M MR KWACHA Member Joined Jun 9, 2025 Posts 98 Reaction score 87 Dec 31, 2025 Thread starter #21 October 29 said: Kuitafuta mil.10 mpk irudi kwa kidubwana Iko,sio mchezo Click to expand... Mkuu kuna mkopo na unaweza lipa Kwa Cash
October 29 said: Kuitafuta mil.10 mpk irudi kwa kidubwana Iko,sio mchezo Click to expand... Mkuu kuna mkopo na unaweza lipa Kwa Cash
Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 787 Reaction score 1,394 May 29, 2026 #22 nyakubonga said: Milioni 20 Click to expand... Milioni 16 miezi 24 ninkama upuuzi hivi
Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 787 Reaction score 1,394 May 29, 2026 #23 Kwanmkopo napata kibeseni changu na kukiunga bolt nikiwasha mfumo nakula hela. Na uzuri siki hislzi wakuu unampigia simu mteja, unamuuliza kama anataka akupeke pabaya kwako una mute juu kwa jui
Kwanmkopo napata kibeseni changu na kukiunga bolt nikiwasha mfumo nakula hela. Na uzuri siki hislzi wakuu unampigia simu mteja, unamuuliza kama anataka akupeke pabaya kwako una mute juu kwa jui
Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 787 Reaction score 1,394 May 29, 2026 #24 Kwingine nikitaka kuwaagizia wale watu madalali kule kwa watu wenye macho madogo nako ni risk tupu