Prondo na donluchese vyuma vimekaza? Mbona sisikii tena story za magar

Prondo na donluchese vyuma vimekaza? Mbona sisikii tena story za magar

Naomba link ya ruminus univesity nataka niangalie masomo.kwa ujumla na admission zao zipoje
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
poa mkuu ngoja nije nikutumie lakin kwa nilivyokuona huna uwezo wa kusoma hiki chuo

Saiz yako ni chuo cha tumain huko daresalama tz
 
Usione vyameremeta vimegharamiwa!
Sasa kila la heri ila usije sema hukuonywa
Hilo nalijua mkuu lakin si unajua mimi natuma nauli ya ndege watoto wanakuja london sasa shida iko wapi mkuu
 
poa mkuu ngoja nije nikutumie lakin kwa nilivyokuona huna uwezo wa kusoma hiki chuo

Saiz yako ni chuo cha tumain huko daresalama tz
Acha zako wewe, london ipi unakaa wewe ...weka link ya ruminus "univesity"...sina uwezo wa kusoma wewe ndo unao huo uwezo hata kuandika university unashindwa? Unaandika univesity? hahaah
Hii ndo janja yako ya kuwadanganyia wadada kwamba unakaa london ili uonenake high class kumbe uko hapa hapa bongo,
tena hao hao wadada unaowadanganya unawa disrespect kwa kuwaambia ni kama magodoro ya kulalia, acha ushamba grown up still a boy
unless kama unachangamsha jukwaa lakini kama ndo mbinu ya kuwapata wadada hivi nakupa pole
be real, women dont love someone who pretends to be high class halafu kumbe wa uswekeni tu.
 
Life is all about being positive,dreaminng big and things like that. Bahati mbaya JF siku hizi imejaa watu negative, watu wanaopenda kusikia mtu anapata shida,ana njaa na mambo kama hayo.
Mtu akipost kitu kizuri watu wanaumia sana roho inashangaza sana.
Vyuma havijakaza ila sio vizuri kuikera jamii, wacha tuburudike na kusikia mateso ya wenzetu. Btw mwisho wa mwaka huu sijui niende Dubai au SA!
Mkuu nakuheshimu sana,ww pa1 na Mshana Jr., maana kwenye ushauri Wa magari huwa mnashauri fresh sana,hasa magari yetu ya 3rd/4th hand.pa1 sana mkuu.
 
Acha zako wewe, london ipi unakaa wewe ...weka link ya ruminus "univesity"...sina uwezo wa kusoma wewe ndo unao huo uwezo hata kuandika university unashindwa? Unaandika univesity? hahaah
Hii ndo janja yako ya kuwadanganyia wadada kwamba unakaa london ili uonenake high class kumbe uko hapa hapa bongo,
tena hao hao wadada unaowadanganya unawa disrespect kwa kuwaambia ni kama magodoro ya kulalia, acha ushamba grown up still a boy
unless kama unachangamsha jukwaa lakini kama ndo mbinu ya kuwapata wadada hivi nakupa pole
be real, women dont love someone who pretends to be high class halafu kumbe wa uswekeni tu.
Hahaaaa mkuu mbona povu hapa huwa tupo kwa ajili ya kuchangamsha genge kiongoz

Hata hao mademu huwa niko nao kimapenz kwa jamiforum pekee siyo kwa urain mkuu
 
Watumie waje

Tunaomba link ya RUMINUS UNIVESITY hapa tafadhali,haraka iwezekanavyo. Weka hapa kila mtu aone
Nitawatumia tu mkuu

Ngoja nakutumia link lakin huna uwezo wa kusoma hicho chuo
 
Back
Top Bottom