Angalia na hii.....
[h=2]Utata wa vyeti vya O-level na A-level vya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere Academy[/h]
Kuna utata katika majina ya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere na Dr.Mosses Kusiluka wa Ardhi University. Hili suala linafaa kuchunguzwa kwani Dr.Magoti wa Mwalimu Nyerere Academy ameoa nyumba moja na Prof.Kusiluka aliyekuwa DVC Academy wa OUT na ndio maana alimuajiri Mosses Kusiluka ambaye vyeti vyake vina utata/walakini.
Dr.Magoti pia alimuajiri Erasto Muhagama aliyetumia vyeti vya kugushi na alipofichuliwa baada ya kumsomesha degrii ya pili alimshauri aache kazi baada ya TAKUKURU kuanza kufatilia.
Kwa kuwa Serikali inahakiki vyeti ni vema kuanzia na hili na kuwawajibisha viongozi wa Mwalimu Nyerere ambao wanapeana kazi kindugu na kufumbia macho kughushi vyeti na ufisadi mbalimbali kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa. Nawasilisha kwa hatua za haraka.
[h=2]Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Kigamboni kinafilisika?[/h]
Kwa sasa Wafanyakazi wametangaziwa na Uongozi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kupitia wakuu wa idara kuwa kuanzia mwezi wa saba 2013 waanze kufunga mikanda maana mishahara wa mwezi wa saba utatoka tarehe za mwezi wa nane. Pia pesa za nyumba, usafiri, likizo na posho ya saa za ziada haitakuwepo hadi ada za wanafunzi ipatikane mwezi wa kumi 2013. Pia pesa za kusimamia na kusahihisha mitihani na kusimamia utafiti kwa wanafunzi hawajalipwa walimu. Haieleweki kilichotokea maana fedha hizi zinatakiwa ziwe zimewekwa kwenye bajeti ya mwaka husika. Mkuu wa Chuo Dr. Magoti yuko bize kumalizia nyumba yake huko Bunju ili ahame kutoka nyumba yake ya Kigamboni atakapo maliza mkataba wake wa mwisho mwezi wa desemba 2013.
Shilingi milioni 680 za mapato ya ndani ya Chuo zimetumika kukarabati nyumba ya mtu binafsi huko Zanzibar kwa ajili ya hosteli ya wanafunzi. Matumizi haya mabovu ya fedha za walipa kodi ndio moja ya sababu ya Chuo kufilisika. Bodi ya Chuo imefichwa ukweli huo na hata kamati ya huduma za jamii ya Bunge ilipotembela Tawi la Chuo Zanzibar na kugundua ubovu wa kuvuja kwa jengo lililojengwa kwa mamilioni ya shilingi walifichwa ukweli wa ukarabati wa nyumba hiyo ya mtu binafsi kuifanya hosteli. Jengo lile bovu lililozinduliwa hata baada ya Kamati ya Bunge kuzuia uzinduzi wake ambapo ililalamikiwa Bungeni, hata ile asilimia 10 inayobakizwa hadi baada ya mradi kwisha kumbe nayo ilishalipwa lakini imefanywa siri kwa Uongozi wa Chuo bila Bodi ya Chuo wala Kamati ya Bunge kujulishwa ukweli. Kiburi hiki cha Uongozi wa Chuo hiki haijulikana kinatokana na nini maana imeshasemwa sana lakini hawasikii la mtu hata wanawadharau wawakilishi wa wananchi. Inasikitisha kweli kwa jeuri hii ya viongozi hawa wasio na aibu kwa jeuri yao ya kuwahonga kila wanaochunguza maovu yao.
[h=2]Dk John Magoti asema "JK hana cha kumwambia seuze kamati ya wabunge?"[/h]
NDUGU ZANGU MARA KADHAA NIMEKUWA NIKISEMA HAPA JUU YA UBABE ANAOUFANYA HUYU MKUU WA WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE,DK JOHN MAGOTI, KWA UBABE WAKE KWA WALIMU WENZAKE WA ZAMANI HAPA CHUO NA VITISHO MBALIMBALI ANAVYOTOA PALE ANAVYOAMBIWA UKWELI,UTASEMA ANA HISA NA KIKWETE NA ubia kwenye urais wake
NIMESIKITIKA SANA HIVI KARIBUNI KAMATI YA BUNGE ILIKITEMBELEA CHUO BRANCH YA DSM na ya zanzibar na walishangaa sana kwa jengo la ghorofa 5 la chuo cha zanzibar limeanza kuvuja na liko upande,mkandaras akiwa karibu ameshalipwa pesa zote za ujenzi,taarifa zilizopo ni kuwa kampuni ambayo imejenga majengo hayo ambayo inajenga hostel zilizopo brabch ya chuo ya kigamboni DSM NA JENGO HILO LA ZANZIBAR ni kampuni ambayo DK MAGOTI NA MSAJILI WA CHUO BWANA LUAMBANO WANAHISA KWA MGONGO WA NYUMA NA KILA TENDA UHAKIKISHA KUWA KAMPUNI HIYO NDIO WANAPATA KWA MAKUBALIANO YA 40%
KAMATI YA BUNGE IMEAMURU kuwa wanapaswa kujieleza na fedha zilizobaki mkandarasi asipewe,,,,,,,kwa masikio yangu juzi nimemsikia bwana huyu akisema kuwa hakuna wakumtisha katika nchi hii amekuwa kada wa CCM kwa muda mrefu sana na atakula mpaka atakapo staafu na akiamua kuongeza muda anaweza"
kukiwa na taarifa kuwa bwana huyu anabebwa na msaidizi 1 wapo wa ikulu kama ilivyokuwa kwa mama mipango yule aliekuwa anagoma kuondoka pale chuo cha ustawi wa jamii,mzee huyu ameshatolewa taarfa nyingi sana lakini TAKUKURU NA MIZENGO PINDA WAKIJA HAPA CHUONI WANAKUJA KUFUNIKA UFISADI HUU
MFANO, yupo mwalimu anaitwa mwalimu BUKUKU alikamatwa kabisa akidai rushwa kwa mwanachuo ya ngono na pesa ,lakini Magoti alikataaa swala hilo na kumsimamisha mwalimu huyo kwa wiki moja tu na baadae mwalimu huyo alimfelisha mwanachuo huyo na akarudia mwaka,MWALIMU BUKUKU MPAKA SASA YUPO CHUO NA ANATAMBA kuwa mpenzi wake sarah mwakyambiki atamtetea kwenye bodi ya chuo,sara sasa ameteuliwa kuwa mkuu wa shuo cha tawi la zanzibar
LEO NITASEMA KWA UCHACHE JUU YA UFISADI WA BWANA LUAMBANO NA DK MAGOTI NA KWA USHAHIDI NITAWEKA HAPA WARAKA WA SERIKALI AMBAO MAGOTI ALIUVUNJA NA AKISEMA KUWA HAKUNA WAKUMFANYA KITU.
MZEE HUYU MAGOTI AMEKUWA AKITUMIA NAFASI YAKE YA KUAMINIKA NA MWENYKT WA BODI DK SALIM AHMED SALIM AMBAE AMEKUWA MARA ZOTE HANA NAFASI YA KUSIMAMIA CHUO HIKI KUTOKANA NA MAJUKUMU MENGINE ALIONAYO.
UKISOMA KOPI NILIYOAMBATANISHA YA WARAKA WA SERIKALI UTAONA KUWA serikali imeagiza kuwa wanachuo wote wenye bima za matibabu wasichangishwe tena gharama za mataibabu na KWA wale ambao hawajajiunga na mfuko wa bima,wakichangishawa basi ktk vyuo vyote vya umma zahanati za vyuo husika vitajiunga na mfuko wa bima ya afya na mwanachuo atalipa kiasi kisicho zidi elfu 60 na atapewa bima ya matibabu.
DK Magoti na Luambano wamekuwa wakichangisha sh lingi la kimoja kila mwaka,MWANACHUO AUMWE AU ASIUMWE KILA MWAKA LAZIMA ALIPE, toka mwaka 2010 mpaka hivi sasa. wakihaidi kuwa watarejesha pesa hizo za wanafunzi hao baada ya kulipwa kwenye akaunt.SWALA AMBALO HADI SASA HALIJATENDEKA, NA CHUOONI WAALIMU TUNAAMBIWA KILA SIKU HAKUNA PESA NA HAKI STAILI ZETU MBALI MBALI HATUWEZI KUPATA. jumla ya wanachuo waliochangishwa kila mwaka wanakaribia zaidi ya 380 so utaona magoti na luambano wamekula pesa za wanachuo karibu milion 50 kila mwaka tangu mwaka 2010,NA WANACHUO WENGI WANAMALIZA CHUO WAKATI PESA HIZO HAZIJA REJESHWA
NAAMINI WOTE TUMESIKIA JUU YA MADUDU YA MKUU WA CHUO CHA TIA ARUSHA,AMBAE GAZETI LA RAIA MWEMA LILIMUANDIKA SANA, SASA AMEONDOLEWA CHUONI, LAKINI HUYU MAGOTI ANASEMA ANAUBIA NA KIKWETE, HAKUNA WAKUMFANYA KITU.
Luambano ambae ni msajili wa chuo, sasa ni tajiri mkubwa sana amamiliki tax zaidi ya 10,anascania semitraila 2 amanunua shamaba karibu ekari 200 rufiji na hutumia gari ya chuo kwendea ktk shamba lake,,,, )anaejaribu kufatilia atafute muda mzuri azungumze na madereva wa chuo watamwambia kila kitu mradi wahakikishiwe usalama wake
juzi mtoto wa Magoti alikuwa anaenda kutoa posa gari, la chuo na mafuta ya chuo yametumika kwneda kutoa posa ya mtoto wake Arusha na baadae Musoma,NISAN PATROL
magari ya chuo utumika kwenda kuwabeba watoto wa Luambano kuwapeekea na kuwarudisha shule, fikiria basi zima isuzu journey inatumika kumbemba mtu 1 na njian atakama kunanvua, haibebi mwanachuo, dreva atakuambia kuwa tumezuiwa kubeba mwanachuo na wakumbwa so bas zima mtoto 1 WA BOSI TU,,,WANAFUNZI WA CHUO AMBAO WAPO JF WATAKIRI HILO.
HUYU LUAMABANO NDIO YULE ALIEAJIRIWA HAPA CHUONI AKIWA NA MAIAKA 40 KINYUME NA taratibu za serikali akitokea kufukuzwa katika kile kiwanda cha kahawa na chai alicho kifilisi.
LUAMBANO NA MAGATI NDIO WALIOMUAJIRI BWANA MHAGAMA KWA CHETI BANDIA AKIWA NI NDUGU WA LAUAMBANAO WAKAMSOMESHA DIGRII KWA FEDHA ZA CHUO,MASTAZ NA PHD NA TULIPOSEMA HAPA WAKAMUONDOA KAZINI KWA TANGAZO KUWA AMEAMUA KUACHA KAZI MWENYEWE NA MPAKA LEO SI MAGOTI WALA LUAMBANO WALIOCHUKULIWA HATUA NA WAZIRI WA ELIMU WALA PINDA AMBAO WOTE WANALIJUA HILI
MH NAPE NNAUYE ALISHWAHI KUSOMA KTK CHUO HIKI NA ANAJUA KUWA MAGOTI NI FISADI TANGU ENZI NAPE AKISOMA HAPA .NAPE KWA WAKATI HUU EBU JARIBU KUMSEMEA MTU HUYU AONDOLEWE HAPA
MTAKUMBUKA NILIPOST HAPA SIKU ZA NYUMA KIDOGO KUHUSU MKUU HUYU WA CHUO, BWANA KISENA MABUBA AMBAE ni afisa mitihani hapa chuoni, alimtetea Magoti kwakuwa anajua ndie aliemuajiri hapa chuoni kwa kimemo toka kwa mkubwa mmoja wa serikali,HUYU MABUBA NAE ANATUHUMA NYINGI SANA ZA KULA RUSHWA AKIENDELEA KUTUUZI KWA KUTETEA UOZO TUTAMUANIKA HAPA, ATA SKENDO ILE YA KUMPA CHETI NA MATOKEO YA KUGUSHI MWANACHUO AMBAE ALIFELI, NA KUWAFAULISHA BAADHI YA WANACHYOI AMBAO WANAFELI,MABUBA SASA ANAGARI NA NYUMBA KILA MTUA ANASHANGAA KAVITOA WAPI,,,,RUSHWA RUSHWAAAA. NI NANI ANAYEYALINDA UOVU HUU WA CHUO HIKI HADI WANAKUWA NA KIBURI CHA RUSHWA KIASI HIKI? CHUO KINAKUFA KABISA ISIPOCHUKULIWA HATUA ZA HARAKA, WAFANYAKAZI WAHOJIWE KISIRISIRI WATAELEZA UOZO WOTE.