Life is all about being positive,dreaminng big and things like that. Bahati mbaya JF siku hizi imejaa watu negative, watu wanaopenda kusikia mtu anapata shida,ana njaa na mambo kama hayo.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu..
Ni mda sasa sisikii story na sion selifii za hapa na pale kutoka kwa kaka zangu prondo na don luchese
Je vyuma vimekaza au masela wako nje ya nchi kikaz
Donluchese mzee wa kupanda kwenye gar na sio kuingia yuko wap?
Prondo mzee wa bmw yuko wapi
NANYUPU
LONDON BABY
jibu zuri ila swali lilikuwa zuri zaidiLife is all about being positive,dreaminng big and things like that. Bahati mbaya JF siku hizi imejaa watu negative, watu wanaopenda kusikia mtu anapata shida,ana njaa na mambo kama hayo.
Mtu akipost kitu kizuri watu wanaumia sana roho inashangaza sana.
Vyuma havijakaza ila sio vizuri kuikera jamii, wacha tuburudike na kusikia mateso ya wenzetu. Btw mwisho wa mwaka huu sijui niende Dubai au SA!
Ohooo mkuu kumbe upo nilijua upo nje maana sikuon kiongoz wanguLife is all about being positive,dreaminng big and things like that. Bahati mbaya JF siku hizi imejaa watu negative, watu wanaopenda kusikia mtu anapata shida,ana njaa na mambo kama hayo.
Mtu akipost kitu kizuri watu wanaumia sana roho inashangaza sana.
Vyuma havijakaza ila sio vizuri kuikera jamii, wacha tuburudike na kusikia mateso ya wenzetu. Btw mwisho wa mwaka huu sijui niende Dubai au SA!
BMW niliuza nimebaki na Boxer BM 150Ohooo mkuu kumbe upo nilijua upo nje maana sikuon kiongoz wangu
Siku hiz mbona hakuna story za bmw
No....najua hii chit chat nothing serious.Jamaa naona kama kapanic lakin nilikuwa na nia njema tu
haaaa haaaa haaaa we jamaa mkorofi Sana.Jamaa naona kama kapanic lakin nilikuwa na nia njema tu
Nataka ku upgrade....2012<<< model ITAPENDEZA...Hahaaa mkuu kwanini sasa uliuza?
Hahahahaaaa mkuu imekutokea wap hiyo*Hivi ni nani alileta Make Up?*
*Maana ndiyo aliyeleta mabint matapeli huku nchini*
*Unakuta Msichana kapost picha anafanana na RIHANNA ila ukikutana naye live anafanana na DROGBA*
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Usinisahau ukienda hukoLife is all about being positive,dreaminng big and things like that. Bahati mbaya JF siku hizi imejaa watu negative, watu wanaopenda kusikia mtu anapata shida,ana njaa na mambo kama hayo.
Mtu akipost kitu kizuri watu wanaumia sana roho inashangaza sana.
Vyuma havijakaza ila sio vizuri kuikera jamii, wacha tuburudike na kusikia mateso ya wenzetu. Btw mwisho wa mwaka huu sijui niende Dubai au SA!
Hapa buguruni malapa kaka.Hahahahaaaa mkuu imekutokea wap hiyo
Kama uko serious nikufanyie booking...wawili ITAPENDEZAAUsinisahau ukienda huko