Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

[emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu!
Lakini mkuu jiulize pia na hao alien walitoka wapi????
Kwanza Aliens is hoax never existed ni man made creature of imagination...
Una ushahidi kua Aliens wapo...?
Kuhusu ushahidi wa Aliens kuwepo. Namtetea mkuu, maana from time to time historia imetueleza kuonekana kwa viumbe hivyo vya ajabu kutoka sayari za mbali. Hivyo basi hakuna shaka kuhusu hilo. Ila kuhusu suala la binadamu kuumbwa na Aliens nakataa. Maana kwa kigezo anachotumia ana maana aliens ni bora na wana uwezo kuliko binadamu?

Kama wangekuwa na uwezo huu. Wangesakuja kututawala miaka mingi iliyopita
 
Aliens wapo. Ila hiyo mission ya kutuumba ili tuwasaidie kukusanya madini mkuu ameenda OP
 
Aliens kweli wapo ila hawana uhusiano wowote na uumbaji wa binadamu, fact ni kuwa wao wametokana na complex organic matter na wana akili za designing kuliko uwezo wa binadamu.
Na sababu yao kubwa kuja duniani ni kuja kuchunguza kama sisi tunaweza kuwa tishio kwa civilization yao. Maana kuna mambo mengi tumewazidi. Lakini walipokuja wakaona kuwa binadamu hatuna mpango nao hata kidogo, hivyo wakasepa na wanaendelea na maisha yao.
Hii ni tafakuri yangu mkuu
 
Katika ulimwengu huu uliojaa nyota na sayari mbalimbali hao aliens hawawez kuwa wametuumba sisi bali kila kiumbe kimeumbwa kwa jinsi yake, iwe kisayansi au kidini, hao aliens km wamefanikiwa kufika huku basi wanauwezo mkubwa wa kutumia mazingira yao kuliko sisi, wameerevuka kisayansi kuliko sisi, ila kutuumba NOP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana kwa wazo zuri mkuu..

Lakini mkuu naomba tuelezane kwa lipi umeonekana kuwazidi Aliens..??

Ni vitu gani umewazidi..au umeconsider factor zipi..??

Watu wamefanta research na kuona hizo junk DNA codes kwenye miili yetu ambayo inaonekana kubeba information kwa hao Extra terrestrial beings..

Ndo mana utafiti wa David Icke juu ya kuhusisha programming ya human GENOME from Alien GENOME ..

He believes that an inter-dimensional race of reptilian beings called the Archons (or Anunnaki), have hijacked the Earth, and that a genetically modified human/Archon hybrid race of shape-shifting reptilians, also known as the "Babylonian Brotherhood", the Illuminati, or the 'elite', manipulate global events to keep humans in a constant state of fear baads ya kugundua kuwa human concious inaebdelea kuongezeka.. so the Archons can feed off the 'negative energy' ambayo inaweza kuaffects human programmed Genome iwe week sana kuhifadhi intellectual sense of ability..

Lakini pia kuprogramme human Genome na kuipa makazi mbali na sayari zao kwa factor ya kufanya ALIEN genomic conservation huoni pia ni factor moja wapo ya kuanza kujiuliza kwanini human mind ipo limited zaidi hasa mambo yanayofikilisha zaidi akili..??

swali jinginr ninkujiuliza kama hao aliens wanatuzidi akili na huoni kuwa uwezo wa kuprogram other species wanao make kama Gene clonning tuliyonayo anaifanya mwanadamu ,je Aliens ambao umekiri kuwa na uwezo zaidi yetu huoni kuwa they can programme human being and other cretures..??

Nafikiria nje ya box lakini mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliens wapo. Ila hiyo mission ya kutuumba ili tuwasaidie kukusanya madini mkuu ameenda OP
point ya madini inaweza ikawepo ..kwanini unaneglect ?? unajua kazi ya madini yanayochimbwa ?? au na wew unaamini kuwa wanatengeneza mikufu ya dhahabu..?
think outside the box mkuu..usione kama point y ajabu snaa...

lakini pia imetolewa factor ya kuhifandhi Aliens genome kutokana na madhara ya cosmic rays Aliens waliyopata miaka ya huko nyuma kwenye sayari zao..

dont rely na point ya madini only...

kuna factor nyingi kwanin Aliens walifanya hivo...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una maana aliens wana mission ya over 500 years kusubiri madini yote yachimbwe kutoka ardhini. Maana tafiti zinaonesha madini bado ni mengi chini ya ardhi na mengine kama Tanzanite ndio kwanza hayana hata miongo mitano tangu yagundulike. Naomba ufafanuzi
 
ukiachana na point ya madini,je point ya kuhifadhi genome yao ikoje..??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
miaka 500 mbona midogo snaa....this is long plan ....

kuna mabadiliko mengi snaa juu ya mwili wa binadamu ,mbona huongelei hilo...??

unahusisha vipi mabadiliko hayo na uwepo wa external factor..??

Kuna mambo ili uweze kupata jawabu ni lazima ujitoe ufahamu kutafuta ukweli wake...!!

Hivi kwa mfano tafiti zilizofanyika za kuhusisha IQ ya binadamu wa sasa ukihusisha na miaka inavyoenda ,kwanini inaonesha IQ au uwezo wa human being kiakili kushuka kwa kasi lakini trend ya technolojia inaenda kwa kasi..!!??

Umewahinjiuliza hili pia au unajua ni mwanadamu ndo anaoperate ??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiachana na point ya madini,je point ya kuhifadhi genome yao ikoje..??



Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inawezekana. Maana binadamu hatupo mbali katika kuhakikisha tunahifadhi kizazi chetu ndio maana kila kukicha kuna research mbali mbali zinaendelea, kama zile za human cloning, pia sperm bank ipo kwa ajili ya kuhifadhi generation yetu.
 
ukiachana na point ya madini,je point ya kuhifadhi genome yao ikoje..??



Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna alien genome, kwa upeo wangu naona wameiita alien kwasababu hawajui origin na sababu ya kuwepo hapo, ila ingefahamika alien wana genetic sequence inavyofanana na hiyo wanayoita alien genome iliyo kwenye structure ya kwetu HomoSapiens sawa ningeamini, ila hamna mwenye DNA ya alien, na aliens wapo wa aina mbalimbali so who is who??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…