wew si unajibu lako ambalo ni mungu ndo kaweka viumbe hao...
Kwa sababu hata ukielezwa how evolution ya universe ilivyokuja utakataa kwa sababu unaamini neno Mungu kama supreme being wa vitu vyote..
Sijakataaa kuwa hakuna controller wa mambo yotr but umesoma kuhusu doctrine zinazoelezea how different races came to arise..??
umesoma kuhusu how the universe arose..?? au umekalili tu kuna mtu alikuwa anakomand hiki njoo hiki rudi..
Naomba nikulize kitu..
hivi hapo mwanzoni mungu alikuwa anakaa na akina nani wakati tunaona kuwa umri wa binadamu kwenye universe hiii ,humans only evolved about 200,000 miaka iliyopita ...
lakini umri wa universe ni miaka Bilion 13.9 ,hivi huoni kuwa huyo mungu alikuwa anakaa na kina nani kabla ya kumleta binadamu ...?? yani kwamba alikuwa ana species za kina Dinassaors pekee..??
Sent using
Jamii Forums mobile app