Project chafu, ni nani amewatuma kumuumiza Phiri?

Anaumia Messi itakuwa Phiri? Aliumia De Lima itakuwa Phiri?
 
Acha kutupigia kelele, yeye si ni Jenerali.

JENERALI aogopi chochote!
 
UU
Umeandika kama umekatwa kichwa,yaani unavyoisifia Uto utadhani imewahi kufika grupu stage ya klabu bingwa Afrika mwaka huu kumbe timu Lina miaka 25 halijawahi kugusa kule,ALAFU MNAKATAA UKWELI AMBAO UPO NI MSIMU WA TATU MFULULIZO UTO WANAZITUMA TIMU KUWAUMIZA WACHEZAJI WA SIMBA,mfano mechi ya Dodoma Fc 2021 ilisababisha majeruhi 7 wa Simba AMBAO waliathiri matokeo, hata mwaka huu tunaona yaleyale, alafu kwanini kila timu ikitaka kucheza na Simba ndio utasikia wameahidi kiasi fulani Kwa kupata Sare ama kushinda,ni mwaka huu ndio tunasikia eti Prison wanaahidiwa uongo uongo eti waifunge Uto Dar ama sare
 
Wakati Tambww yupo Simba kuna mechi alikuwa anachezewa rafu mbaya sana na beki wa JKT msimu utopolo walishangilia msimu uliofata tambwe akiwa Tanga mchezaji hiyohiyo alirudia kumchezea rafu mbaya.mashabiki wa utopolo walivyopiga kelele utafikiri ni mashabiki wa timu mbili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…