Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Life coded

I just have a ine question is it necessary for human being to die ?!
daaaaah....not necessary if you achieve a highest dimension state ...

Ceasation of body organs to operate is where somebody can die,but in spiritual accession somebody attains the highest dimension form hence there is no ceasation only maturity of spiritual dimension which results into transformation of physical body with different morphologies but occupying the same spiritual awareness.
 
fighting to be a scientist like you broh
 
fighting to be a scientist like you broh
hizi zina maana kubwa sana...

usione kwanini zipo kwenye mahekalu makubwa au grand lodge mbali mbali duniani...

Hasa makanisani huko zinawekwa hizo scapture kwa lengo maalumu but reality haiko vile watu waambiavyo....

Zina maana kubwa sana ....It is the portal entrance into higher dimension state hasa kwa hao secret society members...

Take a look closely to any scapture near you ,attain maximum concetration with direct eye contact ,finally you will notice a slight change in body morphology ya hiyo scapture na hapo kama unajua kunotes mambo utajua portal exit and portal entry kupitia hiyo scapture...

 
Mkuu upo sahihi, tukichukulia history ya dini ( imani ) hususani kwa upande wa sisi wa Africa, dini hizi tumefanya kuletewa na watu weupe lakin sisi tumeshikiria utadhani ndo tumeileta hiyo dini, tutaaminije km hao watu walikaa wakaamua kutunga hivyo vitabu wanavyoviita vya dini kwa mfumo wanaoutaka wao na kuja kutuaminisha kuwa ndio ukweli. Nafuatilia huu Uzi mpaka mwisho wake.
 
Kwani hao aliens wao origin yao ni wapi?!
 
Nimefuatilia majibu yako kwa maswali unayoulizwa, unajibu vizuri mkuu, lakini hili la origin ya aliens hujawa specific, labda nikuulize tena, aliens wao origin yao ni wapi? How did they come to existence?!
 
Naukubaliana nawe mkuu, napiga kimya ila niliwahi kuona likitu angani nikiwa njiani kuelekea mwanza usiku...nilipaki gari nikawasha mmea..mida ya saa tisa na nusu Lile lidude lilianza kuyeyuka taratibu na lilikuwa linatoa mwanga Kama ule was mataa ya disco lakini ni mwanga hafifu na sauti flani nisiyoweza kuielezea...aagh nikawasha Pantera ingine Kisha gear
 
from higher life dimension entity...

The world is one among thousand planets with different life dimensions...

We are not alone in this universe
How did aliens come to existence?! Hilo ndo swali langu boss!
 
Nimefuatilia majibu yako kwa maswali unayoulizwa, unajibu vizuri mkuu, lakini hili la origin ya aliens hujawa specific, labda nikuulize tena, aliens wao origin yao ni wapi? How did they come to existence?!
mkuu ,kama upo katika higher dimension unaweza ukacreate lower life forms unayoitaka wew...

Swala la kujiuliza hawa Aliens walitoka wapi ni swali la kitoto sana ..

Ni kwamba ,kama sisi tunafight kutengeneza multiverse ndogo ndogo ambazo unaweza ukapandikiza viumbe wa aina unayoitaka basi amini kuwa mazingira unayoishi yanaweza kuwa man made created enveronment...


pengine mpaka sasa bado tunafight tujue namna ya kuconstruct universe ndogo ndogo kwa sababu bado ile nguvu hasa Dark energy ambayo ndo inaconsist fate of expansion from mother universe lakini viumbe wengine toka higher life form dimension wapo kwenye technology nyingine zaidi pengine toka maelfu ya miaka na wamekuwa wakiconstruct universe zingine ....

Sisi tunashindwa kuamini kama kucreate organisms ni kitu cha kawaida na rahisi mpaka tuweze kuconstruct new universe ndogo ndogo ambazo unaweza ukasubject kiumbe yeyote na akasurvive vizuri mno...

huwezi ukahoji mamlaka ya juu wakati upo katika mamlaka ya chini..

we have to advance into higher life dimension is where we can reprograme the creation of new life forms...
 
Na ni nani yuko huko kwenye higher life dimension entity?!
Organism(species) with higher dimension awareness
unapaswa utambue kuwa kitendo cha kutengeneza artificial creation mfano utengenezaji wa wanyama wapya,mimea mipya ni another part of recreation of lower life forms...

you are higher life forms na hao wanyama unaowatengeneza ni lower life forms ..

So usishangae sana...
 
Naona unazunguka sana mkuu, ila najua jibu unalo ambalo ukilitoa utabadilisha content nzima ya thread yako kitu ambacho hauko tayari kukifanya! [emoji23]
 
Naona unazunguka sana mkuu, ila najua jibu unalo ambalo ukilitoa utabadilisha content nzima ya thread yako kitu ambacho hauko tayari kukifanya! [emoji23]
kwanini sasa...??

kamba Mungu muumba au...??
ukiwa na akili ndogo ya kutoreason utaweza kuamini kuwa kuna Individual person anayeratibu haya mambo....ha ha ha daaaah...bado sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…