Prondo na donluchese vyuma vimekaza? Mbona sisikii tena story za magar

Prondo na donluchese vyuma vimekaza? Mbona sisikii tena story za magar

Hahahaaaa mkuu shunie humuwez huyo siyo wa level yako

Kama na wewe unamufukizia mdogo wake na prondo ingia tu kwenye ligi mkuu lakin mimi lazima nitampate aisee, akitoka tu ulaya nitaenda moja kwa moja masaki kwao na prondo kujitambulisha na kubeba mzigo moja kwa moja

Nishaandaa ng'ombe kabisa mkuu
Acha kumtisha mwenzio
 
Life is all about being positive,dreaminng big and things like that. Bahati mbaya JF siku hizi imejaa watu negative, watu wanaopenda kusikia mtu anapata shida,ana njaa na mambo kama hayo.
Mtu akipost kitu kizuri watu wanaumia sana roho inashangaza sana.
Vyuma havijakaza ila sio vizuri kuikera jamii, wacha tuburudike na kusikia mateso ya wenzetu. Btw mwisho wa mwaka huu sijui niende Dubai au SA!
Ndio baadhi ya watu walivo...roho mbaya kilo 100
mtu anakaa anawaza maisha ya mtu zaidi anamuombea mabaya ..sasa uambiwe maisha yake ni ya kutia huruma
 
Doncluchese mzee wa Henken...
Rrondo utoe hilo lipicha la pogba..
 
Hahahaaaa mkuu shunie humuwez huyo siyo wa level yako

Kama na wewe unamufukizia mdogo wake na prondo ingia tu kwenye ligi mkuu lakin mimi lazima nitampate aisee, akitoka tu ulaya nitaenda moja kwa moja masaki kwao na prondo kujitambulisha na kubeba mzigo moja kwa moja

Nishaandaa ng'ombe kabisa mkuu
Unaweweseka bado mdogo hujakua ..na yule msukuma alieshika namba moja kwenye mitihani vip nae au utaoa wake wanne
 
Unaweweseka bado mdogo hujakua ..na yule msukuma alieshika namba moja kwenye mitihani vip nae au utaoa wake wanne
Hahaaaa mkuu nataka nifikishe wanne

Mbitiyaza,
Jje's,
Butogwa shija,
Shunie
 
Back
Top Bottom