Promota Andaeni pambano la Mandonga Vs Mandonga Jr mtapiga hela

Promota Andaeni pambano la Mandonga Vs Mandonga Jr mtapiga hela

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
Nyota wa ngumi Tanzania karim mandonga baada ya kumtambulisha mwanae kwenye vitasa , mapromota andaeni pambano la mandonga na mwanae mtapiga hela japo ni Nilaana mzazi na mtoto kupigana 😃😂🤣
 
Na mimi nahitaji pambano la masumbwi na Mzee Mgaya. Nataka nimchape upper cult 💪 za kutosha.
 
Back
Top Bottom