Prondo na donluchese vyuma vimekaza? Mbona sisikii tena story za magar

Prondo na donluchese vyuma vimekaza? Mbona sisikii tena story za magar

Life is all about being positive,dreaminng big and things like that. Bahati mbaya JF siku hizi imejaa watu negative, watu wanaopenda kusikia mtu anapata shida,ana njaa na mambo kama hayo.
Mtu akipost kitu kizuri watu wanaumia sana roho inashangaza sana.
Vyuma havijakaza ila sio vizuri kuikera jamii, wacha tuburudike na kusikia mateso ya wenzetu. Btw mwisho wa mwaka huu sijui niende Dubai au SA!
Hahahaaaa Safi Kabisa.
 
Tangu lini link zinagoma humu jf ...Acha fiksi weka LINK ya ruminus univesity
unaruhusiwa kuchangamsha jukwa lakin sio kua na element za kitapeli na fiksi kusema upo london kumbe upo bongo jua kali
Link imegoma mkuu ngoja nije niweke line ya loncom ndo huwa ina kas sana
 
Alpine-White-BMW-X6-M-With-AC-Schnitzer-Akrapovic-RKP-And-Vorsteiner-Parts-6-750x500.jpg


13987626_1249705021709073_2982673738922616096_o-750x500.jpg
 
Back
Top Bottom