Project planning Management and Community Development

you sound to have studied an interesting course.
do you think of kujiajiri... do you think you can start something from scratch.. do you have high level of writing skills.
let us communicate...
 
najua competition zipo ila isipokua ni ww mwenyewe jinsi ya kujibeba mwenyewe kwa mfano kwenye Interview hata kama ungesoma kozi ya watu kumi tuu Tanzania halafu unaitwa kwenye Interviiew ukambwela sidhani kama utapata kazi........

nafikiria kujiajiri ila kama unavyojua sisi watoto wa wakulima tatizo mwanzo vikwazo ni vingi sana..ok tuwasiliane kaka my number is 0782 513333 email mohamedmziray@gmail.com
 
Jamani nifafanulieni hii kozi inahusika na nini hasa...Huenda nina connections lakini sijui inahusika na mambo gani ili niweze kumsaidia kijana wetu huyu, Asanteni....
 
Kwa nini usiende nyumbani ukaangalie namna ya kuinua kilimo b'se it show us your good in development planning. Na ww ni kizazi cha mkulima.
 
The University of Dodoma (UDOM)

Duh.! UDOM??? kasome kwanza masters ndo 2kupe connections za bachelor, Bila shaka hata field hamjafanya, wengine wanasoma nyie mpo mitaani mmefukuzwa chuo, Bora hata ungekuwa Education ningekupa mchongo wa shule ya awali.
 
ata mimi natilia shaka uwezo wenu watu wa UDOM coz eti hamkufanya field sasa hapo kuna kazi..kupata kazi..lakini maisha yanaendelea wasiliana na hao wadau upate pa kuanzia.
 
ata mimi natilia shaka uwezo wenu watu wa UDOM coz eti hamkufanya field sasa hapo kuna kazi..kupata kazi..lakini maisha yanaendelea wasiliana na hao wadau upate pa kuanzia.

mbona hata wanaoenda field hawapewi kazi. Unashinda wako online FB. Field sio kigezo cha kupata kazi.
 
Punguzeni majungu mpeni moyo kijana sio kumkatisha tamaa kaja kuomba msaada.
 
Duh.! UDOM??? kasome kwanza masters ndo 2kupe connections za bachelor, Bila shaka hata field hamjafanya, wengine wanasoma nyie mpo mitaani mmefukuzwa chuo, Bora hata ungekuwa Education ningekupa mchongo wa shule ya awali.

acha kufikiria kwa makalio,mbona wewe kuna ka uzi umeanzisha mbako heading haiendani na kilichoko ndani
 
mbona hata wanaoenda field hawapewi kazi. Unashinda wako online FB. Field sio kigezo cha kupata kazi.

Kuwa mwelewa bro, kuwa online fcbk inategemea na field unayofanya, xaxa mi civil and construction engineer> kujenga daraja, fcbk nitakuwa online saa ngapi?
 
Nimependa confidence yako ndugu yangu. yaani unaonekana uko moto na unaona wote wanaosota mtaani bila kazi ni viaz. aisee........!
Twende kwenye mada sasa, mbona hujatuambia kuhusu GPA. weka wazi una GPA ya ngapi ili hata kama unatoa taarifa ofisini kuwa una mdogo wako unakuwa na full details. siyo wote tutakutumia Email au kukupigia simu, illi iwe rahisi kwa wadau wote humu jamvini.
 
Duh.! UDOM??? kasome kwanza masters ndo 2kupe connections za bachelor, Bila shaka hata field hamjafanya, wengine wanasoma nyie mpo mitaani mmefukuzwa chuo, Bora hata ungekuwa Education ningekupa mchongo wa shule ya awali.

Wangapi wamejifunzia kazi makazini?? Acha kuvunja watu mioyo. Besides judging graduates just by hearsays is biasness. Give somebody a chance to prove his/her worth. Then judge afterwards!

Mziranda, mi nakushauri tafuta organizations zinazoendana na taaluma yako na uwaombe ku'volunteer. U do something like an internship. Itakusaidia kujifunza kazi na pia unatengeza network/connections. You never know. Good luck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…