Promota Jerry Msangi wapi Matumla MBM grand

Promota Jerry Msangi wapi Matumla MBM grand

nabbingo

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
101
Reaction score
47
Tuliambiwa mtoto wa Matumla angepigana leo ktk mapambano ya utangulizi katika pambano kati ya F. Mayweather na Man Pacquaiao mpk muda huu pambano linaanza simwoni hy dogo. Kulikoni?
 
Weight yake ndogo sana kulikuwa hamna mtu wa kupigana nae maana wangepata Murder case.
 
Tujuzeni basi tusiokuwa na dikoda ya Dstv, je Mayweather na Manpaciao, nani amekuwa mbabe?
 
Ile ilikuwa ni njia ya watu kupiga mpunga
 
Tuliambiwa mtoto wa Matumla angepigana leo ktk mapambano ya utangulizi katika pambano kati ya F. Mayweather na Man Pacquaiao mpk muda huu pambano linaanza simwoni hy dogo. Kulikoni?

Unadhani Huko MGM Grand Unakwenda Tu Kihovyo Hovyo Kama Unavyoenda Kijijini Kwenu KYAKA NKUNDE? Atapigana Hapa Hapa Tu!
 
''Promota Majalala anasuti chini ana Ndala,huu si ufala kivipi mimi nijitoe kafara'' Pwii pwii eti Promota anabip.....
 
Ametumia mbinu ya kibiashara hyo promota, siku zote wajinga hawaishi labda bahari ikauke
 
Tuliambiwa mtoto wa Matumla angepigana leo ktk mapambano ya utangulizi katika pambano kati ya F. Mayweather na Man Pacquaiao mpk muda huu pambano linaanza simwoni hy dogo. Kulikoni?

Msangi ni mpigaji tu..ameshafanya yake..na ule mpambano ulikuwa umepangwa yule dogo Matumla ashinde iwe rahisi kumtampeli..!!
 
Tuliambiwa mtoto wa Matumla angepigana leo ktk mapambano ya utangulizi katika pambano kati ya F. Mayweather na Man Pacquaiao mpk muda huu pambano linaanza simwoni hy dogo. Kulikoni?

Wanawadanganya kwasababu mu rahisi kudanganyika. Alikuja Cheka na mkanda wake feki wa ''dunia'' akapelekwa mpaka bungeni. Waliokuwa wanajua wakasema kabisa huu mkanda ni boya kama mtu yoyote anavyoweza kusoma phd feki kwenye chuo feki na kujiita dr. Haya kiko wapi! bingwa wenu wa dunia amerudi kuokota chupa mtaani.
 
Kwa Mtindo Huu Mabondia Wetu Wataishia Kucheza Ndondo!
 
Huyu Promota Msangi Sijui Huwa anajiamini nini? Ata jinsi anavyo ongea utajua tu ni tapeli na huwa analaumiwa mara kwa Mara ata na mabondia lakini vyombo husika havimchukulii hatua stahili.
Ila yanamwisho hayo.
 
Back
Top Bottom