Promosheni ya shinda zaidi na Sportpesa watanzania wazidi kujinyakulia bajaji

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
203
Reaction score
83

Mshindi wa droo ya sita wa promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa inayoendeshwa na kampuni ya kubashiri Tanzania SportPesa amepatikana leo 26, Septemba 2018.BARAKA KASUKU kutoka Mabatini Amejishindia Bajaji ya Sita katika Promoshenii anbayo Bajiji 100 zitashindaniwa katika kipindi cha Miezi mitatu.Mpaka leo zimebaki Bajaji 94..
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumtangaza mshindi huyo Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tanzania, Tarimba Abbas alisema “Kupitia promosheni hii Sportpesa watatoa bajaji 100 na tumekuwa tukiwafatilia washindi wetu na kusema ukweli maisha yao Yamebadilika sana tofauti na awali kabla ya kujishindia bajaji hio.., bora zaidi na wanawe kujikimu kimaisha mfano waliokuwa wanapitia changamoto ya kuwapeleka watoto shuleni kutokana na ada ama vifaa vya shule wamefanikisha hilo, na waliokuwa wanapata changamoto kuendesha familia zao kwa sasa wanaendelea vizuri.”
Hii maana yake ni kwamba wanaoshiriki kucheza na SportPesa ambapo pia ni burudani”Hii inatutia moyo sisi kama kampuni kwamba promosheni yetu inasikika na inajulikana sehemu kubwa ya nchi na watu wa aina tofauti na hata washindi tuliowapata kwenye promosheni iliyopita asilimia kubwa walipatikana kutoka mikoani.Safari hii mteja wa SportPesa anapaswa kuweka ubashiri wake na moja kwa moja ataingia kwenye droo ya kuwania bajaji mpya”.Mtumiaji wa mitandao yoyote ya simu anaweza kucheza kupitia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupiga *150*87# kwa USSD, APP, njia ya mtandao(WEBSITE) na kupitia ujumbe mfupi yaani SMS.
 
Wew umecheza mara ngapi na umeshinda mara ngapi, tuanzie apoo kwanza
 
Nyie hamko serious airtel ukitaka kuweka pesa kwenye wallet ni bora ununue bando kama una 10,000 kamili sahau kuiweka kwenye wallet kama ilivyo ada ni kubwa mno.
.
.
Vodacom wanakata ila ni afadhali kidogo airtel ni komesha.
.
USSD yenu ni kituko ina game 15 tu za muda unaofuata bora muifute au muige USSD ya M-BET inafurahisha kwakweli kama kuna game 200 zote utaziona kwa mara moja na hakuna makato wakati wa kuweka pesa kwenye pochi kwa airtel hata kama ni laki 5, voda wanakata gharama na hiyo uliyokatwa utaikuta kwenye pochi kama fidia japo wanamapungufu yakulipa haraka.
Ahsante m bet
 
Back
Top Bottom