Mr commission
Senior Member
- Jul 30, 2018
- 109
- 253
Kwa akili hizo bhasi hao Aliens hawana lolote yaani technology yote waliyonayo washindwe kukusanya madini kwa faida yao?Mkuu itakuwa kumuumba binadamu kwao ni kazi rahisi kuliko kuyatafuta hayo Madini.
Fact wakijibia hilo basi naimani tutapata mwanga halisiKwa akili hizo bhasi hao Aliens hawana lolote yaani technology yote waliyonayo washindwe kukusanya madini kwa faida yao?
Na vipi kuhusu historia ya binadamu wa kwanza mbona yeye hatujaona akijihushisha na uchimbaji wa madini kabisa?
Kwanini kwakuwa wao wana akili sana tekinolojia haikuanza kwa binadamu wa kwanza ikasubiri mpaka miaka mingi baadaye?
lifecoded
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana mkuu. Binafs taratb nimeanza kuamin kua kuna vtu tnafichwa. weng wetu tunatumia biblia na quruan kama muongozo wetu mkuu..Lakn ukweli n kwamba biblia na quruan haviakisi hata seluthi ya ukweli kuhusu ulimwengu wetu. Ulimwengu n zaid ya masimlizi ya mwamed na yesu Full stop|mkuu Da Vinci..hebu tujiulize source ya technolojia tuliyonayo in relation to human brain ya sasa hivi...
Una amini kweli kuwa ni binadamu wa kawaida anaeratibu yote hayo...??
Ukitaka kujua hilo fikiria uwezo wako binafsi ulio nao juu ya difficultness unazokumbana nazo na je uwewahi kujiona kuwa ww una uwezo wa kufanya jambo lolote bila asistance yoyote toka kwa mtu yoyote..??
jinsi utakavyo jievaluate uwezo wako wa kiakiki ndivyo ilivyo hata kwa wengine...
point to note ni kwamba tunaegemea zaidi kusema ni conspirancy laki hebu jiulize wanaoratibu mambo hayo ni akina nani...
Leo hii jaribu kuangalia hata utengenezwaji wa madawa unabaki kuwa ni siri nzito...
Lakini kwann taasisi zinazotengeneza hazipo mavyuoni ambapo ndo elimu zote zinatolea lakini kwann wanaotengeneza wapo nje kabsaa na vyuo au mahala elimu hiyi inapotolewa..??
tusiishie kupuuza lakini uliza akili yako nyuma ya pazia kuna nini..
kwann mambo yanaratibiwa kwa siri...
??
Everything becomes conspiracy if not proven otherwise..but how should we rely on that....
ndo mana kuna principle tunaziishi lakini ndo conspirancy zenyewe hizo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa n kichwa sana juu ya hizi mambo. Eiyer Pita huku mkuuNgoja nimalizie Bill Mayer Documentary labda nitapata kitu cha kuweka hapa. Mambi ya aliens na ufos usiwe unamsahau kumtag Eiyer
Finally hatujui hata tumetokea wap ama tumeumbwa na nan itabaki kuamini maandiko ya vitabu ya qurani na bibble kutokana na kuwa binadamu tumepewa uwezo wa kuona karibu na maanisha mwisho wa nuru ya macho yetu ni rangi ya blue ..Mkuu darwin?
Yule aliechanganyikiwa hadi kuzalisha ndugu zake ila hao wanakataa uwepo wa Mungu si ndio wanakuwa na matatizo ya akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa mkuu watch ua words huwezi weka mbali maandiko ya mungu katika miongozo ya maisha kwasababu hatujui kwa asilimia 100 kuwa nani aliuumba ulimwengu imebaki kuamini kupitia maandiko tyuNimekuelewa sana mkuu. Binafs taratb nimeanza kuamin kua kuna vtu tnafichwa. weng wetu tunatumia biblia na quruan kama muongozo wetu mkuu..Lakn ukweli n kwamba biblia na quruan haviakisi hata seluthi ya ukweli kuhusu ulimwengu wetu. Ulimwengu n zaid ya masimlizi ya mwamed na yesu Full stop|
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe ukweli unao ujuaWazungu wamedanganya, wanadanganya, na wataendelea kuundanganya ulimwengu kuhusu;
Origin of unverse, mankind, space exploration mission, etc.
fact...Finally hatujui hata tumetokea wap ama tumeumbwa na nan itabaki kuamini maandiko ya vitabu ya qurani na bibble kutokana na kuwa binadamu tumepewa uwezo wa kuona karibu na maanisha mwisho wa nuru ya macho yetu ni rangi ya blue ..
Kutokana na kuwa hatuna upewo mkubwa tunayaamini mengi waletea wazungu about technology kwa maana wao ndo wanagundua vitu sisi tunatumia tu
Sasa ukichunguza hili sana ndo yale tunaishia kujua the mostly powerfull people who run the world nje na serikali za nchi tofauti tofauti zenye nguvu sana kwny hii universe
Sent using Jamii Forums mobile app
hata maandiko hayo unayosema bado yanafichwa kwa hali na mali ..lengo kubwa ni kufanya usiri mkubwa sanaDaaa mkuu watch ua words huwezi weka mbali maandiko ya mungu katika miongozo ya maisha kwasababu hatujui kwa asilimia 100 kuwa nani aliuumba ulimwengu imebaki kuamini kupitia maandiko tyu
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo linakuja pale mwanadamu anapotanguliziwa kitabu kama biblia na quran kama reference ya kujua originality yake lakini bado ukweli unafichwa..Nimekuelewa sana mkuu. Binafs taratb nimeanza kuamin kua kuna vtu tnafichwa. weng wetu tunatumia biblia na quruan kama muongozo wetu mkuu..Lakn ukweli n kwamba biblia na quruan haviakisi hata seluthi ya ukweli kuhusu ulimwengu wetu. Ulimwengu n zaid ya masimlizi ya mwamed na yesu Full stop|
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili hizo bhasi hao Aliens hawana lolote yaani technology yote waliyonayo washindwe kukusanya madini kwa faida yao?
Na vipi kuhusu historia ya binadamu wa kwanza mbona yeye hatujaona akijihushisha na uchimbaji wa madini kabisa?
Kwanini kwakuwa wao wana akili sana tekinolojia haikuanza kwa binadamu wa kwanza ikasubiri mpaka miaka mingi baadaye?
lifecoded
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipindi niwarudishe nyuma husasani kwenye thread hii ila nataka kuhoji japo sina reference kwamba kulikuwa na true bibble ila baadaye sifahamu kilitokea nini true bibble maandishi yake yakachakachuliwa ndo ikapatikana hii tunayotumia kuna movie ya kiamerika imeelezea history ya true bibble ila jina movie sikumbuki chonde watu wa dini mnisamehe sasa basitatizo linakuja pale mwanadamu anapotanguliziwa kitabu kama biblia na quran kama reference ya kujua originality yake lakini bado ukweli unafichwa..
Binafsi bible has never been my point to appreciate while finding my original..
Sent using Jamii Forums mobile app
huwezi ukasema hawana lolote wakati technologia inapotoka hujui..na still umekosa jibu kwanini mwanadamu amekuwa low interm of interlectual...Kwa akili hizo bhasi hao Aliens hawana lolote yaani technology yote waliyonayo washindwe kukusanya madini kwa faida yao?
Na vipi kuhusu historia ya binadamu wa kwanza mbona yeye hatujaona akijihushisha na uchimbaji wa madini kabisa?
Kwanini kwakuwa wao wana akili sana tekinolojia haikuanza kwa binadamu wa kwanza ikasubiri mpaka miaka mingi baadaye?
lifecoded
Sent using Jamii Forums mobile app
the curent bible has never been a solution to give us ukweli wa mambo...inaelezea juu juu tena kuielewa kwwnyewe mpaka uconnect dots za vifungu..Sipindi niwarudishe nyuma husasani kwenye thread hii ila nataka kuhoji japo sina reference kwamba kulikuwa na true bibble ila baadaye sifahamu kilitokea nini true bibble maandishi yake yakachakachuliwa ndo ikapatikana hii tunayotumia kuna movie ya kiamerika imeelezea history ya true bibble ila jina movie sikumbuki chonde watu wa dini mnisamehe sasa basi
Inamaana hata hayo maandiko ni vigumu kuyaamini labda tuamini kupitia quruani don't judge me sikoperfect we rekebisha panapo mapungufu tupate really way of life
Sent using Jamii Forums mobile app
ili tuweze kukana uwepo wa viumbe hawa naomba upate solution kwanza wapi tunapata technolojia..Aise huu uzi umenichosha maana hakuna linaloafikiwa kila mtu analake ngoja nilifanyie uchunguzi sema mwisho naishia bila kupata ukweli mfano
Masuala ya dinosos njake na viumbe kama hao
Pili mermaids ama samaki mtu yaani nguva hawa wapo kweli
Hizi ndo habari ya pata potea
Sent using Jamii Forums mobile app