- Thread starter
- #21
Kabla hawaja fanya uvamizi. Walituma watu kwenye hizo office nakujifanya kuunganishia mtu connection ya stima kumbe walikua wana survey eneo. Thus why nasema hata uvamizi wao ulijulikana kabla. IN NASA WE ARE ALWAYS FULL OF SMART PEOPLE.