Projects that will cement Nairobi status as the top business hub in sub-Saharan Africa

These and many more projects are the reason why Nairobi is now beating all cities in Africa to feature among the Top 20 most dynamic global cities. In fact Nairobi is the only African city in the top 20.

2017
2019
 
What illigal materials are you consuming?
 
Do you mean the same Nairobi - Nanyuki train that has stalled several times in the middle of no where? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Do you mean the same Nairobi - Nanyuki train that has stalled several times in the middle of no where? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na inabeba mizigo mingi kwa wiki moja kuliko yenye Tazara imebeba kwa miaka 50
 
Nikikumbuka suala la Pinnacle Tower kuwa limepitea najisikia kulia.
 
Nikikumbuka suala la Pinnacle Tower kuwa limepitea najisikia kulia.
View attachment 1683564
Ujinga kwa hii comment yako ni kadhaa
i) Pinnacle imesmamishwa na koti, mpaka kesi yao iishe. Haimaanishi haitajengwa, yani mpaka kesi ya ardhi iishe ndio waendelee kujenga.
ii) Hii uzi inahusu projects za GOK ambazo zishaanza kujengwa
iii) Hujui tofauti ya public na private investment, hii uzi inahusu public infrastructure.

Kwa hayo machache natumai nimetoa kutu, angalau kidogo kwa ubongo wako.
 
Mungu wangu kumbe pinnacle tower imesimamishwa!! Vipi kuhusu AVIC tower!?
 
Oh!! Kumbe basi jitahidini muwe mnamaliza project. Pinnacle Tower ili trend sana.
Nyinyi sgr phase 1 (200 km) mmemaliza? Kale kabarabara ka 19 km ambayo imechukua miaka 5 sasa imemalizwa? Ile kukarabati mgr yenyu imeisha ama bado magu yuko kwa mbio ya kuwadanganya na picha za kuchomelea vyuma?
 
Duh!! Yamekuwa haya tena. Baada ya kuuliza pinnacle tower ndio unang'aka hivi!?
 
Na bahari italetwa nairobieee[emoji23]
yani nyinyi nairobi ikiwapiga knockout kwa miundombinu mnakimbilia bahari....what a lame excuse.Uganda,rwanda,burundi ndio unaweza waringishia bahari..kenya tuko nayo bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…