Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Mkuu, sorry for interference!! Hata hiyo tunayoaminishwa MARS ni propaganda tuu!! Hamna cha Mars wala nini! Ni mbio za panya mbio zote tunafukuzana hapahapa kwa dunia yetu tambarare... Na hadithi ndiyo tunasimulia outer space kama fasihi za kisayansi tu!!
 
Kikubwa nilichoona hapo kwenye hiyo post ni kuwa yoote uliyoweka ni mitizamo ya hao wanaojiita wana science yaani wamefikiria labda ilitokea hivyo(theories) lakini si lazima iwe kweli .kitendo cha public mind control ni kikubwa mno na kinatumika na hizo high families kuweza kumanipulate watu kwa kuwaingizia uwoga na imani flani.kwa kuwa hata pyramids zenyewe wanamashaka na kusema kuwa zilitengenezwa na hao aliens pia sasa tuelewe vipi? Kingine ni kuwa kusema kwamba junk DNA's huwa hazina specific function naona kama ni makosa kwa kuwa mpaka sasa bado hatujagundua hata function ya appendix tunakibilia kusema ni useless organ [emoji23] .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bible imeeleza wazi uumbaji wa kila kitu ulivyofanyika na nani aliufanya. Sasa hao vibwengo alien kama nao walimuumba mtu how come hawakumpa mtu huyo Manual book kama mwongozo wa kujua aishi vipi na amwabudu nani!! Mungu ndie Mkuu kwani alimwumba binadamu na Manual book yake akampa.
Kama hauamini endelea kutafuta reference ya kujua origin yako ukiipata itupie hapa tuihakiki!
 
sawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa mada kama hii, ninAchotamani kujua, Unaamini kwamba kuna kiumbe anaitwa Alien??

Nijuavyo Mimi Hawa ni malaik waasi nadhan alien ni kimasai cha USA,
Ila wanaoshirikiana na hizi jamii za siri ni Pepo wachafu,

Kwahyo ukiwawaza Alien utaanza kucheka tu.
 
Nimeelewa ila conclusion yangu ni kwamba hata hao alliens ni viumbe wa muumba ,na kama mim ninazo non coding DNA,sion kama wataweza nitumia kufanikisha azima yao maana niko na mungu muumba ndo namtumikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lakini mkuu,swala la Alien limekuwa kama conspiracy lakini kuna siri kubwa sana juu ya hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikwambie tu kama ulikuwa hujui ukitaka kufaulu elimu pata 0. Ukipata 100 a b au c, unashushwa hadhi na unamwagiwa ujinga, Unatumia miaka 20 kusoma halafu unakuwa doctor ambaye hujui hata dawa inatengenezwa vipi, Akili tumezaliwa nazo shuleni tunafata upumbavu tu.
 
Kwahyo hitimisho lako ni lipi sis ukawaulize wazungu hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao wameumbwa na nani ebu,biambie ww wanakutumiaje kuwapelekea madini huko kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…