lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,359
- Thread starter
- #301
kama umelijua hilo na ukakiri kuwa Aliens wanatuzidi Intelligent basi ndo uamini kuwa swala la kufanya cloning ni jambo dogo snaa...Hii inawezekana. Maana binadamu hatupo mbali katika kuhakikisha tunahifadhi kizazi chetu ndio maana kila kukicha kuna research mbali mbali zinaendelea, kama zile za human cloning, pia sperm bank ipo kwa ajili ya kuhifadhi generation yetu.
Umewahi jiulize kwanini binadamu hawezi survive kwenye sayari zingine..?? inaweza kuwa ni kaa sababu ya huyo unafavourable condition..
Hii inshu ya kubeba genome ya hawa viumbe inabeba nafas kubwa sana...
Sent using Jamii Forums mobile app