Mwaka 1501-1504 Mchongaji maarufu wa sanamu wa kule italia Michelangelo alipewa kazi ya kuchonga sanamu ya Daudi na familia ya kitajiri ya nchini Italia katika mji wa Florence.
Kwa kuwa Michelangelo alikuwa maarufu kwa kazi hizo kitendo hicho kilivutia hisia za wengi kutaka kuona atakavyoichonga.
Kwa miaka miwili mizima alizunguka huku na kule akitafuta jiwe litakalofaa aina ya sanamu aliyotaka kuchonga. Siku moja pembeni mwa Barabara moja aliona jiwe lililokuwa limeotewa na magugu na lilikuwa na uchafu. Alipolikwangua kidogo akagundua ni jiwe aina ya Mable.
Akawaagiza vijana wake waliviringishe hadi kwenye karakana yake. Akatumia miaka miwili kulipiga nyundo na kuchonga ili kupata picha rough ya Daudi.
Kisha akatumia miaka miwili tena kulipiga msasa na kusawazisha vizuri ili kupata sanamu kamili. Yenye urefu wa mita 5 na nchi 17
Kazi ilipomalizika sanamu ile ilipelekwa kwenye Town square ( uwanda wa mji ) wa Florence ili kuzinduliwa.
Mara ilipofunguliwa watu waliokuwa wametoka kila pembe ya Italia kuja kuangalia sanamu hii walipigwa na butwaa na baadhi ya wanawake walizimia kwa ustadi iliochongwa na uzuri wake.
Baadaye walipomuuliza Michelangelo amewezaje kuchonga sanamu nzuri vile jibu lake lilinishangaza. Akasema
UKITAKA KUJUA NINI ALICHOKISEMA PAKUA APPLICATION YETU YA "Muhabarishaji || #1 source of facts" [emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]