kama umelijua hilo na ukakiri kuwa Aliens wanatuzidi Intelligent basi ndo uamini kuwa swala la kufanya cloning ni jambo dogo snaa...Hii inawezekana. Maana binadamu hatupo mbali katika kuhakikisha tunahifadhi kizazi chetu ndio maana kila kukicha kuna research mbali mbali zinaendelea, kama zile za human cloning, pia sperm bank ipo kwa ajili ya kuhifadhi generation yetu.
Nilishajibu siamini ujinga wowote wa uwepo wa aliens, majini, shetani, uchawiMbona unaamini uwepo wa shetani na malaika. Kila elimu lazima ichunguzwa mkuu. Mijadala kama hii ni chakula ya ubongo
IQ inashuka kwasababu tunategemea gadgets, smartphones to be specific, na internet, sahv tunainnovate kila kitu ili kifanyike kwa click of a button, zamani hata kutafuta mgahawa unaenda manually unafaham, sahv unaactivate app unacheki yenye kivutio kwako unaita Uber huyoo, so huwez kuwa na uhusiano mzuri na mazingira yako you just fire an app and there you go.miaka 500 mbona midogo snaa....this is long plan ....
kuna mabadiliko mengi snaa juu ya mwili wa binadamu ,mbona huongelei hilo...??
unahusisha vipi mabadiliko hayo na uwepo wa external factor..??
Kuna mambo ili uweze kupata jawabu ni lazima ujitoe ufahamu kutafuta ukweli wake...!!
Hivi kwa mfano tafiti zilizofanyika za kuhusisha IQ ya binadamu wa sasa ukihusisha na miaka inavyoenda ,kwanini inaonesha IQ au uwezo wa human being kiakili kushuka kwa kasi lakini trend ya technolojia inaenda kwa kasi..!!??
Umewahinjiuliza hili pia au unajua ni mwanadamu ndo anaoperate ??
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli kuna species nyingi sana za Aliens...Hamna alien genome, kwa upeo wangu naona wameiita alien kwasababu hawajui origin na sababu ya kuwepo hapo, ila ingefahamika alien wana genetic sequence inavyofanana na hiyo wanayoita alien genome iliyo kwenye structure ya kwetu HomoSapiens sawa ningeamini, ila hamna mwenye DNA ya alien, na aliens wapo wa aina mbalimbali so who is who??
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kama umekubali kuwa IQ inashuka kwa sababu ya kutengeneza Artificial intelligent ,swali je hao wanaotengeneza Artificial intelligent wao hawapo kwenye mkumbo wa kushuka IQ ??IQ inashuka kwasababu tunategemea gadgets, smartphones to be specific, na internet, sahv tunainnovate kila kitu ili kifanyike kwa click of a button, zamani hata kutafuta mgahawa unaenda manually unafaham, sahv unaactivate app unacheki yenye kivutio kwako unaita Uber huyoo, so huwez kuwa na uhusiano mzuri na mazingira yako you just fire an app and there you go.
But ni way of life, itakuja siku artificial intelligence ndo itakuwa maisha yetu, tutakuwa na robots kwenye nyumba zetu wakitufanyia kazi kwenye smart homes, everything connected na internet.
Ila sio aliens
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ni mwanadamu gani ambaye akili yake inazidi kwenda mbali zaidi bila kuhusishwa na mabadiliko ya kushuka IQ yake huku wengine zikiporomoka..??IQ inashuka kwasababu tunategemea gadgets, smartphones to be specific, na internet, sahv tunainnovate kila kitu ili kifanyike kwa click of a button, zamani hata kutafuta mgahawa unaenda manually unafaham, sahv unaactivate app unacheki yenye kivutio kwako unaita Uber huyoo, so huwez kuwa na uhusiano mzuri na mazingira yako you just fire an app and there you go.
But ni way of life, itakuja siku artificial intelligence ndo itakuwa maisha yetu, tutakuwa na robots kwenye nyumba zetu wakitufanyia kazi kwenye smart homes, everything connected na internet.
Ila sio aliens
Sent using Jamii Forums mobile app
Truthful sio trustful,sasa kama umekubali kuwa IQ inashuka kwa sababu ya kutengeneza Artificial intelligent ,swali je hao wanaotengeneza Artificial intelligent wao hawapo kwenye mkumbo wa kushuka IQ ??
ni kina nani ambao mabadiliko ya Kushuka kwa IQ yanawaisolate..??
be trustful kwa jibu lako...
Think more on that...
Sent using Jamii Forums mobile app
lakini mkuu kama Aliens nia yao ni kureplace human power huoni sasa human extinction itaenda kuwepo make watakuwa tayari washafanikiwa zaidi..Truthful sio trustful,
Wakati A. Einstein anafanya theory zake na calculations zake alikua anadhumuni la kumtoa binadam kwenye hali aliyonayo kumpelekea kwenye kuutawala vizuri ulimwengu wa viwanda na teknolojia, naamini hivyo
Sasa wanaotengeneza A.I pia wanataka kutumia robots (replaceable workforce) kufanya kazi ambazo binadam yupo hatarini akifanya, mfano kutegua mabomu, kuyeyusha vyuma, kuchimba madini etc.
Madhara yake ndo nadhan watakuja kuyakuta hao vizazi zijavyo, wanaodesign hizo programs na apps ni watu wenye akili na wavivu wa manual labor, ndomana aliens wanaonekana wana mitambo mikuuubwa yenye uwezo hata wa kubadilisha hali ya hewa ya sayari nzima wakiamua, ila miili yao inaonekana midhaifu km wagonjwa na akili zao zinaoneshwa kuwa ni nyingi kupita kiasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hii dunia mkuu kuna madaraja mengi sana ya binadamu, na yote ni kutokana na jinsi mtu anavyoamua kutumia ubongo wake tu,sasa ni mwanadamu gani ambaye akili yake inazidi kwenda mbali zaidi bila kuhusishwa na mabadiliko ya kushuka IQ yake huku wengine zikiporomoka..??
hebu toa jibu zuri hapa mkuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa lakini tuje kwenye uhalisia wa machine...Kwenye hii dunia mkuu kuna madaraja mengi sana ya binadamu, na yote ni kutokana na jinsi mtu anavyoamua kutumia ubongo wake tu,
Unaweza kujiuliza kwanini wanasayansi wanasema tunatumia 20% ya ubongo wetu. Hiyo 80% inalala tu, ni kwasababu tangu enzi na enzi binadamu anarithishwa kila kitu, unazaliwa empty slate (tabularasa) unafundishwa kila kitu,
Binadamu binafsi ndo mwenye uwezo wa kufikiria nje ya box, huwezi kufundishwa kuwa na IQ kubwa, unakuwa nayo naturally, na ili uweze kufanikiwa kutumia ubongo wako vizuri lazima kuwe na factors za nje, mfano shida za kimazingira, binadamu mwenye uwezo wa kubadilisha mazingira yake ni destructive, ila yule anayeweza kuadapt na mazingira yake ni genius naturally,
So kunakuwa na factors nyingi za kufanya wengine wana IQ kubwa, binadamu wengine wanakata tamaa kuadapt na mazingira yao wanaishia kuwa survivors tu, path yao ni waishi, wazae, wafe, end of story
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ushawah kujiuliza kwanini binadamu na viumbe vyote vinazaliwa, vinafundishwa kuishi km wazazi wao walivyofundishwa kuishi, nao wanazaliana wanafanya yaleyale waliofanya waliopita, ila ni binadamu tu pekeake ndo anayejiamulia mambo yake, halafu kuna kundi la viumbe visivyoonekana kwa macho km virus, viumbe vya seli moja km plasmodium bacteria, euglena etc hivyo havina urithi wa wazazi wao wanazaliwa wanasepa hawana jinsi ya kurithi mbinu za maisha ila zipo genetically coded kwenye DNA zao.lakini mkuu kama Aliens nia yao ni kureplace human power huoni sasa human extinction itaenda kuwepo make watakuwa tayari washafanikiwa zaidi..
Sent using Jamii Forums mobile app
unachanganya bana...kumbuka tupo katika kingdom tofaut exihibiting different characteristics...kila kingdom inaoccupy a certain range of habitat...Hivi ushawah kujiuliza kwanini binadamu na viumbe vyote vinazaliwa, vinafundishwa kuishi km wazazi wao walivyofundishwa kuishi, nao wanazaliana wanafanya yaleyale waliofanya waliopita, ila ni binadamu tu pekeake ndo anayejiamulia mambo yake, halafu kuna kundi la viumbe visivyoonekana kwa macho km virus, viumbe vya seli moja km plasmodium bacteria, euglena etc hivyo havina urithi wa wazazi wao wanazaliwa wanasepa hawana jinsi ya kurithi mbinu za maisha ila zipo genetically coded kwenye DNA zao.
Binadamu ni kiumbe mwenye akili ya kuharibu mazingira yake mwenyewe, km virus au bacteria, so tutaishi hadi kwenye point tutakuwa hatuwez tena kuishi dunia hii then tutaadapt mazingira hayohayo tutabadilika tunaishi kwenye mazingira yatakayo kwepo, No extinction.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuinvent kitu kuna factor nyingi, kuna msemo uko hivi, kama binadamu atajihakikishia usalama wa maisha yake basi mda mwingi atautumia kujiendeleza,sawa lakini tuje kwenye uhalisia wa machine...
una habari mwanadsmu anafanya kazi ya kuasemble tu vifaa kwenye hich technological institute..??
Umewahi kukifanyia kazi hilo pia..??
tunaweza bishana sana but kuna siri nyingi sana juu ya uwepo wa trchnolojia..
no matter how different in IQ human beings exhibit lakini bado uwepo wa external factor unabeba nafasi kubwa sana na kufanya siri nzito itawale juu ya tecjnolojia..
unaweza ukajievaluate wew mwenyewe juu ya akili yako uliyonayo..
achilia mbali unachoandika je umewahi kufanya inversion yoyote ile na ikaleta impacts kwenye jamii ya sasa hivi..??
ukiona unaishi unaishi kwa mawazo na advancement za watu wengine basi hata uwezo wako upo kutafsiri machache kati ya mengi yaliyofichwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu vipi unaamini.!Nilishajibu siamini ujinga wowote wa uwepo wa aliens, majini, shetani, uchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Simply nilikua naongelea binadamu anauwezo wa kubadilika kutoka katika mfumo wa urithi anaoishi nao, kuliko viumbe vyote, so kuhusu aliens hiyo haipo, wao ni wao sisi ni sisi tuna mifumo yetu tuliyorithishwa jinsi ya kuishi, na basic instinct zipo coded kwenye DNA zetu, km virus au bacteriaunachanganya bana...kumbuka tupo katika kingdom tofaut exihibiting different characteristics...kila kingdom inaoccupy a certain range of habitat...
ukija kwenye body form morphology ndo unaweza ukasema human being ana high conciousness ampako anahusisha utashi na maamuzi but with limited intelligent..
swala la kusema virus hawalithi sijui kutoka kwa wazazi wao mimi sijakuelewa una maaana gani wakati kila siku virus au bacteria wanazaliana kwa rate na conservation ile ile ya genome yao ...
ndo maana wanazaliana kwa kutoa copy kama unavyozaliana na binadamu wenzio..
kwa hiyo we are different groups exihibiting maximum range of difference..
Sent using Jamii Forums mobile app
unahisi nchi zote africa zipo na inferiality kama unavosema..??Kuinvent kitu kuna factor nyingi, kuna msemo uko hivi, kama binadamu atajihakikishia usalama wa maisha yake basi mda mwingi atautumia kujiendeleza,
Sisi africa watu wanaojihakikishia usalama wa maisha yao wanaishia kujiendeleza kwa kuzaa na kuongeza familia, maana kila kitu kipo, nchi ni green, no war, no disasters so its cool,
Kwa wenzetu wanaoishi kwenye mazingira harsh, baridi kali, vita, population kubwa, wanaishia kujiendeleza kwa kiteknolojia, mfano mitambo mikubwa ili ajilinde au amtawale mwenzake, so mazingira huku africa sio ya kuactivate innovation maana mostly wale policy makers wana inferiority complex, kujiona hawana thamani kuliko walio nje ya africa, so tunaishia kusavaivu tu na kuzaliana.
Katika kila jamii kuna policy makers. We africans hatufanani na wenzetu maana wanaofanana wanaendelea kiteknolojia, na tunaofanana nao unajua tulipofikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujiuliza kuhusu Mungu, inabidi uanze kujiuliza km dunia iliumbwa na ww upo humu basi kuna dunia ngapi kwenye ulimwengu, maana km ww upo basi kuna sehem usiyoijua wapo watu wa jinsi yao,
Nchi kama marekani yani watu wengi waliopo NASA kila wakisataafu wanarun mental problem na hiyo tunaita MENTAL ABDUCTION ,au wanaishia kuugua magonjwa kama kiharusi ( stroke) au hypertensive diseases au cardiovascular diseases kama HEART ATTACK,HEART FAILURE ,au BRAIN CANCER ,au CANCER OF UNKNOWN AETIOLOGY,,??
kuna protective mechanism wanapwwa but despite ya hayo yote wanapata shida kama hizo...Nadhani hilo haliwezi kuwa hoja. Unategemea nini maisha ndani ya mitambo yote yale utakosaje kuugua hayo magonjwa?