Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Ulimwengu ili uwepo lazima kuwe na siri ndio maana hata maandiko kadhaa huwa yanatuacha hoi ikiwemo hili la UFOs sawa wao wametutengeneza vipi wao wametokea wapi na kwanini wameshindwa kuweka viumbe sayar zingine?! Na kwanini tuwe na sura nzuri kuliko wao waliotuumba wenye sura mbaya kama vibwngo
Na waliwezaje kufanikisha kulimiti uhai wa kila kiumbe?!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sura mbaya...
!?
au huenda sisi tukawa na sura mbaya zaidi kwa tafsiri waijuayo wao..

mkuu beutiful lies within mental..

uzuri wa sura sio uzuri wa maarifa..

be careful with beutiful faces ,they have nothing with mental ability..penginr ndo kitu kinachotufanya tusiweze kuumiza kichwa juu ya viumbe hao wenye macho makubwa[emoji4] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapenda kujifunza ila tusipende kuamini kila tunalo jifunza
Vipi kuhus ardhi sasa na yenyewe walitengeneza?!
Sijaumiza kichwa kwa sababu ulichoandika nimekisoma mara kadhaa lakini ulipaswa unijibu kitalamu vilevile kama ulivyofanya wakati unaprove kuhusu UFO,
Ni dhahir kabisa utata upo mana sisi sote tunategemea ardhi na hewa je wamevitengeneza wao ili tuishi? Vipi kuhusu mvua na mabahari yote haya?!

Usichukulie kurahis kama ufikiriavyo ndugu
 
Hivi unajua nini maana ya NWO(NEW WORLD ORDER) au nini hasa lengo la kuwapo mpango huu unaoendlea hadi sasa?
 
Hivi unajua nini maana ya NWO(NEW WORLD ORDER) au nini hasa lengo la kuwapo mpango huu unaoendlea hadi sasa?
can also be one among the strategies za kuiruhusu hii dunia ibe colonized with Aliens..

Kwan unahis maana halisi ya kuwa na dunia yenye mwongozo mmoja ni nini ..?

pengine tukubali Aliens colonozation directly ..
NWO is one of the factors ambayo ipo under control na unknown people..so who are unknown peole..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini unajua mwnzo watu hawakujua uwepo wa mungu?! Ila ila kwa ibada za asili watu wakaibuka na jumuisho moja la uwepo wa mungu na ili umjue lazima usome walichoandika na Siri yake ikatunzwa Vatican......miaka elfu moja mbele hwa WO nao watakuwa wameteka akili za watu kuliko walivyokuteka ww sasa kuhusu imani juu yao ila elewa mipango yote hii ipo chini ya watu Kama wewe na mimi na ndio maana zinafanyika jitihada za kwenda kuishi Mars huku wakiacha wengine wakiishi kwa taabu na amri toka kwa utawala mpya....

Lakini yote yaneza yasitokee na dunia kubaki salama kwa adhabu kutoka kwa mtu alieweka sura ya huu ulimwengu na kisha kukawapo dunia ya viumbe hai na vizaz vijavyo vikab na hadith tu kama tusomavyo hadith ya garika na mnara wa Babel
 
how sure kuwa wenye mipango ni binadamu kama wew wakati unaambiwa hata Aliens wamesynchronize with human being...!! huyo mtu unamsema una uhakika gan kama ni mtu kweli au other being??

kuna vitu pia unapaswa ujiulize everything can be possible

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaaa unavyojua kuitetea Mada yako". ... RESPECT" .. but haimaanishi kuwa nimekubaliana na hii Hoja yako ya leo
 
hahaha kweli wana sura mbaya sana
 
Mkuu itakuwa kumuumba binadamu kwao ni kazi rahisi kuliko kuyatafuta hayo Madini.
 
Mkuu darwin?
Yule aliechanganyikiwa hadi kuzalisha ndugu zake ila hao wanakataa uwepo wa Mungu si ndio wanakuwa na matatizo ya akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada totaly ina kana uwepo wa Mungu
Nilikuwa napenda kufuatilia documentary za Ufos,Alliens niliambulia patupu maana ni kama kuhangaika kuhusu vinyago wakati mchongaji mwenye ambae ni Mungu nilikuwa simpi umuhimu kasome sana biblia hakuna jipya chini ya jua
Mwanadamu nyakati zimeisha mrudie Muumba wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma sana,upatapo muda safir pia nchi za watu,soma vitabu vingi huko uendako lakini kubwa jaribu kutumia watawa waliokomaa kusema nao au kujifunza kwao.
Kisha chuja baya na zur afu utajua ni kwa nini biblia imeandika uchawi katik kitabu kitakatifu
Hawa walioko nyuma ya yote haya ni wanadamu kama ww na hawa ndio wachawi kwa mungu alie hai,wanadamu wanaonufaika na mawazo yao na kisha huyafanya kuwa siri na kuyumbisha mawazo ya watu wanaotaka kujua juu yao na mipango yao,
Unaposoma propaganda hizo sio kama unajua sana ila unakuwa mjinga zaidi mana utakuwa hujui ufuate lipi na ndicho wakitakacho
Hivyo kama walituumba basi hawakuwa na haja ya kujificha kwa kushirikiana na wazungu,.
 
Aise huu uzi umenichosha maana hakuna linaloafikiwa kila mtu analake ngoja nilifanyie uchunguzi sema mwisho naishia bila kupata ukweli mfano
Masuala ya dinosos njake na viumbe kama hao
Pili mermaids ama samaki mtu yaani nguva hawa wapo kweli

Hizi ndo habari ya pata potea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…