Promotion kwa kigezo cha Ndio Mzee ktk Mwalimu Nyerere Memorial Academy!!!!!

Uzalendi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
221
Reaction score
15
Hii sasa ni fedheha katika taasisi ya Umma. Kuna ndg yangu amepewa promotion hapo na kusisitiziwa iwe siri yake maana yeye amependelewa tuu na wenzake waliomaliza shule wote wameachwa, kwa hiyo akivujisha tuu atarudishwa kwenye cheo cha awali. Nukuu kwenye barua hiyo hii hapa,

“You will be under probation for six months exclusive of any period of leave. It should be clearly understood that in the event of failing to prove suitable for the promotion during the probation period, you will be restored to the post you were serving prior to your promotion.

Other terms and conditions of service will remain unchanged.”

Ukweli ni kwamba hata walimu waliokuwa wanatufundisha hawana ari ya kazi kwani wamegawanywa ili watawalike "devide and rule". Promotion ni moja ya mbinu zinazotumika yaani ndio Mzee kwa wanaume na wake za watu wenye heshima zao na rushwa ya ngono kwa wanawake wa ndio mzee. Vielelezo vyote vipo nitaviweka hapa ktk muda muafaka. Nawasilisha.
 
tumechoka na utumbo wako wa kila siku,mtu uko mtupu kichwani unataka vyeo nani akupe wewe? Wewe na bata mzinga wenzako mjiandae kufukuzwa tu,hakuna lingine
 
Wewe unaweza kuwa umeathirika maana hapo kuna waathirika wa magonjwa ya kisasa kama ni mwanafunzi, kama ni mwalimu umelogwa na hao washirika, pole sana kama unanufaika na uchuro huo. Unamaanisha utumbo wa mbuzi, ngombe au mbwa. Kanusha kama ni mmoja wa wafaidika na uzandiki huo. na ushahidi unakuja, utaumbuka na mabwana zako.
tumechoka na utumbo wako wa kila siku,mtu uko mtupu kichwani unataka vyeo nani akupe wewe? Wewe na bata mzinga wenzako mjiandae kufukuzwa tu,hakuna lingine
 
Hii sasa ni fedheha katika taasisi ya Umma. Kuna ndg yangu amepewa promotion hapo na kusisitiziwa iwe siri yake maana yeye amependelewa tuu na wenzake waliomaliza shule wote wameachwa, kwa hiyo akivujisha tuu atarudishwa kwenye cheo cha awali. Nukuu kwenye barua hiyo hii hapa,

"You will be under probation for six months exclusive of any period of leave. It should be clearly understood that in the event of failing to prove suitable for the promotion during the probation period, you will be restored to the post you were serving prior to your promotion.

Other terms and conditions of service will remain unchanged."

Ukweli ni kwamba hata walimu waliokuwa wanatufundisha hawana ari ya kazi kwani wamegawanywa ili watawalike "devide and rule". Promotion ni moja ya mbinu zinazotumika yaani ndio Mzee kwa wanaume na wake za watu wenye heshima zao na rushwa ya ngono kwa wanawake wa ndio mzee. Vielelezo vyote vipo nitaviweka hapa ktk muda muafaka. Nawasilisha.
Kwa kweli hawakutenda haki though kwa upande mwingine hapo bolded promotion ziwe zinatolewa based na performance ya mtu pia maana kuna idara zingine mtu anaingia asubuhi anasaini anaota jua saa 4 ikifika saa sita anasepa zake
 
Wee Bangusilo wakati tunasoma kulikuwa na Mwl anaitwa ERASTO MUHAGAMA lakini baadaye tukasikia amesomeshwa digrii ya pili na jina jipya KENETH MAPUNDA na alikuwa anapandishwa vyeo fastafasta, wakati analipiwa PhD ikaanza hivi kama unavyoita utumbo, lakini ikadhihirika ni kweli na PhD ikaota mbawa akaishi kutoroka kibano cha TAKUKURU. Na sasa inaonekana kuna akina ERASTO MUHAGAMA (KENETH MAPUNDA) wengine hapa. Sasa waulize mabwana zako KENETH MAPUNDA yuko wapi na aliwashinda nini wengine hadi promotion za fastafasta, ukipata jibu weka hapa.
tumechoka na utumbo wako wa kila siku,mtu uko mtupu kichwani unataka vyeo nani akupe wewe? Wewe na bata mzinga wenzako mjiandae kufukuzwa tu,hakuna lingine
 
Sijakuelewa ila ungejua wanafunzi tunavyofanyiwa na walimu wa kubebwa acha tuu, hata ukiwasemea mwanafunzi huna chako pale wala hakuna siri tena. Hii ni kansa katika elimu yetu, mimi binafsi najuta kusoma pale maana utu na hadhi yangu imeshushwa.
Ndugu naona umewakomalia jamaa!
 
Hivi nyie The Mwalimu,hakuna sehemu ya kupeleka malalamiko yenu?
 
Wewe umetoka wapi au shimoni, hii ndio dijitali ambapo kila uovu katika jamii huwekwa wazi. Kama huna cha kuchangia ni bora kunyamaza kuliko kujidhalilisha kwa kuuliza swali la kitoto. Hujui serikali inatumia mitandao kupata taarifa mbalimbali. Mfano issue ya EPA, Richmond, Meremeta na mabilioni ya Uswiss yalianzia hapa mtandaoni. Wewe hujui kuwa kwenye vyuo baadhi ya viongozi ni kama Miungu watu na hivyo hawapendi kukosolewa, sasa toa mchango wako kama unafikiria kwa kutumia kichwa.

Kwahiyo wewe unayefikiri kwa kutumia kichwa umeona hii ndio njia sahii jambo moja unalileta hapa zaidi ya mala 10?kweli hicho cheti cha gender unachosomea kinakuharibu.
 
Pole sana maana najua umekwishaadhirika kwa namna fulani maana pale si mchezo, huu uzandiki ningeuleta hapa ungejuaje wewe na wengine ili wawaepushe jamaa zao kwenye huo ufisadi na hatimae kubeba magonjwa kama huna msimamo, pale ukicheza hata mwanaume unaomba endekeza rahisi uone. Yaani pale shule hakuna endelea kushauri ndugu zako waende utaona ukweli maana walimu si waadilifu kutokana na kubebwa hawana sifa tofauti kabisa na zamani kwa sasa ni walimu wa vodafasta na ndugunaizetioni.
Kwahiyo wewe unayefikiri kwa kutumia kichwa umeona hii ndio njia sahii jambo moja unalileta hapa zaidi ya mala 10?kweli hicho cheti cha gender unachosomea kinakuharibu.
 
Uko wazi kwa vigezo lakini naona wameongeza yao kuwa sharti ujikombe kwa mkubwa au uwe ndugu au rafiki. Ndio maana pale hakuna anayejiamini maana hakuna jema wanalotenda ni dhambi tupu. Ndio maana hadi leo wanahujumu mali ya umma ili kujiendeleza wao, ila naona wameshagundulika na kiama chao chaja karibuni.
Kwani waraka wa utumishi unasemaje kuhusu jambo hili?
 
Ufafanuzi ni kuwa walimu pale wanaajiriwa kwa upendeleo, wanapandishwa madaraja kwa upendeleo na wanasomeshwa kwa upendeleo, pale sifa si kigezo na ndio maana hata wanafunzi tunafelishwa kwa kuwa tunakataa wanayotaka hao walimu vilaza. Kuna wanafuni wanapewa vyeti wakati wamefeli na hii imepelekea hata Ofisi ya mitihani kuwa vurugu tupu na bomu litalipuka si muda mrefu kuonyesha kuwa Chuo hiki ni bora kifungwe maana inatia aibu kwenye elimu ya Tanzania. Mlioomba pale tafuteni vyuo vyenye hadhi haraka maana pale unaenda kuombwa rushwa ya ngono kwa mwanamke na kufeli kwa mwanaume au kupata cheti kisicho na soko kwenye ajira.
Ebu tufafanulie maana kuna ndugu zetu wameomba kusoma kule, tatizo ni nini hasa ili tujue kabla hatujalipa ada.
 
We jamaa una matatizo kwa hicho chuo ni cha babako?Kama wakuu hawatambui mchango wako ondoka katafute maisha kwingine...woga wako unathibitisha kuwa hauko competent sokoni ndo maana unatuchosha na thread zako hapa kila siku
 
Wenye matatizo ya akili si lazima wajitangaze ila hata kama mchango wako ulivyo ni dalili, hata kama ni Msemaovyo lakini unatatizo zaidi ya hilo. Tusiseme uovu uliopo kwa kuwa wanaotekeleza hawatusikilizi ushindwe na ulegee kwa ushetani wako, kwa taarifa yako hapa ndio mambo yanayopuuzwa huletwa na wahusika wanazifanyia kazi. kama huna cha kuchangia unatuletea utumbo wako wa nini au umetumwa na hao watumia madaraka vibaya, basi waambie siku zao zinahesabika maana hata hao wanaowapendelea ni jicho la serikali. Pole sana kwa kutojitambua.

Kwa tread yako hii umedhihirisha namna ambavyo elimunhaijakukomboa ----- wee!!Typical uneducated academician ndo wewe!!Ulisoma wapi hata ushindwe kukidhi dhima ya msingi ya elimu ambayo ni kumwezesha beneficiary kukabiliana na mazingira yake?Kama kweli wewe ni miongoni mwa staff basi histahili kuwapo hapo kwani ni aina hii ya ufikiriaji mtatuzalishia taifa la mataahira...I would expect utumie nguvu nyingi kwenye publications but badala yake unakuja kupiga majungu lwejue social media...nyabaff msomi wa kitanzania
 
Back
Top Bottom