Kama upo chuo hakikisha unaijua angalau Division Mojawapo vizuri sana. Sana kiasi cha kuweza kuajiriwa kabla ya mwaka wa mwisho.Mkuu tunashukuru kwa mawazo yako maana yanatupatia msingi mkubwa sana ambao bado tupo vyuoni. Maana unatuonyesha kimsingi soko likoje huko duniani na namna ya ku win soko hilo.
Database component is also a mustKama upo chuo hakikisha unaijua angalau Division Mojawapo vizuri sana. Sana kiasi cha kuweza kuajiriwa kabla ya mwaka wa mwisho.
Namaanisha division hizi:
1. Web Development (suggestion PHP/Yii2)
2. Android Development (Kotlin/Jetpack Compose)
3. iOS development (Swift/SwiftUI)
4. Desktop Development (C++/wxWidgets)
Database component is also a must
I Right. I missed it.Kwa hizo point alizoweka hiyo database Ni automatically imo mfano unaweza tumia php kuunda tovuti au web app yoyote bila database?
Ni bora angesema kufahamu html na css
Hata kwa android kutengeneza app isiyotegemea database kwa wakati huu ni ngumu may be zile static app ila naamini kwa asilimia kubwa database haikwepeki ukiwa unajifunza hizo Mambo
Professionally every component must be mentioned even if they go together. Mume na mke wanaenda pamoja lakini ni viumbe viwili tofautiKwa hizo point alizoweka hiyo database Ni automatically imo mfano unaweza tumia php kuunda tovuti au web app yoyote bila database?
Ni bora angesema kufahamu html na css
Hata kwa android kutengeneza app isiyotegemea database kwa wakati huu ni ngumu may be zile static app ila naamini kwa asilimia kubwa database haikwepeki ukiwa unajifunza hizo Mambo
Kwanini mkuu?Mimi ni kama nime give up kwenye programming.
nipo nakomma na kipengele namba mbili apo mkuuKama upo chuo hakikisha unaijua angalau Division Mojawapo vizuri sana. Sana kiasi cha kuweza kuajiriwa kabla ya mwaka wa mwisho.
Namaanisha division hizi:
1. Web Development (suggestion PHP/Yii2)
2. Android Development (Kotlin/Jetpack Compose)
3. iOS development (Swift/SwiftUI)
4. Desktop Development (C++/wxWidgets)
Mkuu Stefano Mtangoo nauliza upande wa mobile application unashauri vip mtu anayejifunza react au flutter?Kama upo chuo hakikisha unaijua angalau Division Mojawapo vizuri sana. Sana kiasi cha kuweza kuajiriwa kabla ya mwaka wa mwisho.
Namaanisha division hizi:
1. Web Development (suggestion PHP/Yii2)
2. Android Development (Kotlin/Jetpack Compose)
3. iOS development (Swift/SwiftUI)
4. Desktop Development (C++/wxWidgets)
Sishauri ufanye Flutter au ReactNative. Jifunze Kotlin/Android na Swift/iOSMkuu Stefano Mtangoo nauliza upande wa mobile application unashauri vip mtu anayejifunza react au flutter?
Yeah, It is mandatory actually, especially Bongo where you have to really be jack of all trades in many places!
Knowing standard SQL and at least one database should be enough
Huu ushauri muhimu sana, mimi mara moja moja huwa nahusika kwenye recruitment evaluation team na kitu hunishangaza, jamaa wanajaza mavitu kwenye CV, unakuta ameandika sifa za vitu alivyosomea, ila sasa njoo kwenye kafanikisha project ipi kwenye maisha yake, hapo ndio wanafeli.
Muhimu sana kupambana mwenyewe utengeneze system from scratch uiweke Github au kama vipi jihusishe kwenye existing open source yoyote, fanya commits humo ambazo ni significant hadi zipokelewe na kusaidia jamii, ukinijia na mambo kama hayo nitakuelewa, sio unanipotezea muda kusoma CV yote halafu uhalsia ni zero, ukipewa computer hauwezi hata ukafanya a basic CRUD kwa kutumia lugha uliyojinadi nayo.
Hizi mada nzuri sana zinapunguza pressure kidogo kwenye malumbano ya Ukraine/Russia ha ha ha!! Mokaze