Promotion kwa kigezo cha Ndio Mzee ktk Mwalimu Nyerere Memorial Academy!!!!!

Huna utafiti funga domo lako wewe Msemaovyo, yaliyoandikwa yana ushahidi kama unabisha thibitisha vinginevyo maana wahusika wa sehema ile wanajua ukweli ila wewe bangusilo umeziba masikio, unasema kupablish kwenye ufisadi kuna pesa ya kufanya hivyo, p.u.mba.fu wewe changia mada au nenda kaolewe huko na unaowatetea, kwa ukenge wako wala sitajibishana tena na wewe ila nitawawekea ushahidi wa yaliyosemwa kwa watu makini wa hapa JF na si wewe kibaraka fuata upepo, kwaheri.
Kwa tread yako hii umedhihirisha namna ambavyo elimunhaijakukomboa ----- wee!!Typical uneducated academician ndo wewe!!Ulisoma wapi hata ushindwe kukidhi dhima ya msingi ya elimu ambayo ni kumwezesha beneficiary kukabiliana na mazingira yake?Kama kweli wewe ni miongoni mwa staff basi histahili kuwapo hapo kwani ni aina hii ya ufikiriaji mtatuzalishia taifa la mataahira...I would expect utumie nguvu nyingi kwenye publications but badala yake unakuja kupiga majungu lwejue social media...nyabaff msomi wa kitanzania
 
Aisee kwa staili hii ya wanataaluma nchi hii itapiga hatua kweli?Hoja ndogo tu hapa huwezi kujenga matokeo yake unaishia kurusha matusi...Kama mfumo wa elimu unaruhusu watu wasio na uwezo kama wewe kupitapita mpaka kufikia kupewa majukumu makubwa pasi kuwa na uwezo ni disaster...Tutarajie nini kwa product zako kama mwalimu!!!???Yaani kweli wewe ni academic staff??Huwezi kabisa kufanya mambo ambayo kijana wa kidato cha sita angetarajiwa kufanya???!!!Phheww

Where are we taking this country?Inaogopesha kama mbumbu.mbu anapata nafasi ya kufundisha vijana wetu?Anawafundisha nini wakati yeye mwenyewe hawezi ku-manage chaleenge zake?Anaishia kubwabwaja kwenye social medias tu?Ati research?Haya ni majungu as ungekuwa na facts ungezifikisha kwenye mamlaka husika...kaa kimya ufanye kazi au ondoka katafute kwingine watakakovumilia u.j.inga wako
 
Kuna jamaa yangu anafanyakazi pale alikuwa ananieleza jinsi management structure ilivyokuwa ya ajabu, eti kuna mtu mmoja kajirundikia vyeo yaani ni Registrar, Finance, Planning and Administration officer, alafu mkuu wa chuo kampa madaraka yake huwa anafikiri kwa niaba yake. Kwa staili hii unatarajia nini, Alafu eti kwa sasa chuo kimeishiwa hata kama ulisha lipia transcript unaambiwa hamna karatasi kwa ajili ya kuprint, aibu iliyoje?
 
Wewe hii ndio publication yako? Kweli nyani haoni ...... Ujumbe umefika.
Kwa tread yako hii umedhihirisha namna ambavyo elimunhaijakukomboa ----- wee!!Typical uneducated academician ndo wewe!!Ulisoma wapi hata ushindwe kukidhi dhima ya msingi ya elimu ambayo ni kumwezesha beneficiary kukabiliana na mazingira yake?Kama kweli wewe ni miongoni mwa staff basi histahili kuwapo hapo kwani ni aina hii ya ufikiriaji mtatuzalishia taifa la mataahira...I would expect utumie nguvu nyingi kwenye publications but badala yake unakuja kupiga majungu lwejue social media...nyabaff msomi wa kitanzania
 
Wewe hii ndio publication yako? Kweli nyani haoni ...... Ujumbe umefika.

Kwa uwezo mdogo wa kufikiri umeona hii ni publication?Unaona unavyozidi kuthibitisha kuwa you don't fit hapo ulipo?Hivi kweli kwa u-pompompo uliouthibitisha hapa bado unajiona kuwa uko sehemu sahihi?No wonder we have a country of moaners ambao hawawezi kuchukua hatua kama wewe...what should be expected kwa product zako kama wewe ambaye ni mwalimu wako uko kwenye hii state of mind?Halafu tunapokuwa na taifa ambalo kuanzia mkuu wa nchi,PM na wasaidizi wote ni moaners tu!!

You need to shape up your mind na ushauri wa bure ni kuwa rudi shule ukafute hayo madudu yanayokufanya uwe hivi hata ushindwe kujikomboa kifikra...Ni aibu kuwa na walimu wa aina yako
 
Ukoo wa panya kazini.
Kwa tread yako hii umedhihirisha namna ambavyo elimunhaijakukomboa ----- wee!!Typical uneducated academician ndo wewe!!Ulisoma wapi hata ushindwe kukidhi dhima ya msingi ya elimu ambayo ni kumwezesha beneficiary kukabiliana na mazingira yake?Kama kweli wewe ni miongoni mwa staff basi histahili kuwapo hapo kwani ni aina hii ya ufikiriaji mtatuzalishia taifa la mataahira...I would expect utumie nguvu nyingi kwenye publications but badala yake unakuja kupiga majungu lwejue social media...nyabaff msomi wa kitanzania
 
Ni kweli huyo ndio chanzo cha matatizo yote pate, ila ana mtandao mkubwa wa wizi maana ametokea mbali, hata hivyo siku zake zinahesabika maana mitego ya kumnasa sasa ipo hadi chumbani mwake. Angalia mauzauza zaidi ya hapo mtanadaoni.......

[h=2]Dk John Magoti anakifilisi chuo cha Nyerere Kigamboni[/h] HUYU MZEE ANA AMINIKA NA CCM KUFUNDISHA WATUMISHI WA CCM JE ATAWASAIDIA WaTUMISHI WA CCM?

NA amenunua vitabu 1200 kwa tsh milioni 97 mkuu wa maktaba alipomfuata nakutaka ufafanuzi kwanini kitabu cha tsh elf 20 kariakoo msambaza awauzie kwa tsh laki na elfu 20 alimwambia nyamaza na mpaka sasa bado anamshughulikia mkuu huyo wa maktaba

waziri mkuu pinda aliponmgea na watumishi tulitoa malalamiko yetu na hatua zikachukuliwa baada ya muda kidogo wale wote waliosema wakat wa waziri mkuu kikaon sasa mmoja mmoja anaacha kazi kwa vitisho

dk huyu amesha tumia zidi ya tsh milion 100 kwenda india kutibiwa macho

bwana lwambano wanaekula nae sasa anamafuso 8 na anafanyakazi chuoni kama mwajiri mkuu,leckcha na mwenyekiti wa zabuni kazi zote anajipa mwenyewe

SARA MWAKYAMBIKI AMBAE N MPENZI WAKE AMEMFANYA KUWA MKUU WA CHUO ZAZNBAR WAKATI HUO HUO SARA AKIMTETEA KWENYE BODI MWALIMU BUKUKU ALIETUHUMIWA MWAKA JANA KULA RUSHWA YA PESA NA NGONO ILI KUFAULISHWA WANAFUNZI MPAKA LEO MWALIMU HUYU ANATETEWA NA YUPO, SISI WALIMU WA ZAMAN HAPA TUNATENGWA SANA NA HUYU MZEE ANASEMA WAZI KUWA KTK NCHI HII HAKUNA WAKUMCHUKULIA HATUA

UOTE=OLUKUNDO;7003154]Kuna jamaa yangu anafanyakazi pale alikuwa ananieleza jinsi management structure ilivyokuwa ya ajabu, eti kuna mtu mmoja kajirundikia vyeo yaani ni Registrar, Finance, Planning and Administration officer, alafu mkuu wa chuo kampa madaraka yake huwa anafikiri kwa niaba yake. Kwa staili hii unatarajia nini, Alafu eti kwa sasa chuo kimeishiwa hata kama ulisha lipia transcript unaambiwa hamna karatasi kwa ajili ya kuprint, aibu iliyoje?[/QUOTE]
 
Ni kweli huyo ndio chanzo cha matatizo yote pate, ila ana mtandao mkubwa wa wizi maana ametokea mbali, hata hivyo siku zake zinahesabika maana mitego ya kumnasa sasa ipo hadi chumbani mwake. Angalia mauzauza zaidi ya hapo mtanadaoni.......

Dk John Magoti anakifilisi chuo cha Nyerere Kigamboni

HUYU MZEE ANA AMINIKA NA CCM KUFUNDISHA WATUMISHI WA CCM JE ATAWASAIDIA WaTUMISHI WA CCM?

NA amenunua vitabu 1200 kwa tsh milioni 97 mkuu wa maktaba alipomfuata nakutaka ufafanuzi kwanini kitabu cha tsh elf 20 kariakoo msambaza awauzie kwa tsh laki na elfu 20 alimwambia nyamaza na mpaka sasa bado anamshughulikia mkuu huyo wa maktaba

waziri mkuu pinda aliponmgea na watumishi tulitoa malalamiko yetu na hatua zikachukuliwa baada ya muda kidogo wale wote waliosema wakat wa waziri mkuu kikaon sasa mmoja mmoja anaacha kazi kwa vitisho

dk huyu amesha tumia zidi ya tsh milion 100 kwenda india kutibiwa macho

bwana lwambano wanaekula nae sasa anamafuso 8 na anafanyakazi chuoni kama mwajiri mkuu,leckcha na mwenyekiti wa zabuni kazi zote anajipa mwenyewe

SARA MWAKYAMBIKI AMBAE N MPENZI WAKE AMEMFANYA KUWA MKUU WA CHUO ZAZNBAR WAKATI HUO HUO SARA AKIMTETEA KWENYE BODI MWALIMU BUKUKU ALIETUHUMIWA MWAKA JANA KULA RUSHWA YA PESA NA NGONO ILI KUFAULISHWA WANAFUNZI MPAKA LEO MWALIMU HUYU ANATETEWA NA YUPO, SISI WALIMU WA ZAMAN HAPA TUNATENGWA SANA NA HUYU MZEE ANASEMA WAZI KUWA KTK NCHI HII HAKUNA WAKUMCHUKULIA HATUA

UOTE=OLUKUNDO;7003154]Kuna jamaa yangu anafanyakazi pale alikuwa ananieleza jinsi management structure ilivyokuwa ya ajabu, eti kuna mtu mmoja kajirundikia vyeo yaani ni Registrar, Finance, Planning and Administration officer, alafu mkuu wa chuo kampa madaraka yake huwa anafikiri kwa niaba yake. Kwa staili hii unatarajia nini, Alafu eti kwa sasa chuo kimeishiwa hata kama ulisha lipia transcript unaambiwa hamna karatasi kwa ajili ya kuprint, aibu iliyoje?
[/QUOTE]

We kweli una matatizo no wonder hicho chuo si miongoni mwa vyuo credible kama miongoni mwa staff ni watu wa aina yako...aina hii ya majungu nimezoea kuisikia kwa madereva na messengers but kama teaching staff wanakuwa na uwezo duni kiasi hiki ni lipi litarajiwe kwa product zao!!!!

Nimeona unanifuata PM hakuna haja wala umuhimu wa kurusha matusi na ukuhitaji kuniona nipo available na wala sina maslahi yoyote na chuo but maslahi yangu ni juu ya wanafunzi wanaofundishwa na mtu mwenye upeo kama wako na mzigo ambalo taifa litakuwa nao kama wewe na wenzako wenye upeo duni kama wako hamtachukua hatua ya kujiendeleza na kubadili attitude zenu.Walimu wa aina yako wanaandaa taifa la watu wa kuliali wakati tunatarajia kuwa na watu wenye uwezo wa kuhoji kwa mantiki na hoja zenye utafiti wa kutosha mbazo kwazo wataweza kuzitetea pasi mashaka mbele ya yeyote awaye.

You just need to shape up as what you are doing here hata kama wanayafanya upeo wako una-justify matendo hayo.
 
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hiki angejua jinsi jina lake linavyotumika vibaya kuidhinisha mambo yasiyo ya kweli na aliowaamini kwa kutumia madaraka vibaya asingekubaliana nao.
 
Angalia ulivyo mtumwa wa fikra, kwani umelazimishwa kusoma kisichokuhusu? Viongozi wetu wanapitia humu kuona kinachoendelea ambacho kwa hali ya kawaida hawawezi kuzipata kutokana na hali halisi. Kwa kugundua una upeo mdogo wa uelewa wa hali ya nchi hii kwa sasa sitajibu tena upuuzi wako zaidi nitajikita kuelezea yanayojiri ili viongozi na jamii waelewe na hatimaye kufanyiwa kazi. Jina lako linaendana na pumba unazoelezea kama unadhani kinachosemwa ni uongo njoo na ukweli unaoujua wewe, haya yanayoongelewa humu ni ya kweli na mengine yameshatatuliwa na mengine mafisadi wanafuatiliwa na vyombo husika na ndivyo tunavisaidia kwa kuweka mambo wazi humu JF.
Majungu kwani humjui mwenyekiti?Kusanya facts m-face si kuja kutupotezea muda
 
Angalia ulivyo mtumwa wa fikra, kwani umelazimishwa kusoma kisichokuhusu? Viongozi wetu wanapitia humu kuona kinachoendelea ambacho kwa hali ya kawaida hawawezi kuzipata kutokana na hali halisi. Kwa kugundua una upeo mdogo wa uelewa wa hali ya nchi hii kwa sasa sitajibu tena upuuzi wako zaidi nitajikita kuelezea yanayojiri ili viongozi na jamii waelewe na hatimaye kufanyiwa kazi. Jina lako linaendana na pumba unazoelezea kama unadhani kinachosemwa ni uongo njoo na ukweli unaoujua wewe, haya yanayoongelewa humu ni ya kweli na mengine yameshatatuliwa na mengine mafisadi wanafuatiliwa na vyombo husika na ndivyo tunavisaidia kwa kuweka mambo wazi humu JF.

Sihitaji kuthibitisha namna ulivyo mbabaishaji katika taasisi ya elimu ya juu...ukiuona kuwa katika hii thread yako ni mimi na wewe tu ndio tunajibizana ni ushahidi tosha kuwa Great Thinkers wameignore majungu unayoleta mtandaoni...nawahurumia hao vijana ambao kwao wewe ni mwalimu...inasikitisha ni aina ipi ya wasomi tunaowazalisha kama tu walimu wao hawawezi kufikiria out of the box na kuleta solution rather wanakuja ku-moan kwenye social networks.

Kuna taifa la watu wenye kuhoji litatarajiwa kama aina ya walimu ni wewe kweli?I am sorry for Tanzania my country but mfumo wa upatikanaji wa waalimu unatakiwa uangaliwe upya vinginevyo tuanaandaa taifa la majuha
 
Angalia na hii.....
[h=2]Utata wa vyeti vya O-level na A-level vya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere Academy[/h]
Kuna utata katika majina ya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere na Dr.Mosses Kusiluka wa Ardhi University. Hili suala linafaa kuchunguzwa kwani Dr.Magoti wa Mwalimu Nyerere Academy ameoa nyumba moja na Prof.Kusiluka aliyekuwa DVC Academy wa OUT na ndio maana alimuajiri Mosses Kusiluka ambaye vyeti vyake vina utata/walakini.

Dr.Magoti pia alimuajiri Erasto Muhagama aliyetumia vyeti vya kugushi na alipofichuliwa baada ya kumsomesha degrii ya pili alimshauri aache kazi baada ya TAKUKURU kuanza kufatilia.

Kwa kuwa Serikali inahakiki vyeti ni vema kuanzia na hili na kuwawajibisha viongozi wa Mwalimu Nyerere ambao wanapeana kazi kindugu na kufumbia macho kughushi vyeti na ufisadi mbalimbali kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa. Nawasilisha kwa hatua za haraka.

[h=2]Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Kigamboni kinafilisika?[/h]
Kwa sasa Wafanyakazi wametangaziwa na Uongozi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kupitia wakuu wa idara kuwa kuanzia mwezi wa saba 2013 waanze kufunga mikanda maana mishahara wa mwezi wa saba utatoka tarehe za mwezi wa nane. Pia pesa za nyumba, usafiri, likizo na posho ya saa za ziada haitakuwepo hadi ada za wanafunzi ipatikane mwezi wa kumi 2013. Pia pesa za kusimamia na kusahihisha mitihani na kusimamia utafiti kwa wanafunzi hawajalipwa walimu. Haieleweki kilichotokea maana fedha hizi zinatakiwa ziwe zimewekwa kwenye bajeti ya mwaka husika. Mkuu wa Chuo Dr. Magoti yuko bize kumalizia nyumba yake huko Bunju ili ahame kutoka nyumba yake ya Kigamboni atakapo maliza mkataba wake wa mwisho mwezi wa desemba 2013.

Shilingi milioni 680 za mapato ya ndani ya Chuo zimetumika kukarabati nyumba ya mtu binafsi huko Zanzibar kwa ajili ya hosteli ya wanafunzi. Matumizi haya mabovu ya fedha za walipa kodi ndio moja ya sababu ya Chuo kufilisika. Bodi ya Chuo imefichwa ukweli huo na hata kamati ya huduma za jamii ya Bunge ilipotembela Tawi la Chuo Zanzibar na kugundua ubovu wa kuvuja kwa jengo lililojengwa kwa mamilioni ya shilingi walifichwa ukweli wa ukarabati wa nyumba hiyo ya mtu binafsi kuifanya hosteli. Jengo lile bovu lililozinduliwa hata baada ya Kamati ya Bunge kuzuia uzinduzi wake ambapo ililalamikiwa Bungeni, hata ile asilimia 10 inayobakizwa hadi baada ya mradi kwisha kumbe nayo ilishalipwa lakini imefanywa siri kwa Uongozi wa Chuo bila Bodi ya Chuo wala Kamati ya Bunge kujulishwa ukweli. Kiburi hiki cha Uongozi wa Chuo hiki haijulikana kinatokana na nini maana imeshasemwa sana lakini hawasikii la mtu hata wanawadharau wawakilishi wa wananchi. Inasikitisha kweli kwa jeuri hii ya viongozi hawa wasio na aibu kwa jeuri yao ya kuwahonga kila wanaochunguza maovu yao.

[h=2]Dk John Magoti asema "JK hana cha kumwambia seuze kamati ya wabunge?"[/h]
NDUGU ZANGU MARA KADHAA NIMEKUWA NIKISEMA HAPA JUU YA UBABE ANAOUFANYA HUYU MKUU WA WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE,DK JOHN MAGOTI, KWA UBABE WAKE KWA WALIMU WENZAKE WA ZAMANI HAPA CHUO NA VITISHO MBALIMBALI ANAVYOTOA PALE ANAVYOAMBIWA UKWELI,UTASEMA ANA HISA NA KIKWETE NA ubia kwenye urais wake

NIMESIKITIKA SANA HIVI KARIBUNI KAMATI YA BUNGE ILIKITEMBELEA CHUO BRANCH YA DSM na ya zanzibar na walishangaa sana kwa jengo la ghorofa 5 la chuo cha zanzibar limeanza kuvuja na liko upande,mkandaras akiwa karibu ameshalipwa pesa zote za ujenzi,taarifa zilizopo ni kuwa kampuni ambayo imejenga majengo hayo ambayo inajenga hostel zilizopo brabch ya chuo ya kigamboni DSM NA JENGO HILO LA ZANZIBAR ni kampuni ambayo DK MAGOTI NA MSAJILI WA CHUO BWANA LUAMBANO WANAHISA KWA MGONGO WA NYUMA NA KILA TENDA UHAKIKISHA KUWA KAMPUNI HIYO NDIO WANAPATA KWA MAKUBALIANO YA 40%

KAMATI YA BUNGE IMEAMURU kuwa wanapaswa kujieleza na fedha zilizobaki mkandarasi asipewe,,,,,,,kwa masikio yangu juzi nimemsikia bwana huyu akisema kuwa hakuna wakumtisha katika nchi hii amekuwa kada wa CCM kwa muda mrefu sana na atakula mpaka atakapo staafu na akiamua kuongeza muda anaweza"

kukiwa na taarifa kuwa bwana huyu anabebwa na msaidizi 1 wapo wa ikulu kama ilivyokuwa kwa mama mipango yule aliekuwa anagoma kuondoka pale chuo cha ustawi wa jamii,mzee huyu ameshatolewa taarfa nyingi sana lakini TAKUKURU NA MIZENGO PINDA WAKIJA HAPA CHUONI WANAKUJA KUFUNIKA UFISADI HUU

MFANO, yupo mwalimu anaitwa mwalimu BUKUKU alikamatwa kabisa akidai rushwa kwa mwanachuo ya ngono na pesa ,lakini Magoti alikataaa swala hilo na kumsimamisha mwalimu huyo kwa wiki moja tu na baadae mwalimu huyo alimfelisha mwanachuo huyo na akarudia mwaka,MWALIMU BUKUKU MPAKA SASA YUPO CHUO NA ANATAMBA kuwa mpenzi wake sarah mwakyambiki atamtetea kwenye bodi ya chuo,sara sasa ameteuliwa kuwa mkuu wa shuo cha tawi la zanzibar

LEO NITASEMA KWA UCHACHE JUU YA UFISADI WA BWANA LUAMBANO NA DK MAGOTI NA KWA USHAHIDI NITAWEKA HAPA WARAKA WA SERIKALI AMBAO MAGOTI ALIUVUNJA NA AKISEMA KUWA HAKUNA WAKUMFANYA KITU.

MZEE HUYU MAGOTI AMEKUWA AKITUMIA NAFASI YAKE YA KUAMINIKA NA MWENYKT WA BODI DK SALIM AHMED SALIM AMBAE AMEKUWA MARA ZOTE HANA NAFASI YA KUSIMAMIA CHUO HIKI KUTOKANA NA MAJUKUMU MENGINE ALIONAYO.

UKISOMA KOPI NILIYOAMBATANISHA YA WARAKA WA SERIKALI UTAONA KUWA serikali imeagiza kuwa wanachuo wote wenye bima za matibabu wasichangishwe tena gharama za mataibabu na KWA wale ambao hawajajiunga na mfuko wa bima,wakichangishawa basi ktk vyuo vyote vya umma zahanati za vyuo husika vitajiunga na mfuko wa bima ya afya na mwanachuo atalipa kiasi kisicho zidi elfu 60 na atapewa bima ya matibabu.

DK Magoti na Luambano wamekuwa wakichangisha sh lingi la kimoja kila mwaka,MWANACHUO AUMWE AU ASIUMWE KILA MWAKA LAZIMA ALIPE, toka mwaka 2010 mpaka hivi sasa. wakihaidi kuwa watarejesha pesa hizo za wanafunzi hao baada ya kulipwa kwenye akaunt.SWALA AMBALO HADI SASA HALIJATENDEKA, NA CHUOONI WAALIMU TUNAAMBIWA KILA SIKU HAKUNA PESA NA HAKI STAILI ZETU MBALI MBALI HATUWEZI KUPATA. jumla ya wanachuo waliochangishwa kila mwaka wanakaribia zaidi ya 380 so utaona magoti na luambano wamekula pesa za wanachuo karibu milion 50 kila mwaka tangu mwaka 2010,NA WANACHUO WENGI WANAMALIZA CHUO WAKATI PESA HIZO HAZIJA REJESHWA
NAAMINI WOTE TUMESIKIA JUU YA MADUDU YA MKUU WA CHUO CHA TIA ARUSHA,AMBAE GAZETI LA RAIA MWEMA LILIMUANDIKA SANA, SASA AMEONDOLEWA CHUONI, LAKINI HUYU MAGOTI ANASEMA ANAUBIA NA KIKWETE, HAKUNA WAKUMFANYA KITU.

Luambano ambae ni msajili wa chuo, sasa ni tajiri mkubwa sana amamiliki tax zaidi ya 10,anascania semitraila 2 amanunua shamaba karibu ekari 200 rufiji na hutumia gari ya chuo kwendea ktk shamba lake,,,, )anaejaribu kufatilia atafute muda mzuri azungumze na madereva wa chuo watamwambia kila kitu mradi wahakikishiwe usalama wake

juzi mtoto wa Magoti alikuwa anaenda kutoa posa gari, la chuo na mafuta ya chuo yametumika kwneda kutoa posa ya mtoto wake Arusha na baadae Musoma,NISAN PATROL

magari ya chuo utumika kwenda kuwabeba watoto wa Luambano kuwapeekea na kuwarudisha shule, fikiria basi zima isuzu journey inatumika kumbemba mtu 1 na njian atakama kunanvua, haibebi mwanachuo, dreva atakuambia kuwa tumezuiwa kubeba mwanachuo na wakumbwa so bas zima mtoto 1 WA BOSI TU,,,WANAFUNZI WA CHUO AMBAO WAPO JF WATAKIRI HILO.

HUYU LUAMABANO NDIO YULE ALIEAJIRIWA HAPA CHUONI AKIWA NA MAIAKA 40 KINYUME NA taratibu za serikali akitokea kufukuzwa katika kile kiwanda cha kahawa na chai alicho kifilisi.

LUAMBANO NA MAGATI NDIO WALIOMUAJIRI BWANA MHAGAMA KWA CHETI BANDIA AKIWA NI NDUGU WA LAUAMBANAO WAKAMSOMESHA DIGRII KWA FEDHA ZA CHUO,MASTAZ NA PHD NA TULIPOSEMA HAPA WAKAMUONDOA KAZINI KWA TANGAZO KUWA AMEAMUA KUACHA KAZI MWENYEWE NA MPAKA LEO SI MAGOTI WALA LUAMBANO WALIOCHUKULIWA HATUA NA WAZIRI WA ELIMU WALA PINDA AMBAO WOTE WANALIJUA HILI

MH NAPE NNAUYE ALISHWAHI KUSOMA KTK CHUO HIKI NA ANAJUA KUWA MAGOTI NI FISADI TANGU ENZI NAPE AKISOMA HAPA .NAPE KWA WAKATI HUU EBU JARIBU KUMSEMEA MTU HUYU AONDOLEWE HAPA

MTAKUMBUKA NILIPOST HAPA SIKU ZA NYUMA KIDOGO KUHUSU MKUU HUYU WA CHUO, BWANA KISENA MABUBA AMBAE ni afisa mitihani hapa chuoni, alimtetea Magoti kwakuwa anajua ndie aliemuajiri hapa chuoni kwa kimemo toka kwa mkubwa mmoja wa serikali,HUYU MABUBA NAE ANATUHUMA NYINGI SANA ZA KULA RUSHWA AKIENDELEA KUTUUZI KWA KUTETEA UOZO TUTAMUANIKA HAPA, ATA SKENDO ILE YA KUMPA CHETI NA MATOKEO YA KUGUSHI MWANACHUO AMBAE ALIFELI, NA KUWAFAULISHA BAADHI YA WANACHYOI AMBAO WANAFELI,MABUBA SASA ANAGARI NA NYUMBA KILA MTUA ANASHANGAA KAVITOA WAPI,,,,RUSHWA RUSHWAAAA. NI NANI ANAYEYALINDA UOVU HUU WA CHUO HIKI HADI WANAKUWA NA KIBURI CHA RUSHWA KIASI HIKI? CHUO KINAKUFA KABISA ISIPOCHUKULIWA HATUA ZA HARAKA, WAFANYAKAZI WAHOJIWE KISIRISIRI WATAELEZA UOZO WOTE.

Sihitaji kuthibitisha namna ulivyo mbabaishaji katika taasisi ya elimu ya juu...ukiuona kuwa katika hii thread yako ni mimi na wewe tu ndio tunajibizana ni ushahidi tosha kuwa Great Thinkers wameignore majungu unayoleta mtandaoni...nawahurumia hao vijana ambao kwao wewe ni mwalimu...inasikitisha ni aina ipi ya wasomi tunaowazalisha kama tu walimu wao hawawezi kufikiria out of the box na kuleta solution rather wanakuja ku-moan kwenye social networks.

Kuna taifa la watu wenye kuhoji litatarajiwa kama aina ya walimu ni wewe kweli?I am sorry for Tanzania my country but mfumo wa upatikanaji wa waalimu unatakiwa uangaliwe upya vinginevyo tuanaandaa taifa la majuha
 
Angalia na hii.....
Utata wa vyeti vya O-level na A-level vya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere Academy

Kuna utata katika majina ya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere na Dr.Mosses Kusiluka wa Ardhi University. Hili suala linafaa kuchunguzwa kwani Dr.Magoti wa Mwalimu Nyerere Academy ameoa nyumba moja na Prof.Kusiluka aliyekuwa DVC Academy wa OUT na ndio maana alimuajiri Mosses Kusiluka ambaye vyeti vyake vina utata/walakini.

Dr.Magoti pia alimuajiri Erasto Muhagama aliyetumia vyeti vya kugushi na alipofichuliwa baada ya kumsomesha degrii ya pili alimshauri aache kazi baada ya TAKUKURU kuanza kufatilia.

Kwa kuwa Serikali inahakiki vyeti ni vema kuanzia na hili na kuwawajibisha viongozi wa Mwalimu Nyerere ambao wanapeana kazi kindugu na kufumbia macho kughushi vyeti na ufisadi mbalimbali kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa. Nawasilisha kwa hatua za haraka.

Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Kigamboni kinafilisika?

Kwa sasa Wafanyakazi wametangaziwa na Uongozi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kupitia wakuu wa idara kuwa kuanzia mwezi wa saba 2013 waanze kufunga mikanda maana mishahara wa mwezi wa saba utatoka tarehe za mwezi wa nane. Pia pesa za nyumba, usafiri, likizo na posho ya saa za ziada haitakuwepo hadi ada za wanafunzi ipatikane mwezi wa kumi 2013. Pia pesa za kusimamia na kusahihisha mitihani na kusimamia utafiti kwa wanafunzi hawajalipwa walimu. Haieleweki kilichotokea maana fedha hizi zinatakiwa ziwe zimewekwa kwenye bajeti ya mwaka husika. Mkuu wa Chuo Dr. Magoti yuko bize kumalizia nyumba yake huko Bunju ili ahame kutoka nyumba yake ya Kigamboni atakapo maliza mkataba wake wa mwisho mwezi wa desemba 2013.

Shilingi milioni 680 za mapato ya ndani ya Chuo zimetumika kukarabati nyumba ya mtu binafsi huko Zanzibar kwa ajili ya hosteli ya wanafunzi. Matumizi haya mabovu ya fedha za walipa kodi ndio moja ya sababu ya Chuo kufilisika. Bodi ya Chuo imefichwa ukweli huo na hata kamati ya huduma za jamii ya Bunge ilipotembela Tawi la Chuo Zanzibar na kugundua ubovu wa kuvuja kwa jengo lililojengwa kwa mamilioni ya shilingi walifichwa ukweli wa ukarabati wa nyumba hiyo ya mtu binafsi kuifanya hosteli. Jengo lile bovu lililozinduliwa hata baada ya Kamati ya Bunge kuzuia uzinduzi wake ambapo ililalamikiwa Bungeni, hata ile asilimia 10 inayobakizwa hadi baada ya mradi kwisha kumbe nayo ilishalipwa lakini imefanywa siri kwa Uongozi wa Chuo bila Bodi ya Chuo wala Kamati ya Bunge kujulishwa ukweli. Kiburi hiki cha Uongozi wa Chuo hiki haijulikana kinatokana na nini maana imeshasemwa sana lakini hawasikii la mtu hata wanawadharau wawakilishi wa wananchi. Inasikitisha kweli kwa jeuri hii ya viongozi hawa wasio na aibu kwa jeuri yao ya kuwahonga kila wanaochunguza maovu yao.

Dk John Magoti asema "JK hana cha kumwambia seuze kamati ya wabunge?"

NDUGU ZANGU MARA KADHAA NIMEKUWA NIKISEMA HAPA JUU YA UBABE ANAOUFANYA HUYU MKUU WA WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE,DK JOHN MAGOTI, KWA UBABE WAKE KWA WALIMU WENZAKE WA ZAMANI HAPA CHUO NA VITISHO MBALIMBALI ANAVYOTOA PALE ANAVYOAMBIWA UKWELI,UTASEMA ANA HISA NA KIKWETE NA ubia kwenye urais wake

NIMESIKITIKA SANA HIVI KARIBUNI KAMATI YA BUNGE ILIKITEMBELEA CHUO BRANCH YA DSM na ya zanzibar na walishangaa sana kwa jengo la ghorofa 5 la chuo cha zanzibar limeanza kuvuja na liko upande,mkandaras akiwa karibu ameshalipwa pesa zote za ujenzi,taarifa zilizopo ni kuwa kampuni ambayo imejenga majengo hayo ambayo inajenga hostel zilizopo brabch ya chuo ya kigamboni DSM NA JENGO HILO LA ZANZIBAR ni kampuni ambayo DK MAGOTI NA MSAJILI WA CHUO BWANA LUAMBANO WANAHISA KWA MGONGO WA NYUMA NA KILA TENDA UHAKIKISHA KUWA KAMPUNI HIYO NDIO WANAPATA KWA MAKUBALIANO YA 40%

KAMATI YA BUNGE IMEAMURU kuwa wanapaswa kujieleza na fedha zilizobaki mkandarasi asipewe,,,,,,,kwa masikio yangu juzi nimemsikia bwana huyu akisema kuwa hakuna wakumtisha katika nchi hii amekuwa kada wa CCM kwa muda mrefu sana na atakula mpaka atakapo staafu na akiamua kuongeza muda anaweza"

kukiwa na taarifa kuwa bwana huyu anabebwa na msaidizi 1 wapo wa ikulu kama ilivyokuwa kwa mama mipango yule aliekuwa anagoma kuondoka pale chuo cha ustawi wa jamii,mzee huyu ameshatolewa taarfa nyingi sana lakini TAKUKURU NA MIZENGO PINDA WAKIJA HAPA CHUONI WANAKUJA KUFUNIKA UFISADI HUU

MFANO, yupo mwalimu anaitwa mwalimu BUKUKU alikamatwa kabisa akidai rushwa kwa mwanachuo ya ngono na pesa ,lakini Magoti alikataaa swala hilo na kumsimamisha mwalimu huyo kwa wiki moja tu na baadae mwalimu huyo alimfelisha mwanachuo huyo na akarudia mwaka,MWALIMU BUKUKU MPAKA SASA YUPO CHUO NA ANATAMBA kuwa mpenzi wake sarah mwakyambiki atamtetea kwenye bodi ya chuo,sara sasa ameteuliwa kuwa mkuu wa shuo cha tawi la zanzibar

LEO NITASEMA KWA UCHACHE JUU YA UFISADI WA BWANA LUAMBANO NA DK MAGOTI NA KWA USHAHIDI NITAWEKA HAPA WARAKA WA SERIKALI AMBAO MAGOTI ALIUVUNJA NA AKISEMA KUWA HAKUNA WAKUMFANYA KITU.

MZEE HUYU MAGOTI AMEKUWA AKITUMIA NAFASI YAKE YA KUAMINIKA NA MWENYKT WA BODI DK SALIM AHMED SALIM AMBAE AMEKUWA MARA ZOTE HANA NAFASI YA KUSIMAMIA CHUO HIKI KUTOKANA NA MAJUKUMU MENGINE ALIONAYO.

UKISOMA KOPI NILIYOAMBATANISHA YA WARAKA WA SERIKALI UTAONA KUWA serikali imeagiza kuwa wanachuo wote wenye bima za matibabu wasichangishwe tena gharama za mataibabu na KWA wale ambao hawajajiunga na mfuko wa bima,wakichangishawa basi ktk vyuo vyote vya umma zahanati za vyuo husika vitajiunga na mfuko wa bima ya afya na mwanachuo atalipa kiasi kisicho zidi elfu 60 na atapewa bima ya matibabu.

DK Magoti na Luambano wamekuwa wakichangisha sh lingi la kimoja kila mwaka,MWANACHUO AUMWE AU ASIUMWE KILA MWAKA LAZIMA ALIPE, toka mwaka 2010 mpaka hivi sasa. wakihaidi kuwa watarejesha pesa hizo za wanafunzi hao baada ya kulipwa kwenye akaunt.SWALA AMBALO HADI SASA HALIJATENDEKA, NA CHUOONI WAALIMU TUNAAMBIWA KILA SIKU HAKUNA PESA NA HAKI STAILI ZETU MBALI MBALI HATUWEZI KUPATA. jumla ya wanachuo waliochangishwa kila mwaka wanakaribia zaidi ya 380 so utaona magoti na luambano wamekula pesa za wanachuo karibu milion 50 kila mwaka tangu mwaka 2010,NA WANACHUO WENGI WANAMALIZA CHUO WAKATI PESA HIZO HAZIJA REJESHWA
NAAMINI WOTE TUMESIKIA JUU YA MADUDU YA MKUU WA CHUO CHA TIA ARUSHA,AMBAE GAZETI LA RAIA MWEMA LILIMUANDIKA SANA, SASA AMEONDOLEWA CHUONI, LAKINI HUYU MAGOTI ANASEMA ANAUBIA NA KIKWETE, HAKUNA WAKUMFANYA KITU.

Luambano ambae ni msajili wa chuo, sasa ni tajiri mkubwa sana amamiliki tax zaidi ya 10,anascania semitraila 2 amanunua shamaba karibu ekari 200 rufiji na hutumia gari ya chuo kwendea ktk shamba lake,,,, )anaejaribu kufatilia atafute muda mzuri azungumze na madereva wa chuo watamwambia kila kitu mradi wahakikishiwe usalama wake

juzi mtoto wa Magoti alikuwa anaenda kutoa posa gari, la chuo na mafuta ya chuo yametumika kwneda kutoa posa ya mtoto wake Arusha na baadae Musoma,NISAN PATROL

magari ya chuo utumika kwenda kuwabeba watoto wa Luambano kuwapeekea na kuwarudisha shule, fikiria basi zima isuzu journey inatumika kumbemba mtu 1 na njian atakama kunanvua, haibebi mwanachuo, dreva atakuambia kuwa tumezuiwa kubeba mwanachuo na wakumbwa so bas zima mtoto 1 WA BOSI TU,,,WANAFUNZI WA CHUO AMBAO WAPO JF WATAKIRI HILO.

HUYU LUAMABANO NDIO YULE ALIEAJIRIWA HAPA CHUONI AKIWA NA MAIAKA 40 KINYUME NA taratibu za serikali akitokea kufukuzwa katika kile kiwanda cha kahawa na chai alicho kifilisi.

LUAMBANO NA MAGATI NDIO WALIOMUAJIRI BWANA MHAGAMA KWA CHETI BANDIA AKIWA NI NDUGU WA LAUAMBANAO WAKAMSOMESHA DIGRII KWA FEDHA ZA CHUO,MASTAZ NA PHD NA TULIPOSEMA HAPA WAKAMUONDOA KAZINI KWA TANGAZO KUWA AMEAMUA KUACHA KAZI MWENYEWE NA MPAKA LEO SI MAGOTI WALA LUAMBANO WALIOCHUKULIWA HATUA NA WAZIRI WA ELIMU WALA PINDA AMBAO WOTE WANALIJUA HILI

MH NAPE NNAUYE ALISHWAHI KUSOMA KTK CHUO HIKI NA ANAJUA KUWA MAGOTI NI FISADI TANGU ENZI NAPE AKISOMA HAPA .NAPE KWA WAKATI HUU EBU JARIBU KUMSEMEA MTU HUYU AONDOLEWE HAPA

MTAKUMBUKA NILIPOST HAPA SIKU ZA NYUMA KIDOGO KUHUSU MKUU HUYU WA CHUO, BWANA KISENA MABUBA AMBAE ni afisa mitihani hapa chuoni, alimtetea Magoti kwakuwa anajua ndie aliemuajiri hapa chuoni kwa kimemo toka kwa mkubwa mmoja wa serikali,HUYU MABUBA NAE ANATUHUMA NYINGI SANA ZA KULA RUSHWA AKIENDELEA KUTUUZI KWA KUTETEA UOZO TUTAMUANIKA HAPA, ATA SKENDO ILE YA KUMPA CHETI NA MATOKEO YA KUGUSHI MWANACHUO AMBAE ALIFELI, NA KUWAFAULISHA BAADHI YA WANACHYOI AMBAO WANAFELI,MABUBA SASA ANAGARI NA NYUMBA KILA MTUA ANASHANGAA KAVITOA WAPI,,,,RUSHWA RUSHWAAAA. NI NANI ANAYEYALINDA UOVU HUU WA CHUO HIKI HADI WANAKUWA NA KIBURI CHA RUSHWA KIASI HIKI? CHUO KINAKUFA KABISA ISIPOCHUKULIWA HATUA ZA HARAKA, WAFANYAKAZI WAHOJIWE KISIRISIRI WATAELEZA UOZO WOTE.

Sioni chochote ulichoandika hapo zaidi ya Majungu?Unashangaa mtu kumiliki mali?Unajua vitu vyote anavyofanya nje ya ajira yake rasmi?Mwalimu wa chuo kuna na Gari na Nyumba ni dhambi kwani?Wewe ni aina ipi ya mwalimu?Ndo maana nimekwambia Great Thinkers wamekudharau kwa tabia zako zinashadhirisha uduni wako wa kufikira.I am sorry for my Tanzania again kama ndo aina ya walimu tunaozalisha hawa.We are creating Paper Tigers amabo hawataweza ku-compete kwenye soko ajira si at global level tu bali hata ndani ya Jumuiya ya East Africa.

Unatumia muda mwingi kuleta majungu hapa ambao ungeutumia kusoma vitu vya maana ili kuongeza maarifa.
 
Huwezi kuona maana unafadhiliwa na mafisadi na makuwadi wa elimu, unachoandika ni majungu hutoi kanusho la hayo kuonyesha kuwa uko nyuma ya wezi hao. Sasa mwisho wenu uko karibu. Imefikia sisi wanafunzi tunaonewa wakati walimu wanaomba rushwa ya ngono. Endelee ufahamike zaidi, usifikiri great thinkers wamedharau mada hii ila wanatafakari na kuwaachia nyie wahusika mjikanganye kwanza.
Sioni chochote ulichoandika hapo zaidi ya Majungu?Unashangaa mtu kumiliki mali?Unajua vitu vyote anavyofanya nje ya ajira yake rasmi?Mwalimu wa chuo kuna na Gari na Nyumba ni dhambi kwani?Wewe ni aina ipi ya mwalimu?Ndo maana nimekwambia Great Thinkers wamekudharau kwa tabia zako zinashadhirisha uduni wako wa kufikira.I am sorry for my Tanzania again kama ndo aina ya walimu tunaozalisha hawa.We are creating Paper Tigers amabo hawataweza ku-compete kwenye soko ajira si at global level tu bali hata ndani ya Jumuiya ya East Africa.

Unatumia muda mwingi kuleta majungu hapa ambao ungeutumia kusoma vitu vya maana ili kuongeza maarifa.
 
Huyu ni mwalimu wetu alikuwa kwenye mitihani nasikia ameondolewa kwa tuhuma ya kuuza vyeti kwa wanafunzi wenzetu waliofeli na rushwa mbalimbali kwenye idara ya mitihani. Wakati tunasoma alikuwa masikini lakini sasa ni tajiri hadi wamemshutukia na kuhamishwa hapo.
Napita nimekuzoea
 
Wee kibaraka na hii wajulishe mabwana zako!!! Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Kigamboni kinafilisika? Kwa sasa Wafanyakazi wametangaziwa na Uongozi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kupitia wakuu wa idara kuwa kuanzia mwezi wa saba 2013 waanze kufunga mikanda maana mishahara wa mwezi wa saba utatoka tarehe za mwezi wa nane. Pia pesa za nyumba, usafiri, likizo na posho ya saa za ziada haitakuwepo hadi ada za wanafunzi ipatikane mwezi wa kumi 2013. Pia pesa za kusimamia na kusahihisha mitihani na kusimamia utafiti kwa wanafunzi hawajalipwa walimu. Haieleweki kilichotokea maana fedha hizi zinatakiwa ziwe zimewekwa kwenye bajeti ya mwaka husika. Mkuu wa Chuo Dr. Magoti yuko bize kumalizia nyumba yake huko Bunju ili ahame kutoka nyumba yake ya Kigamboni atakapo maliza mkataba wake wa mwisho mwezi wa desemba 2013. Shilingi milioni 680 za mapato ya ndani ya Chuo zimetumika kukarabati nyumba ya mtu binafsi huko Zanzibar kwa ajili ya hosteli ya wanafunzi. Matumizi haya mabovu ya fedha za walipa kodi ndio moja ya sababu ya Chuo kufilisika. Bodi ya Chuo imefichwa ukweli huo na hata kamati ya huduma za jamii ya Bunge ilipotembela Tawi la Chuo Zanzibar na kugundua ubovu wa kuvuja kwa jengo lililojengwa kwa mamilioni ya shilingi walifichwa ukweli wa ukarabati wa nyumba hiyo ya mtu binafsi kuifanya hosteli. Jengo lile bovu lililozinduliwa hata baada ya Kamati ya Bunge kuzuia uzinduzi wake ambapo ililalamikiwa Bungeni, hata ile asilimia 10 inayobakizwa hadi baada ya mradi kwisha kumbe nayo ilishalipwa lakini imefanywa siri kwa Uongozi wa Chuo bila Bodi ya Chuo wala Kamati ya Bunge kujulishwa ukweli. Kiburi hiki cha Uongozi wa Chuo hiki haijulikana kinatokana na nini maana imeshasemwa sana lakini hawasikii la mtu hata wanawadharau wawakilishi wa wananchi. Inasikitisha kweli kwa jeuri hii ya viongozi hawa wasio na aibu kwa jeuri yao ya kuwahonga kila wanaochunguza maovu yao.
Sioni chochote ulichoandika hapo zaidi ya Majungu?Unashangaa mtu kumiliki mali?Unajua vitu vyote anavyofanya nje ya ajira yake rasmi?Mwalimu wa chuo kuna na Gari na Nyumba ni dhambi kwani?Wewe ni aina ipi ya mwalimu?Ndo maana nimekwambia Great Thinkers wamekudharau kwa tabia zako zinashadhirisha uduni wako wa kufikira.I am sorry for my Tanzania again kama ndo aina ya walimu tunaozalisha hawa.We are creating Paper Tigers amabo hawataweza ku-compete kwenye soko ajira si at global level tu bali hata ndani ya Jumuiya ya East Africa. Unatumia muda mwingi kuleta majungu hapa ambao ungeutumia kusoma vitu vya maana ili kuongeza maarifa.
 
MSEMAOVYO wapelekee na hii maana najua huna haki ya kusema maana huna utafiti ila unabwabwaja tuu. Haya ni ya kweli na ungekuwa huru si mtumwa ungedhibitisha. Dk John Magoti asema "JK hana cha kumwambia seuze kamati ya wabunge?" NDUGU ZANGU MARA KADHAA NIMEKUWA NIKISEMA HAPA JUU YA UBABE ANAOUFANYA HUYU MKUU WA WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE,DK JOHN MAGOTI, KWA UBABE WAKE KWA WALIMU WENZAKE WA ZAMANI HAPA CHUO NA VITISHO MBALIMBALI ANAVYOTOA PALE ANAVYOAMBIWA UKWELI,UTASEMA ANA HISA NA KIKWETE NA ubia kwenye urais wake NIMESIKITIKA SANA HIVI KARIBUNI KAMATI YA BUNGE ILIKITEMBELEA CHUO BRANCH YA DSM na ya zanzibar na walishangaa sana kwa jengo la ghorofa 5 la chuo cha zanzibar limeanza kuvuja na liko upande,mkandaras akiwa karibu ameshalipwa pesa zote za ujenzi,taarifa zilizopo ni kuwa kampuni ambayo imejenga majengo hayo ambayo inajenga hostel zilizopo brabch ya chuo ya kigamboni DSM NA JENGO HILO LA ZANZIBAR ni kampuni ambayo DK MAGOTI NA MSAJILI WA CHUO BWANA LUAMBANO WANAHISA KWA MGONGO WA NYUMA NA KILA TENDA UHAKIKISHA KUWA KAMPUNI HIYO NDIO WANAPATA KWA MAKUBALIANO YA 40% KAMATI YA BUNGE IMEAMURU kuwa wanapaswa kujieleza na fedha zilizobaki mkandarasi asipewe,,,,,,,kwa masikio yangu juzi nimemsikia bwana huyu akisema kuwa hakuna wakumtisha katika nchi hii amekuwa kada wa CCM kwa muda mrefu sana na atakula mpaka atakapo staafu na akiamua kuongeza muda anaweza" kukiwa na taarifa kuwa bwana huyu anabebwa na msaidizi 1 wapo wa ikulu kama ilivyokuwa kwa mama mipango yule aliekuwa anagoma kuondoka pale chuo cha ustawi wa jamii,mzee huyu ameshatolewa taarfa nyingi sana lakini TAKUKURU NA MIZENGO PINDA WAKIJA HAPA CHUONI WANAKUJA KUFUNIKA UFISADI HUU MFANO, yupo mwalimu anaitwa mwalimu BUKUKU alikamatwa kabisa akidai rushwa kwa mwanachuo ya ngono na pesa ,lakini Magoti alikataaa swala hilo na kumsimamisha mwalimu huyo kwa wiki moja tu na baadae mwalimu huyo alimfelisha mwanachuo huyo na akarudia mwaka,MWALIMU BUKUKU MPAKA SASA YUPO CHUO NA ANATAMBA kuwa mpenzi wake sarah mwakyambiki atamtetea kwenye bodi ya chuo,sara sasa ameteuliwa kuwa mkuu wa shuo cha tawi la zanzibar LEO NITASEMA KWA UCHACHE JUU YA UFISADI WA BWANA LUAMBANO NA DK MAGOTI NA KWA USHAHIDI NITAWEKA HAPA WARAKA WA SERIKALI AMBAO MAGOTI ALIUVUNJA NA AKISEMA KUWA HAKUNA WAKUMFANYA KITU. MZEE HUYU MAGOTI AMEKUWA AKITUMIA NAFASI YAKE YA KUAMINIKA NA MWENYKT WA BODI DK SALIM AHMED SALIM AMBAE AMEKUWA MARA ZOTE HANA NAFASI YA KUSIMAMIA CHUO HIKI KUTOKANA NA MAJUKUMU MENGINE ALIONAYO. UKISOMA KOPI NILIYOAMBATANISHA YA WARAKA WA SERIKALI UTAONA KUWA serikali imeagiza kuwa wanachuo wote wenye bima za matibabu wasichangishwe tena gharama za mataibabu na KWA wale ambao hawajajiunga na mfuko wa bima,wakichangishawa basi ktk vyuo vyote vya umma zahanati za vyuo husika vitajiunga na mfuko wa bima ya afya na mwanachuo atalipa kiasi kisicho zidi elfu 60 na atapewa bima ya matibabu. DK Magoti na Luambano wamekuwa wakichangisha sh lingi la kimoja kila mwaka,MWANACHUO AUMWE AU ASIUMWE KILA MWAKA LAZIMA ALIPE, toka mwaka 2010 mpaka hivi sasa. wakihaidi kuwa watarejesha pesa hizo za wanafunzi hao baada ya kulipwa kwenye akaunt.SWALA AMBALO HADI SASA HALIJATENDEKA, NA CHUOONI WAALIMU TUNAAMBIWA KILA SIKU HAKUNA PESA NA HAKI STAILI ZETU MBALI MBALI HATUWEZI KUPATA. jumla ya wanachuo waliochangishwa kila mwaka wanakaribia zaidi ya 380 so utaona magoti na luambano wamekula pesa za wanachuo karibu milion 50 kila mwaka tangu mwaka 2010,NA WANACHUO WENGI WANAMALIZA CHUO WAKATI PESA HIZO HAZIJA REJESHWA NAAMINI WOTE TUMESIKIA JUU YA MADUDU YA MKUU WA CHUO CHA TIA ARUSHA,AMBAE GAZETI LA RAIA MWEMA LILIMUANDIKA SANA, SASA AMEONDOLEWA CHUONI, LAKINI HUYU MAGOTI ANASEMA ANAUBIA NA KIKWETE, HAKUNA WAKUMFANYA KITU. Luambano ambae ni msajili wa chuo, sasa ni tajiri mkubwa sana amamiliki tax zaidi ya 10,anascania semitraila 2 amanunua shamaba karibu ekari 200 rufiji na hutumia gari ya chuo kwendea ktk shamba lake,,,, )anaejaribu kufatilia atafute muda mzuri azungumze na madereva wa chuo watamwambia kila kitu mradi wahakikishiwe usalama wake juzi mtoto wa Magoti alikuwa anaenda kutoa posa gari, la chuo na mafuta ya chuo yametumika kwneda kutoa posa ya mtoto wake Arusha na baadae Musoma,NISAN PATROL magari ya chuo utumika kwenda kuwabeba watoto wa Luambano kuwapeekea na kuwarudisha shule, fikiria basi zima isuzu journey inatumika kumbemba mtu 1 na njian atakama kunanvua, haibebi mwanachuo, dreva atakuambia kuwa tumezuiwa kubeba mwanachuo na wakumbwa so bas zima mtoto 1 WA BOSI TU,,,WANAFUNZI WA CHUO AMBAO WAPO JF WATAKIRI HILO. HUYU LUAMABANO NDIO YULE ALIEAJIRIWA HAPA CHUONI AKIWA NA MAIAKA 40 KINYUME NA taratibu za serikali akitokea kufukuzwa katika kile kiwanda cha kahawa na chai alicho kifilisi. LUAMBANO NA MAGATI NDIO WALIOMUAJIRI BWANA MHAGAMA KWA CHETI BANDIA AKIWA NI NDUGU WA LAUAMBANAO WAKAMSOMESHA DIGRII KWA FEDHA ZA CHUO,MASTAZ NA PHD NA TULIPOSEMA HAPA WAKAMUONDOA KAZINI KWA TANGAZO KUWA AMEAMUA KUACHA KAZI MWENYEWE NA MPAKA LEO SI MAGOTI WALA LUAMBANO WALIOCHUKULIWA HATUA NA WAZIRI WA ELIMU WALA PINDA AMBAO WOTE WANALIJUA HILI MH NAPE NNAUYE ALISHWAHI KUSOMA KTK CHUO HIKI NA ANAJUA KUWA MAGOTI NI FISADI TANGU ENZI NAPE AKISOMA HAPA .NAPE KWA WAKATI HUU EBU JARIBU KUMSEMEA MTU HUYU AONDOLEWE HAPA MTAKUMBUKA NILIPOST HAPA SIKU ZA NYUMA KIDOGO KUHUSU MKUU HUYU WA CHUO, BWANA KISENA MABUBA AMBAE ni afisa mitihani hapa chuoni, alimtetea Magoti kwakuwa anajua ndie aliemuajiri hapa chuoni kwa kimemo toka kwa mkubwa mmoja wa serikali,HUYU MABUBA NAE ANATUHUMA NYINGI SANA ZA KULA RUSHWA AKIENDELEA KUTUUZI KWA KUTETEA UOZO TUTAMUANIKA HAPA, ATA SKENDO ILE YA KUMPA CHETI NA MATOKEO YA KUGUSHI MWANACHUO AMBAE ALIFELI, NA KUWAFAULISHA BAADHI YA WANACHYOI AMBAO WANAFELI,MABUBA SASA ANAGARI NA NYUMBA KILA MTUA ANASHANGAA KAVITOA WAPI,,,,RUSHWA RUSHWAAAA. NI NANI ANAYEYALINDA UOVU HUU WA CHUO HIKI HADI WANAKUWA NA KIBURI CHA RUSHWA KIASI HIKI? CHUO KINAKUFA KABISA ISIPOCHUKULIWA HATUA ZA HARAKA, WAFANYAKAZI WAHOJIWE KISIRISIRI WATAELEZA UOZO WOTE.
 
Ungetujuza ukweli zaidi ungetusaidia tusiojua.

Back
Top Bottom