BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
[emoji23][emoji23] unakaa londo hujui paco domingwayHapana siifahamu mkuu London ni kubwa sana mkuu
Ni sawa na wewe nikuulize kuwa unapajua tanzania sehemu panaitwa nyampande
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] unakaa londo hujui paco domingwayHapana siifahamu mkuu London ni kubwa sana mkuu
Ni sawa na wewe nikuulize kuwa unapajua tanzania sehemu panaitwa nyampande
Naomba link ya ruminus univesity nataka niangalie masomo.kwa ujumla na admission zao zipojeMkuu nipo karibu na ruminus univesity kwa sasa huku ni asubuh
Usione vyameremeta vimegharamiwa!Hahaaaaa mkuu acha kuwatisha bas
Mimi ni mume bora kwao
poa mkuu ngoja nije nikutumie lakin kwa nilivyokuona huna uwezo wa kusoma hiki chuoNaomba link ya ruminus univesity nataka niangalie masomo.kwa ujumla na admission zao zipoje
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
Acha zako wewe, london ipi unakaa wewe ...weka link ya ruminus "univesity"...sina uwezo wa kusoma wewe ndo unao huo uwezo hata kuandika university unashindwa? Unaandika univesity? hahaahpoa mkuu ngoja nije nikutumie lakin kwa nilivyokuona huna uwezo wa kusoma hiki chuo
Saiz yako ni chuo cha tumain huko daresalama tz
Watumie wajeHilo nalijua mkuu lakin si unajua mimi natuma nauli ya ndege watoto wanakuja london sasa shida iko wapi mkuu
Mkuu nakuheshimu sana,ww pa1 na Mshana Jr., maana kwenye ushauri Wa magari huwa mnashauri fresh sana,hasa magari yetu ya 3rd/4th hand.pa1 sana mkuu.Life is all about being positive,dreaminng big and things like that. Bahati mbaya JF siku hizi imejaa watu negative, watu wanaopenda kusikia mtu anapata shida,ana njaa na mambo kama hayo.
Mtu akipost kitu kizuri watu wanaumia sana roho inashangaza sana.
Vyuma havijakaza ila sio vizuri kuikera jamii, wacha tuburudike na kusikia mateso ya wenzetu. Btw mwisho wa mwaka huu sijui niende Dubai au SA!
Najua unanipima temperature tu....Chill out mkuu...I was speaking in a jest
hata baskeli hana huyo..anaishi tandale kwa tumbo...😀😀😀 ghetto lake muda wote giza..Ohooo mkuu kumbe upo nilijua upo nje maana sikuon kiongoz wangu
Siku hiz mbona hakuna story za bmw
Nilitaka nijue kapresha kako tuu kama kapo kama ka ndikumana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Najua unanipima temperature tu....
ngoja niendelee kupanga mipango mkakati labda nitapata ujasiriLeo ujue umeniamulia aisee kwa nini unaogopa kunifata
Hahaaaa mkuu mbona povu hapa huwa tupo kwa ajili ya kuchangamsha genge kiongozAcha zako wewe, london ipi unakaa wewe ...weka link ya ruminus "univesity"...sina uwezo wa kusoma wewe ndo unao huo uwezo hata kuandika university unashindwa? Unaandika univesity? hahaah
Hii ndo janja yako ya kuwadanganyia wadada kwamba unakaa london ili uonenake high class kumbe uko hapa hapa bongo,
tena hao hao wadada unaowadanganya unawa disrespect kwa kuwaambia ni kama magodoro ya kulalia, acha ushamba grown up still a boy
unless kama unachangamsha jukwaa lakini kama ndo mbinu ya kuwapata wadada hivi nakupa pole
be real, women dont love someone who pretends to be high class halafu kumbe wa uswekeni tu.