Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Mmhh hapa litakufa jitu😁😁Naona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037])
Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano pamoja na Mandonga mwenyewe aliyekubali hili pambano ni kwamba hawana akili, Golola Moses ni bondia mkubwa sana pale Uganda japo alianzia kwenye Kik boxer, hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga Golola, wajaribu kupitia upya wasifu wa Golola. Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaaniView attachment 2692468View attachment 2692469
Kick boxing ni tofauti na boxing,japhet kaseba aliua mtu,akahamia boxing akadundwa kiboya hapahapa TanganyikaIla ukija kwenye CV, aisee huyo Moses Golola CV yake imeshiba. Enzi anacheza kick boxing, alikuwa anatandika kweli wapinzani wake.
Mnakosea, Mandoga ushindi na kushindwa vyote ni ushindi kwakeBasi tumshauri asipande ulingoni, asije kufia ulingoni
Mnakosea, Mandoga ushindi na kushindwa vyote ni ushindi kwake
Ndiyo unamtisha Mandonga na hayo manyama uzembe? Minyama imelegea utadhani kuku la broilerNaona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037])
Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano pamoja na Mandonga mwenyewe aliyekubali hili pambano ni kwamba hawana akili, Golola Moses ni bondia mkubwa sana pale Uganda japo alianzia kwenye Kik boxer, hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga Golola, wajaribu kupitia upya wasifu wa Golola. Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaaniView attachment 2692468View attachment 2692469
Chief Mimi sipo humu kutishia mtu ila naongea uhalisiaNdiyo unamtisha Mandonga na hayo manyama uzembe? Minyama imelegea utadhani kuku la broiler
Ushindi sio ishu. Ila anaweza kufaMnakosea, Mandoga ushindi na kushindwa vyote ni ushindi kwake
Angalie na afya yake ohoooMandonga hapigani ili kushinda. Anajikusanyia pesa kama mstaafu.
Nokuauti itakuwa afadhali, sisi tunawaza kumpoteza mandongaKwahiyo tutegemee Mandonga kupigwa kwa Knokout sio?
Jamaa anapiganishwa haipiti wiki anapigana dah ,wanamuona kama msukule tu,Acha aendekeze masifa
Tu
Ova
DuhAshapigana wilaya zote Tanzania nasikia ataanza kwenda vijijini ndani ndani huko ili kukusanya pension yake ya uzeeni
DuhKabla ya hapo Mandonga mtu kazi atapigana na mkenya Wanyonyi tarehe 22[emoji23][emoji23]
Naona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037])
Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano pamoja na Mandonga mwenyewe aliyekubali hili pambano ni kwamba hawana akili.
Golola Moses ni bondia mkubwa sana pale Uganda japo alianzia kwenye Kik boxer, hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga Golola, wajaribu kupitia upya wasifu wa Golola.
Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaani