Projects za Raisi Uhuru Kenya, zingefanywa na Raila Odinga!

Projects za Raisi Uhuru Kenya, zingefanywa na Raila Odinga!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Nimekuwa nikifwatilia mijadala ya kisiasa inayoendelea nchini Kenya, binafsi namsifu sana
Raisi Uhuru Kenya kwa hiyo miradi hasa ya treni SGR na naamini ilikuwa ni lazima ifanyike kwani nchi bila ya Miundombinu ya kisasa ni ngumu sana kuweza kujenga Uchumi imara, sasa kinachonishangaza ni kwamba hii miradi inapigwa vita kuliko maelezo, lkn nina uhakika kama miradi hii hii ya leo ingefanywa na Raila Odinga sasa hivi kungekuwa na kila nyimbo za kumsifu!

Raisi Uhuru Kenya ametoa mchango wake hata kama lengo halikufikiwa wengine nao watakuja kuendeleza na siyo kuanza kubomoa, kwa maoni yangu mimi Raisi Uhuru anastahili pongezi, sana tu!
 
Usishangae, wakenya na vituko vyao. From this forum, I can see people hold their own opinions very strongly. Those that love jubilee achievements are not scared to say so and those who see more of jubilee failures are also very sure of what they want.
Wacha tuone manifesto zao baada ya usajili Wa wapiga kura. Am not sure who will go first, jubilee or NASA but I think Jubilee will be quick off the blocks. NASA seem to be still getting their house together.
These election's while emotive as usual, will definitely be very entertaining.
 
NASA msimamo hakuna kule...
Wote wapo kupgania maslai yao binafs na c ya wakenya..
Mtaona fujo zitakazojil kumsimamisha mgombea...
Watafitinishana mpk bac...
Jubilee lzm washnde 2 koz oposition parts hawana mbinu sahihi za kuwatoa Jubilee
 
NASA msimamo hakuna kule...
Wote wapo kupgania maslai yao binafs na c ya wakenya..
Mtaona fujo zitakazojil kumsimamisha mgombea...
Watafitinishana mpk bac...
Jubilee lzm washnde 2 koz oposition parts hawana mbinu sahihi za kuwatoa Jubilee
pia jubilee isipokua kwenye urais pekee huku chini kutakua na uasi mwingi maana utapata watu wanne wanagombea na chama hicho kimoja.watakapoa amua ni fulani basi wale wengine niko nauhakika bado watawania hicho hicho ila hapa sasa ndipo itabidi wabadili chama na six piece inavyo itwa itakua imesambaratika
 
Back
Top Bottom