Mimi ninesoma hiyo kozi B.A Project Planning, Management and Community Development ya UDOM. Ni moja ya maamuzi bora niliyowahi kufanya maishani mwangu.
Kwangu ni bonge la kozi
Vp Hali ya soko imekaaje nduguPPM [emoji119] nilitembea na sup
Vp Hali ya soko imekaaje ndugu
Sawa nashukuru sana ndugu.Kozi nzuri sana. Soma hutojutia. Undergraduate nilisoma Epp yaan economic policy planning na tulikua tunasoma na hao watu Safi kabisa. Kifupi usijiulize soma
Ada sh ngapi per yearMimi ninesoma hiyo kozi B.A Project Planning, Management and Community Development ya UDOM. Ni moja ya maamuzi bora niliyowahi kufanya maishani mwangu.
Kwangu ni bonge la kozi
800,000 kwa UDOMAda sh ngapi per year
Vipi kuhusu ajira zake serikaliniKozi nzuri sana. Soma hutojutia. Undergraduate nilisoma Epp yaan economic policy planning na tulikua tunasoma na hao watu Safi kabisa. Kifupi usijiulize soma
Unaweza kunisaidia sample ya project proposal?Mimi ninesoma hiyo kozi B.A Project Planning, Management and Community Development ya UDOM. Ni moja ya maamuzi bora niliyowahi kufanya maishani mwangu.
Kwangu ni bonge la kozi
Kwa kozi Huwezi kuwa afisa mipango. Maafisa mipango lazima wawe wamesoma uchumi in deepInahusu usimamizi wa miradi .. unaweza kuwa meneja miradi,afisa ufatiliaji na tathmni, serikali unaweza kuwa afisa mipango..
Sio kweli..despline ya mipango inajitegemea tofauti na uchumi..japo zinahusiana ...mtu aliyesoma chuo Cha mipango kozi ya project planning atanielewe ...Kwa kozi Huwezi kuwa afisa mipango. Maafisa mipango lazima wawe wamesoma uchumi in deep
Aliyesomea PPM serikalini anaweza kufanya kazi ganiSio kweli..despline ya mipango inajitegemea tofauti na uchumi..japo zinahusiana ...mtu aliyesoma chuo Cha mipango kozi ya project planning atanielewe ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Ni kozi yangu na nilishaomba nafasi za afisa mipango zilizotangazwa mwaka Jana lakini nilipigwia chini, kufuatilia sababu nakuta nafasi zote 8 walichukuliwa wachumiAliyesomea PPM serikalini anaweza kufanya kazi gani
Hiyo Ni kozi yangu na nilishaomba nafasi za afisa mipango zilizotangazwa mwaka Jana lakini nilipigwia chini, kufuatilia sababu nakuta nafasi zote 8 walichukuliwa wachumi