Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Unaweza kupata kwa kuwa na "koneksheni" toka kwa anko
Unaweza kupata kwa kumpa "chochote" au kuwa "chochote"
Unaweze kupata kwa kupambana
Kama unataka kupata based on merits, hakuna shortcut! Jifunze, fanya na onyesha!
Kwenye kuonyesha tengeneza Project iwe Github au Gitlab na uwaonyeshe uwezo wako unaowaomba kazi!
Ni rahisi kufanya technical analysis kwenye project uliyoifanya ukiwa huna pressure kuliko Techie Interview ya dk 30 under pressure.
Kujifunza toka kwa wengine na waliokutangulia ni hekima!