na mimi mkuu nina plan ya kuweka eneo la michezo yani mkoani nilipo players club yani mahali hapo inakua ni eneo kubwa la uwazi liko fenced kwaajili ya usalama, panakua na michezo ya kila aina inakua ni mahali pa health training fitness lakini pia wanafunzi wanaweza kuja kushindana na kujifunza kuogelea, darts n.k na project plan na proposal ipo tayari shida ni hela maana nitahitaji kununua eneo kubwa, kujenga kununua vifaa vya michezo na kuajiri professionals layout iko tayari yote ninahitaji tu muwekezaji... nawasilisha mkuu