Projector

Projector

dongbei

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
158
Reaction score
147
Habalini wadau, naomba kujua projector yenye specificstions hizi inauzwa kwa pesa ngapi bongo?
Natanguliza shukrani.

Brand: K-Mic / Jin Maike
Model: KM990
Type: Business Projector home entertainment projector education projector theater projector mini projector 3D projector other types
Technology: Monolithic LCD Technology
Zoom: other multiples
Brightness: 1000-2000 lumens
Resolution (dpi): 800 * 600
Contrast Ratio: 1000:1 less
Screen aspect ratio: 4:3 16:9

T2aNRtXghNXXXXXXXX_%21%21389165047.jpg

Hizo za hivyo (za kichina) huku bongo hazipo!!!!

Tiba
 
Kwa aina hiyo ya projector mkuu hata kwa huku U.K BADO CJAWeza kukutana nayo.Tunaweza kuwa wa msaada kwako Kama ukihitaji kati ya hizi:

View attachment 138178View attachment 138179View attachment 138180

PROJECTORS:
Mitsubishi
Nec
Hp
sanyo
Focus
Epson

Mzigo nimetuma kutoka huku U.K(London) now unapatikana dar,shop no 14,msimbazi street opposite to Bigbonstation.
Wasiliana nasi;
Dar:0715267939/0754267939
UK: +447462912558
 
We jamaa kwani umepigwa marufuku kuandika bei zake?
Nmeona comment hii mara kibao, watu wanakuuliza bei unakaa kimya, toa current price bwana, kitu kingine hizi sredi zinazo tolewa hapa huwa zinawasaidia waliotoa siredi na watu wengine.

Toa bei za hizo projector zako, be confident.
 
Back
Top Bottom