinzani wala kipingamizi kwasasa tunataka 100 unbeaten games sherehe ifanyike Arachuga kuna zile fataki za wanayanga matajiri sijaona dunia nzima!!watu wa Qatar weldi kapu walileta watu wao Sheikh Amri Abeid Azam Federation cup kujifunza jinsi ya kupiga fataki na kushangilia ushindi!!
Ni ajabu sana Simba kujilinganisha uwezo na Yanga wakati Yanga tulishawaacha kiwango Simba zamani sana tangu tulipomchukua Diarra anadaka mishale, mabomu, makombora, mawe, fataki manati!!
Yanga ikishinda kwa kutafuna mifupa iliyowashinda Simba kama Azam, Mbeya city, Kagera sijui Prison mara Coastal Union tena kwao basi jamaa wa Kolo fc wananuuuuuna karibu wapasuke!!
Simba tafuteni wachezaji wa kiwango sio kulia lia tu na mtalia miaka mitano kombe litazoea jangwani na tutawapiga kila mechi na atakaefunga mechi zote ni Feisaaaaaal! Zanzibar finest!! Beauty beauty boy!!
Feitoto ni mkali kuliko hata Messi na Mbappe Kolo fc gani anabisha nimrushie video bao la Feitoto dhidi ya Simba pale CCM Kirumba nani kati ya Messi au Mbappe ameweza kufunga kama lile bao? Lile bao litawachoma mioyo wanasimba miaka yao yote hapa duniani!! Bao linauma kama sindano ya kristapeni!!bao la kideo, bao ambalo huwezi kulilipa!! Bao adhimu lililokata ngebe za Simba na kufanya majezi na maskafu shingoni ya wanasimba yawe mazitooooo!!bao ambalo limewafurusha Mitala, Barabara na Gomeziii bado Moo tu!
nikiisifia Yanga kama hivi mwanasimba ukisoma bila kuchukia ujue unaumwa ukapimwe!!
Kuna mechi majuzi hapa wote hao hawakuwemo bado mtu akala cjui 4 au 5 zileFeitoto ni mchezaji wa Azam.
Ndiye mchezaji pekee wa kibongo aliyekuwa utopolo niliyekuwa namwelewa.
Kwa wachezaji wa kigeni ni Mayele tu.
Kwa ujumla kama mayele na Feitoto hawapo,utopolo ni kama Ihefu tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sio unaitikia sawa tu, next time uwe na akili sio uwe zezeta km leoSawa