Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Nimekuwa nikifwatilia mijadala ya kisiasa inayoendelea nchini Kenya, binafsi namsifu sana
Raisi Uhuru Kenya kwa hiyo miradi hasa ya treni SGR na naamini ilikuwa ni lazima ifanyike kwani nchi bila ya Miundombinu ya kisasa ni ngumu sana kuweza kujenga Uchumi imara, sasa kinachonishangaza ni kwamba hii miradi inapigwa vita kuliko maelezo, lkn nina uhakika kama miradi hii hii ya leo ingefanywa na Raila Odinga sasa hivi kungekuwa na kila nyimbo za kumsifu!
Raisi Uhuru Kenya ametoa mchango wake hata kama lengo halikufikiwa wengine nao watakuja kuendeleza na siyo kuanza kubomoa, kwa maoni yangu mimi Raisi Uhuru anastahili pongezi, sana tu!