Mkuu wanasayansi wanafanya kila wawezalo kuhakikisha wanalinda kile walichotuamisha ili tusijejua kua ni fiction . Kwa mfano dunia haina kitu kinachoitwa ncha ya kaskazini wala ya kusini ni propaganda zenye lengo la kusisitiza kuwa duania ni Duara ilhali ni tambarare!! So kwa mantiki hiyo hakuna tobo lolote na kama lipo halipo kwenye ncha bali ni pango kama mapango mengine tu. Lakini wazungu wana uhusiano mkubwa na fallen Angels ambazo kwasasa ni roho chafu zizagaazo duniani, hawa fallen angel ndio wazungu hutupotosha kuwa ni viumbe toka gallax nyingine(ambayo haipo pia) ili tuchukulie poa tu.
Wanasayansi wapi unaowazungumzia wewe...??
Hivi kwanini hujiweki kwenye hilo kundi mzee...??
Wanabaki kuwa ni unknown people...??
mzee kuna mambo yanarun behind the scene ...
hao wanasayansi wasiojulikanai ni kina nani...kwamba hao bongo zao zipo tofauti na wewe...??
we umefanya jambo gani ambalo lipo njiani to be approved??
Ngoja nikwambie kitu how inversions of technology inavyokuwa...!!
Unaambiwa hivi ,the white people have already in contact with other civilized races na symbiotic contact ni more beneficial kwa kuahidiwa civilization ya juu sana but under several stages...
Hakuna mwanasayansi anaekaaa chini na kuumiza akili kuvumbua vitu,wanachofanya ni kupewa pattern kisha kuzifanyia interpretation ya ujumbe uliopo ndani...
Every technology has code behind its process...
Everything is donated by other intelligent races under codes...
Maelekezo yote yapo kwenye codes maalumu...
Elimu zote za technology zipo kwenyre mtiriko maalumu and you have to follow the sequence of codes bila kujump quantum phase yoyote..
Huwezi ukajenga fly over ambayo haina njia ambayo ni physical way bila kujenga ambayo ni physical way kwanza...codes ndo zinakuelekeza nini cha kufanya...
They study and interprete the mesage behind ndo wanafanya reality yake ,ndo mana kuna errors nying sana kwenye advancement ya kitu chochote kwa sababu katika kusoma codes kuna kumisinterpretation na hapo ndipo jaribio mbalimbali za kisayansi zinarudiwa ili kuendana na kile kilichoelezewa under codes...
Kila maisha yana code zake ..its matter of time to read and interprete..
Msahafu unaelezea options to survive umeweka mambo bayana kwa codes ..
unafikiri hata hao wanasayansi wanajiamlia kuzama underground kuchimba gas kwa akili yao? kuna mazingira yanawaongoza namna ya kupata artificial energy resources and the map to get them is by this mechanism and so on...
Ila hao wakija huku wanatwambia wanaumiza akili...ONLY FEW CAN understand that..
Utofauti wa kimaendeleo unakuja pale watu flani kwenye nchi flani wanapowazidi spidi ya kuinterprete codes na kuweka into practize kuzidi nchi zingine..
Usione kwanini nchi za wenzetu wanashindana technology ni kwa sababu wanashindana kwenda na sequence ya kuzitambua codes zinazoelezea flow ya sequence ya reality ilivyo..
There is no way utaattain a certain level of conciousness bila kupitia hatua flani...everything has been put under sequencial format ,no jump,ni lazima upitie mazingira ambayo mwenzio aliyekutangulia kashapita interms of technology kwani sequence ipo inayokulazimu ufanye hizo...
Hapo ndo utaamini kweli kuwa no option to survive..we must pass under certain system codes .
Kama ilivyo laws of nature,pia kuna law inayogiovern civilization but encoded under codes...
Nchi kama CHINA zina interprete codes kwa kasi sana wapo mbali mpaka nchi wa magharibi zinashangaaa ,lakini there is no way out lazima wapite anapopita kwani sequence ndo inasema hivo na hata kama watafanya in oposite lakini lazima wawe mulu mule..
Wana picha kamili ya civilization ya miaka 100 ijayo ,lakini they can not jump the seqence...hiyo speed ni kwa sababu kila civilization phase ina maisha yake ,so they have appetite to taste the life of a particula r civilization phase.
your speed and interpretation will be your best mover..
Ramani inasoma kuwa you can pass beyond your current life,.
Kwa mfano umeitazama Movie ya The black panther,kuna hizo fly over za juu ambazo hakuna njia lakini treni zinapita bila kugusa kitu chochote means zinatumia Ant gravity mechanism ,
Ni tofauti na vyombo vingine ambayo vinatumia gravity laws mechanics ,lakini anti gravity mechanics haihitaji njia ya kupita ,only magnetic fild passways.
Tayari serikali ya Korea kusini hasa jiji la Seoul wapo kwenye mkakati wa kujenga hizo fly pass over ambapo tren itakuwa inatumia njia za magnetic fild na sio mataluma kama yetu huku.Yani treni itakuwa inapaa kama ndege,its amazing aise...
Yani its like kusema kuwa hakuna njia physically ila tren inakuwa inapita hewani( magnetic fild passway)
Manake jamaaa pia wapo mbali katika kuinterprete jinsi msahafu wa codes unaoelezea phase za civilization ambayo mwanadamu anaweza pitia kabla hajafa...
There is a number of uncountable sequence life ambazo the universe has given to us ,kazi yako ni kuinterprete hizo mambo kisha kuweka into practise...
Mambo hayaji hivi hivi,there is a sequence to follow..
Its like a game playing in the phone kuwa huwezi pita njia flani kabla ya kugonga kete flani...
Thats how scientists do...
Beyond the white space kuna mambo