Kwa mkopo na cash eleza mtu akihitaji afanye nini aipate .
Mko wapi ? Wewe ni nani katika kampuni ili watu wakuelewe mfanyabiashara
Milioni 20Hesabu za mkopo Kwa Bajaj ya abiria inayobeba watu watano na dereva wa sita
MKOPO wa miezi 6
Kianzio ni 4,500,000
Rejesho la siku ni 35,000
Kwa wiki ni 245,000
MKOPO wa miezi 12
Kianzio ni milioni tatu na nusu/3,500,000/-
Rejesho la siku ni 25,000/-
Kwa wiki ni 175,000/-
MKOPO wa miezi 24
Kianzio ni 1,500,000/-
Rejesho la siku ni 25,000/-
Kwa wiki ni 175,000
Mkuu Bado kuna maongezMilioni 20
Mchaka mchaka wa 25 per day ni hatari kaka, hasa kwa huku mikoani...Mkuu Bado kuna maongez
😂😂😂😂😂Mkuu haziitwi Bajaji bali pikipiki ya miguu mitatu, Bajaji ni kampuni inayotengeneza pikipiki za miguu mitatu pia.
By the way kuna hizi za kichini zliwahi letwa za watu 6 changamoto kubwa ilikuwa ubora na comfortability ukipanda ninkama guta la sinoray, je vp hizi mmeboresha?
Ndio mkuu zimeboreshwa hizi ni za umeme haxina saut kama jeneretaMkuu haziitwi Bajaji bali pikipiki ya miguu mitatu, Bajaji ni kampuni inayotengeneza pikipiki za miguu mitatu pia.
By the way kuna hizi za kichini zliwahi letwa za watu 6 changamoto kubwa ilikuwa ubora na comfortability ukipanda ninkama guta la sinoray, je vp hizi mmeboresha?
dare salaam tabata sukita mikoani tunaagizaUnguja au wspi zilipo Mr kwacha mzee maarufu Paje
No unaichaji Kwa umeme wa elfu Tano nyumban kwakoKwanini msiweke solar panel hapo kwenye paa.. iwe inajichargge yenyew
Kuitafuta mil.10 mpk irudi kwa kidubwana Iko,sio mchezo