Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Fedha za hizi projects,alitarajia kuomba au ni sadaka?
Au ana wafadhili kutoka nje?
 
KKKT kwa michango ni sawa na CCM.
KKKT wanakusanya fedha kwa watu,hawarudishi hata Senti Tano Kwa watu walio wachangia
Utadhani fedha ziliandikwa ni zao
Utakutana nao siku ya kukuzika TU!
 
Ipo hii ya kufunga siku 40 kuanzia 4 November, mwaka huu nimejiunga kwenye kufunga. Tunamaliza 14 December.

Siyo lelemama ila inaimarisha afiya.
 
Kwenye kila baraka kuna laana
Kila penye mafanikio pana mapungufu
Kufanya mambo fulani hakukufanyi kuwa mkubwa kuliko taasisi
Ndiyo maana nakuoendaga mzee baba, yaani inapokuja kwenye suala la uhalisia wa maisha hujawahi kupoa mzee Mshana
 
ukitenda mazuri kwa wanadamu chukizo kwa
wanadamu tena
Watakao furahi ni wale unaowatendea wasiotaka nafasi yako, wale wanaoona nao wanaweza kufanya kama wewe na Kwa nini wao hawapewi hiyo nafsi siku zote hawataona jema lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…