Project planning and management

Hebu tumwombe HR yeyote kutoka serikalini aje atutoe tongotongo hapa.

Hivi wizara ya fedha na mipango si Kuna division ya projects, vipi huko umefatilia
Nilisoma Project Planning and Management lakini Nilipokuwa mwanachuo, Nilitaka Kufanya fieldwork yangu halmashauri kwenye idara ya fedha na mipango nikazuiliwa nikaelekezwa nifanye idara ya Maendeleo ya Jamii.

Hata baada ya kumaliza chuo Nilitaka kujitolea kwenye idara ya fedha na mipango nikazuiliwa nikaelekezwa nijitolee kwenye idara ya Maendeleo ya Jamii.

Lakini kozi hii Ni rahisi kupata kazi kwenye NGOs
 
Kwa hiyo idara ya mipango inachukua watu waliosomea uchumi na takwimu tu. Sasa haya ma kozi wanamuwekea nani asome kama hata hayahitajiki huko kwenye field
 
Hiyo Ni kozi yangu na nilishaomba nafasi za afisa mipango zilizotangazwa mwaka Jana lakini nilipigwia chini, kufuatilia sababu nakuta nafasi zote 8 walichukuliwa wachumi
Uliomba kupitia ajira portal? ...Kuna washkaji zangu wamesomea regional development planning,, project planning management, development finance wamepata nafasi ...m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kazi zake unatakiwa kuwa muongeaji hasa, na uwe unajua unachokiongea, sasa kama wewe unaogopa kuongea mbele za vikao, itakuwa vigumu sana
Maana kila stage na mara kwa mara unatakiwa uwe unafanya presentation kuwakilisha updates za project
 
Nakuomba pm tafadhali
 
Kwa hiyo idara ya mipango inachukua watu waliosomea uchumi na takwimu tu. Sasa haya ma kozi wanamuwekea nani asome kama hata hayahitajiki huko kwenye field
Kwanini na nyie mnayasoma ma kozi yasiyo hitajika.
 
Mmmh mimi nilitaka nikapige ppm kwa lengo lakufanya re categorization ili niwe afisa mipango, mmh kumbe haviendani.
Mtafute afisa utumishi uongee naye,yawezekana wameshaiweka kwenye muundo wa kiutumishi as major subject
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…