Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Mkuu itakuwa kumuumba binadamu kwao ni kazi rahisi kuliko kuyatafuta hayo Madini.
Kwa akili hizo bhasi hao Aliens hawana lolote yaani technology yote waliyonayo washindwe kukusanya madini kwa faida yao?

Na vipi kuhusu historia ya binadamu wa kwanza mbona yeye hatujaona akijihushisha na uchimbaji wa madini kabisa?

Kwanini kwakuwa wao wana akili sana tekinolojia haikuanza kwa binadamu wa kwanza ikasubiri mpaka miaka mingi baadaye?

lifecoded

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact wakijibia hilo basi naimani tutapata mwanga halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu Da Vinci..hebu tujiulize source ya technolojia tuliyonayo in relation to human brain ya sasa hivi...

Una amini kweli kuwa ni binadamu wa kawaida anaeratibu yote hayo...??

Ukitaka kujua hilo fikiria uwezo wako binafsi ulio nao juu ya difficultness unazokumbana nazo na je uwewahi kujiona kuwa ww una uwezo wa kufanya jambo lolote bila asistance yoyote toka kwa mtu yoyote..??

jinsi utakavyo jievaluate uwezo wako wa kiakiki ndivyo ilivyo hata kwa wengine...
point to note ni kwamba tunaegemea zaidi kusema ni conspirancy laki hebu jiulize wanaoratibu mambo hayo ni akina nani...

Leo hii jaribu kuangalia hata utengenezwaji wa madawa unabaki kuwa ni siri nzito...
Lakini kwann taasisi zinazotengeneza hazipo mavyuoni ambapo ndo elimu zote zinatolea lakini kwann wanaotengeneza wapo nje kabsaa na vyuo au mahala elimu hiyi inapotolewa..??

tusiishie kupuuza lakini uliza akili yako nyuma ya pazia kuna nini..

kwann mambo yanaratibiwa kwa siri...
??

Everything becomes conspiracy if not proven otherwise..but how should we rely on that....
ndo mana kuna principle tunaziishi lakini ndo conspirancy zenyewe hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana mkuu. Binafs taratb nimeanza kuamin kua kuna vtu tnafichwa. weng wetu tunatumia biblia na quruan kama muongozo wetu mkuu..Lakn ukweli n kwamba biblia na quruan haviakisi hata seluthi ya ukweli kuhusu ulimwengu wetu. Ulimwengu n zaid ya masimlizi ya mwamed na yesu Full stop|

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu darwin?
Yule aliechanganyikiwa hadi kuzalisha ndugu zake ila hao wanakataa uwepo wa Mungu si ndio wanakuwa na matatizo ya akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Finally hatujui hata tumetokea wap ama tumeumbwa na nan itabaki kuamini maandiko ya vitabu ya qurani na bibble kutokana na kuwa binadamu tumepewa uwezo wa kuona karibu na maanisha mwisho wa nuru ya macho yetu ni rangi ya blue ..

Kutokana na kuwa hatuna upewo mkubwa tunayaamini mengi waletea wazungu about technology kwa maana wao ndo wanagundua vitu sisi tunatumia tu

Sasa ukichunguza hili sana ndo yale tunaishia kujua the mostly powerfull people who run the world nje na serikali za nchi tofauti tofauti zenye nguvu sana kwny hii universe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana mkuu. Binafs taratb nimeanza kuamin kua kuna vtu tnafichwa. weng wetu tunatumia biblia na quruan kama muongozo wetu mkuu..Lakn ukweli n kwamba biblia na quruan haviakisi hata seluthi ya ukweli kuhusu ulimwengu wetu. Ulimwengu n zaid ya masimlizi ya mwamed na yesu Full stop|

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa mkuu watch ua words huwezi weka mbali maandiko ya mungu katika miongozo ya maisha kwasababu hatujui kwa asilimia 100 kuwa nani aliuumba ulimwengu imebaki kuamini kupitia maandiko tyu

fact...

hata maandiko hayo unayosema bado yanafichwa kwa hali na mali ..lengo kubwa ni kufanya usiri mkubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana mkuu. Binafs taratb nimeanza kuamin kua kuna vtu tnafichwa. weng wetu tunatumia biblia na quruan kama muongozo wetu mkuu..Lakn ukweli n kwamba biblia na quruan haviakisi hata seluthi ya ukweli kuhusu ulimwengu wetu. Ulimwengu n zaid ya masimlizi ya mwamed na yesu Full stop|

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo linakuja pale mwanadamu anapotanguliziwa kitabu kama biblia na quran kama reference ya kujua originality yake lakini bado ukweli unafichwa..

Binafsi bible has never been my point to appreciate while finding my original..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili hizo bhasi hao Aliens hawana lolote yaani technology yote waliyonayo washindwe kukusanya madini kwa faida yao?

Na vipi kuhusu historia ya binadamu wa kwanza mbona yeye hatujaona akijihushisha na uchimbaji wa madini kabisa?

Kwanini kwakuwa wao wana akili sana tekinolojia haikuanza kwa binadamu wa kwanza ikasubiri mpaka miaka mingi baadaye?

lifecoded

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tatizo linakuja pale mwanadamu anapotanguliziwa kitabu kama biblia na quran kama reference ya kujua originality yake lakini bado ukweli unafichwa..

Binafsi bible has never been my point to appreciate while finding my original..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sipindi niwarudishe nyuma husasani kwenye thread hii ila nataka kuhoji japo sina reference kwamba kulikuwa na true bibble ila baadaye sifahamu kilitokea nini true bibble maandishi yake yakachakachuliwa ndo ikapatikana hii tunayotumia kuna movie ya kiamerika imeelezea history ya true bibble ila jina movie sikumbuki chonde watu wa dini mnisamehe sasa basi
Inamaana hata hayo maandiko ni vigumu kuyaamini labda tuamini kupitia quruani don't judge me sikoperfect we rekebisha panapo mapungufu tupate really way of life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili hizo bhasi hao Aliens hawana lolote yaani technology yote waliyonayo washindwe kukusanya madini kwa faida yao?

Na vipi kuhusu historia ya binadamu wa kwanza mbona yeye hatujaona akijihushisha na uchimbaji wa madini kabisa?

Kwanini kwakuwa wao wana akili sana tekinolojia haikuanza kwa binadamu wa kwanza ikasubiri mpaka miaka mingi baadaye?

lifecoded

Sent using Jamii Forums mobile app
huwezi ukasema hawana lolote wakati technologia inapotoka hujui..na still umekosa jibu kwanini mwanadamu amekuwa low interm of interlectual...

Tusiwahi kugeneralize kuwa Aliens ni viumbe wa kusadikika wakati tunashindwa kutoa majawabu sahihi wapo technolojia inatoka...

Tusiwe wepesi wa kujibu hoja nzito wakati ukweli wa mambo ukiwa bado parodoxy hasa upande wa technolojia...

you never know about their findings kwenye dunia yetu...

how sure are we kuwa hawajainvade hasa sayari zingine..??
simply bcoz we are hidden from the reality kuwa hawapo sayari zingine but these beings are supreme to us..

let us solve this paradoxy first where we obtain technology halafu bdo tukane uwepo wa supreme being over us...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipindi niwarudishe nyuma husasani kwenye thread hii ila nataka kuhoji japo sina reference kwamba kulikuwa na true bibble ila baadaye sifahamu kilitokea nini true bibble maandishi yake yakachakachuliwa ndo ikapatikana hii tunayotumia kuna movie ya kiamerika imeelezea history ya true bibble ila jina movie sikumbuki chonde watu wa dini mnisamehe sasa basi
Inamaana hata hayo maandiko ni vigumu kuyaamini labda tuamini kupitia quruani don't judge me sikoperfect we rekebisha panapo mapungufu tupate really way of life

Sent using Jamii Forums mobile app
the curent bible has never been a solution to give us ukweli wa mambo...inaelezea juu juu tena kuielewa kwwnyewe mpaka uconnect dots za vifungu..

but through studying the universe how it is interacted we can find a solution..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise huu uzi umenichosha maana hakuna linaloafikiwa kila mtu analake ngoja nilifanyie uchunguzi sema mwisho naishia bila kupata ukweli mfano
Masuala ya dinosos njake na viumbe kama hao
Pili mermaids ama samaki mtu yaani nguva hawa wapo kweli

Hizi ndo habari ya pata potea

Sent using Jamii Forums mobile app
ili tuweze kukana uwepo wa viumbe hawa naomba upate solution kwanza wapi tunapata technolojia..

tuweke mambo ya bible na quran..lets talk reality ya wapi technolojia inatoka ndo tukane uwepo wa viumbe vilivyotuzidi maarifa..

Tumekalia kusema ni conspirancy bika kujua kwanini tunasurvive with high technological improvement

Human civilizatiom has brought by number of several factors japo ukweli unabaki kwenye siri..

But tunaweza umiza vichwa kuanza na kwanini uwepo wa technolojia unashindwa kudhibitisha kama mwanadamu ndo mvumbuzi au anapewa direction nini afanye..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom