Project funding sources


Appreciated Mkuu Mzuzu na we look forward kwa hiyo learning visit!
 
Project nzuri. Hii ya ethanol nimeipenda. ni PM tubadilishane mawazo
 
Mkuu, upo juu na mwanzo ni mzuri. La msingi angalia uwezo wa kupata bidhaa kwa msimu mzima kwani hilo ndo huwa tatizo kubwa. Mathalani, Tayari kuna hitaji la tani laki tatu kila mwaka china, tutapata wapi muhogo wa ubora kwa kiasi hicho? Kuhusu fedha na dhamani si tatizo kabisa kwani tatizo ni kupata wazo zuri kama lako.

Upo hatua moja na hatua elfu huanza na moja. Ninaweza kukushauri jinsi ya kupata fedha na dhamana. Hata dangote anaamini watu wanaoanza kidogo kidogo hufanikiwa na hasa pale watakapojihusisha na uzalishaji. Processing and Production
 
Nashukuru sana wakuu mradi umeshaanza tayari kupata shape yake. Bila michango yenu tusingefika hatua hii ya kuanza utekelezaji baada ya miaka zaidi ya mitano ya kutafuta mtaji na vibali muhimu na hatimaye sasa tunaanza..
 
JF ni zaidi ya ndugu ic.. ingawa sijacoment hapa, lkn nimejifunza mengi kwenye post hii
 
....inatia moyo kuona kuwa vijana wanauthamini utanzania wetu.....kwa faida ya vizazi vijavyo.....tanzania itajengwa na watanzania.......asante mtoa mada na wachangiaji wote....hii lazima iingie akilini.
 
Nashukuru sana wakuu mradi umeshaanza tayari kupata shape yake. Bila michango yenu tusingefika hatua hii ya kuanza utekelezaji baada ya miaka zaidi ya mitano ya kutafuta mtaji na vibali muhimu na hatimaye sasa tunaanza..

mradi unaendeleaje? fursa ya kuuza mihogo ipo au tayari mshapata suppliers wa kutosha?
 
TIB pia wanafund kwa riba ndogo xana sawa na bure we tuwasiliane tujue watakusaidia vp but wanataka business plan iliyoshiba.
 

labda ungenipatia nmbr zako ...tunaweza kusaidiana kwenye hili
 
Dah! Safi sana, nasikitika nilikuwa mbali na idea yenu! Kila la kheri wakuu!
 
Mkuu mzuzu napenda kujua kama mmeanza kununua Mihogo na kama mnanunua ni kwa bei gain?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…