Project chafu, ni nani amewatuma kumuumiza Phiri?

Project chafu, ni nani amewatuma kumuumiza Phiri?

Haikuwa bahati mbaya,na sio mara moja kwa matendo yasiyo ya kimichezo kuoneshwa kwa wachezaji wa Simba.

Ninasema sio bahati mbaya kwa sababu ya kujirudia rudia kwa vitendo vusivyo vya kimchezo na kwa mchezaji mmoja na mwamuzi anachukulia poa.


Hili nimeliona jana kwenye mechi ya Simba na Kagera. Ni wazi kulikuwa na mtu aliyedhamini uchezaji wa kumuumiza Phiri ikibidi apate majeruhi asicheze.

Niwaambie tu utopolo ya kuwa,acheni kuendekeza kulipa wachezaji waumize wachezaji mnaowahofia.

Ni hatari sana iwapo watu watachukua hatua ya kulipiza kisasi.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Anaumia Messi itakuwa Phiri? Aliumia De Lima itakuwa Phiri?
 
Acha kutupigia kelele, yeye si ni Jenerali.

JENERALI aogopi chochote!
 
UU
Umesema kweli tupu!

Yanga ikishinda tu ni bahasha na jezi nyeusi, Simba ikishinda ni kwamba wanaujua mpira mara sijui Phiri mara Chama anaupiga mwingi!!

Sasa hivi Utopolo tunaongoza ligi pointi sita mbele Simba kavunjika guu anatembelea magongo na hawatupati tena Yanga inaserereka tu! Simba kwa sasa ni washiriki tu wa NBC premier league! Kombe ni letu tena kwa mara ingine hatuna mpinzani wala kipingamizi kwasasa tunataka 100 unbeaten games sherehe ifanyike Arachuga kuna zile fataki za wanayanga matajiri sijaona dunia nzima!!watu wa Qatar weldi kapu walileta watu wao Sheikh Amri Abeid Azam Federation cup kujifunza jinsi ya kupiga fataki na kushangilia ushindi!!

Ni ajabu sana Simba kujilinganisha uwezo na Yanga wakati Yanga tulishawaacha kiwango Simba zamani sana tangu tulipomchukua Diarra anadaka mishale, mabomu, makombora, mawe, fataki manati!!

Yanga ikishinda kwa kutafuna mifupa iliyowashinda Simba kama Azam, Mbeya city, Kagera sijui Prison mara Coastal Union tena kwao basi jamaa wa Kolo fc wananuuuuuna karibu wapasuke!!

Simba tafuteni wachezaji wa kiwango sio kulia lia tu na mtalia miaka mitano kombe litazoea jangwani na tutawapiga kila mechi na atakaefunga mechi zote ni Feisaaaaaal! Zanzibar finest!! Beauty beauty boy!!

Feitoto ni mkali kuliko hata Messi na Mbappe Kolo fc gani anabisha nimrushie video bao la Feitoto dhidi ya Simba pale CCM Kirumba nani kati ya Messi au Mbappe ameweza kufunga kama lile bao? Lile bao litawachoma mioyo wanasimba miaka yao yote hapa duniani!! Bao linauma kama sindano ya kristapeni!!bao la kideo, bao ambalo huwezi kulilipa!! Bao adhimu lililokata ngebe za Simba na kufanya majezi na maskafu shingoni ya wanasimba yawe mazitooooo!!bao ambalo limewafurusha Mitala, Barabara na Gomeziii bado Moo tu!

nikiisifia Yanga kama hivi mwanasimba ukisoma bila kuchukia ujue unaumwa ukapimwe!!
Umeandika kama umekatwa kichwa,yaani unavyoisifia Uto utadhani imewahi kufika grupu stage ya klabu bingwa Afrika mwaka huu kumbe timu Lina miaka 25 halijawahi kugusa kule,ALAFU MNAKATAA UKWELI AMBAO UPO NI MSIMU WA TATU MFULULIZO UTO WANAZITUMA TIMU KUWAUMIZA WACHEZAJI WA SIMBA,mfano mechi ya Dodoma Fc 2021 ilisababisha majeruhi 7 wa Simba AMBAO waliathiri matokeo, hata mwaka huu tunaona yaleyale, alafu kwanini kila timu ikitaka kucheza na Simba ndio utasikia wameahidi kiasi fulani Kwa kupata Sare ama kushinda,ni mwaka huu ndio tunasikia eti Prison wanaahidiwa uongo uongo eti waifunge Uto Dar ama sare
 
Wakati Tambww yupo Simba kuna mechi alikuwa anachezewa rafu mbaya sana na beki wa JKT msimu utopolo walishangilia msimu uliofata tambwe akiwa Tanga mchezaji hiyohiyo alirudia kumchezea rafu mbaya.mashabiki wa utopolo walivyopiga kelele utafikiri ni mashabiki wa timu mbili tofauti
 
Back
Top Bottom