Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Nilisoma Project Planning and Management lakini Nilipokuwa mwanachuo, Nilitaka Kufanya fieldwork yangu halmashauri kwenye idara ya fedha na mipango nikazuiliwa nikaelekezwa nifanye idara ya Maendeleo ya Jamii.Hebu tumwombe HR yeyote kutoka serikalini aje atutoe tongotongo hapa.
Hivi wizara ya fedha na mipango si Kuna division ya projects, vipi huko umefatilia
Hata baada ya kumaliza chuo Nilitaka kujitolea kwenye idara ya fedha na mipango nikazuiliwa nikaelekezwa nijitolee kwenye idara ya Maendeleo ya Jamii.
Lakini kozi hii Ni rahisi kupata kazi kwenye NGOs