BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Acha fiksi weka link sasa hiviNitawatumia tu mkuu
Ngoja nakutumia link lakin huna uwezo wa kusoma hicho chuo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha fiksi weka link sasa hiviNitawatumia tu mkuu
Ngoja nakutumia link lakin huna uwezo wa kusoma hicho chuo
Kwaio unakula kwa maandishiHahaaaa mkuu mbona povu hapa huwa tupo kwa ajili ya kuchangamsha genge kiongoz
Hata hao mademu huwa niko nao kimapenz kwa jamiforum pekee siyo kwa urain mkuu
Hahah povu sinaKwa mandish tena nilikuwa tu nakupoza ili utulie maana ulikuwa ushatokwa povu zaid ya omo
Hahahaaaa Safi Kabisa.Life is all about being positive,dreaminng big and things like that. Bahati mbaya JF siku hizi imejaa watu negative, watu wanaopenda kusikia mtu anapata shida,ana njaa na mambo kama hayo.
Mtu akipost kitu kizuri watu wanaumia sana roho inashangaza sana.
Vyuma havijakaza ila sio vizuri kuikera jamii, wacha tuburudike na kusikia mateso ya wenzetu. Btw mwisho wa mwaka huu sijui niende Dubai au SA!
Tangu lini link zinagoma humu jf ...Acha fiksi weka LINK ya ruminus univesityNaweka lakin inagoma mkuu
Geto ya jamii forum auMkuu mbona huwa wanapishana gheto day after day
Link imegoma mkuu ngoja nije niweke line ya loncom ndo huwa ina kas sanaTangu lini link zinagoma humu jf ...Acha fiksi weka LINK ya ruminus univesity
unaruhusiwa kuchangamsha jukwa lakin sio kua na element za kitapeli na fiksi kusema upo london kumbe upo bongo jua kali
Sawa nimekubal unatembe na wake za watuHahaaaa tatizo lako hutak kukubali ukweli
Yap kwetu ni usukuman lakin kwa sasa niko london mkuu
kijijini hakuna mtandao😀😀Itakuwa maana hawaonekan aisee story za magar hazisikiki tena