Project planning and management

Project planning and management

Musaru

Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
38
Reaction score
24
Habari,

Msaada jamani juu ya hii kozi ya bachelor degree in project planning and management hivi inahusiana na Nini? Pili soko lake la ajira likoje hapa Tanzania?

Ajira zake serikalini zipo au hakuna kabisa? Na Je kwenye non governmental organization Hali ikoje huko
 
Inahusu usimamizi wa miradi .. unaweza kuwa meneja miradi,afisa ufatiliaji na tathmni, serikali unaweza kuwa afisa mipango..
 
Vipi serikalini hasa hasa MDAs na LGAs wanafanya recruitment ya waliosomea PPM
Mimi ninesoma hiyo kozi B.A Project Planning, Management and Community Development ya UDOM. Ni moja ya maamuzi bora niliyowahi kufanya maishani mwangu.
Kwangu ni bonge la kozi
 
PPM [emoji119] nilitembea na sup
 
Kozi nzuri sana. Soma hutojutia. Undergraduate nilisoma Epp yaan economic policy planning na tulikua tunasoma na hao watu Safi kabisa. Kifupi usijiulize soma
 
Sawa nashukuru sana ndugu.
 
Mimi ninesoma hiyo kozi B.A Project Planning, Management and Community Development ya UDOM. Ni moja ya maamuzi bora niliyowahi kufanya maishani mwangu.
Kwangu ni bonge la kozi
Ada sh ngapi per year
 
Kozi nzuri sana. Soma hutojutia. Undergraduate nilisoma Epp yaan economic policy planning na tulikua tunasoma na hao watu Safi kabisa. Kifupi usijiulize soma
Vipi kuhusu ajira zake serikalini
 
Mimi ninesoma hiyo kozi B.A Project Planning, Management and Community Development ya UDOM. Ni moja ya maamuzi bora niliyowahi kufanya maishani mwangu.
Kwangu ni bonge la kozi
Unaweza kunisaidia sample ya project proposal?
 
Inahusu usimamizi wa miradi .. unaweza kuwa meneja miradi,afisa ufatiliaji na tathmni, serikali unaweza kuwa afisa mipango..
Kwa kozi Huwezi kuwa afisa mipango. Maafisa mipango lazima wawe wamesoma uchumi in deep
 
Aliyesomea PPM serikalini anaweza kufanya kazi gani
Hiyo Ni kozi yangu na nilishaomba nafasi za afisa mipango zilizotangazwa mwaka Jana lakini nilipigwia chini, kufuatilia sababu nakuta nafasi zote 8 walichukuliwa wachumi
 
Hebu tumwombe HR yeyote kutoka serikalini aje atutoe tongotongo hapa.

Hivi wizara ya fedha na mipango si Kuna division ya projects, vipi huko umefatilia

Back
Top Bottom